Kwanini Kuongozana na Mkeo iwe noma!?

Kwanini Kuongozana na Mkeo iwe noma!?

Hapana sio wewe, ni Kaizer alikua anatuuliza maswali kama tuko police , mi ikabidi kuua so nikasema mkewe namjua na nampenda.

we na shoga yako wote lenu moja!
sasa kwa taarifa yenu ULAYA HAJI MTU!mtabaki mnasaga lami huko huko!
MMENIHARIBIA SANA MINGLE ZANGU LEO!
 
ahahhahhah mi nilidhani ulichapia!
kumbe ndo ulikuwa unasema !
ehehhehheeeee uuuuuwih!LOL!
kwa hiyo ualim na uanafunzi tena tunaweka pembeni?

Hukuona kuna sehem amentishia eti kuja kunsemelea kwa mwalimu? mwenyewe mtu mzima, anaelewa.....

CC @FP

khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!:shock::shock::shock::shock::smash::smash::smash::crutch::rapture:

nimehujumiwa!nimehujumiwa zaidi ya vile nilivowahi kuwaza naweza kuhujumiwa!
Haiwezekani ufanye lobbing mpka kwenye ukoo wangu kiasi cha kufanya dada yangu wa damu ! Anisaliti!
Sikubali!

sasa hivi si tupo summer recess... hatusomi.....

Nashangaa......tangu lini Baloteli akakosa penati? snowhite come zis way

Karibu
images
@FP
mtu na mwalimu wake "MTAYAMALIZA"
 
daaaaadeki !yani we wa kuniuza mi kwa chuoa mbili za dompo!
KWEEELI!???
siamini macho wala vidole vyangu!
kwani hamjamalizana tu?
wewe Kaizer, kam zis wei mmalizane na mwalimu wako.... summer recess ikiisha uta-disco!
 
Last edited by a moderator:
huyo lazima atakuwa ni mjahidina mana wale jamaa
wanajua kuchagua na awataki kuchangia na wenzao
hawana ile principal ya (WE SHARE THE LITTLE WE HAVE.)
MANA wazuri ni wachache si vibaya tukiwachangia.
 
daaaaadeki !yani we wa kuniuza mi kwa chuoa mbili za dompo!
KWEEELI!???
siamini macho wala vidole vyangu!

hahaha snowhite bana...nini chupa mbili za dompo, Yuda alimsaliti Bwana Yesu kwa vipande vingapi vya fedha? Unajua havitoshi hata dompo moja?

halafu sasa, FP hapokie rushwa huo ni ukarimu wa kawaida wa kiafrika. Utapendelea nini?
 
Last edited by a moderator:
mtu na mwalimu wake "MTAYAMALIZA"

ewaaa nakuhakikishia hakuna kitakachoharibika. Uzuri, mi siogopi kuongozana na mwalimu wangu popote, walimu wanaheshimika sana FP au sio
 
Last edited by a moderator:
we na shoga yako wote lenu moja!
sasa kwa taarifa yenu ULAYA HAJI MTU!mtabaki mnasaga lami huko huko!
MMENIHARIBIA SANA MINGLE ZANGU LEO!
hahahahahaha usifanye hivyo mwenzio nishawaambia home kwetu ivoooo, hebu rudisha moyo wako nyuma jamani kwani tumekosea wapi eeeeeh. Usisuse mwaya yaani ungejua nilivyokupa promo kijijini kwetu hadi huwa wanafanya imagination unafananaje lol.
 
hahaha snowhite bana...nini chupa mbili za dompo, Yuda alimsaliti Bwana Yesu kwa vipande vingapi vya fedha? Unajua havitoshi hata dompo moja?

halafu sasa, FP hapokie rushwa huo ni ukarimu wa kawaida wa kiafrika. Utapendelea nini?
ha haaaa.......
Kaizer, Ablessed, snowhite sasa basi kuchakachua uzi wa watu.
Asante sana kwa ukarimu ....
ila kweli siajwahi pokea rushwa
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaha usifanye hivyo mwenzio nishawaambia home kwetu ivoooo, hebu rudisha moyo wako nyuma jamani kwani tumekosea wapi eeeeeh. Usisuse mwaya yaani ungejua nilivyokupa promo kijijini kwetu hadi huwa wanafanya imagination unafananaje lol.

siatki kamini kuwa mnaweza kuniuza kiasi hiki!
of oll za deis leo?
ahahahhahha hakyamama mtanilipa!
 
we yako ya dompo mbili si yashakunyokea!
sasa subiri kimbembe chake!:rapture:
:car: ntarudi!

Twende chit chat kwenye uzi wake kule tuongee vizuri nisiharibu coursework mwalimu.....
 
Back
Top Bottom