saudari
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 2,655
- 2,783
mwalimu saudari hivi haukufanikiwa pale kwa yule uliyemwambia hadi mali ulizo nazo?
tatizo ni kazi yako tu ndo maana tunapiga chenga
siku useme umebadili kazi sasa ni injinia wa tanesko uone hiyo foleni,
ha ha haaaa - utani tu.
Sikufanikiwa mwaya Mamdenyi, si unajua nilikuwa nimempa miverse kibao mpaka akakimbia umande.
Kuhusu kazi tutaendelea kuvumiliana tu kwani mahitaji ya muhimu utapata kama watu waengine si unajua "haata mbuyu ulianza kama mchicha" hivyo "haraka haraka haina baraka" maana "uzuri wa kitu unajionyesha wenyewe" sio mpaka uufafanue.
Last edited by a moderator: