Kwanini Kuongozana na Mkeo iwe noma!?

Hubby wangu Asprin mbona mi na wewe twaongozona popote, hata tukienda kula mkate wa bwana huwa tupo wote mbona? Mi luv u Asprin!
 
Last edited by a moderator:
Hubby wangu Asprin mbona mi na wewe twaongozona popote, hata tukienda kula mkate wa bwana huwa tupo wote mbona? Mi luv u Asprin!
Umeona eh? Hawajuia hata ukienda msalani mie mguu na njia mpaka kukufungia mlango wa msala, nakusubiri ukimaliza nakuchambisha. Chezeya malovee wewe?
 
Aisee mi hapana kujua. Nitafutane kwa voda, tigo ilibuma. Pole kwa maswahibu swahiba, alinifahamisha kijana wa bakery. Bahati mbaya nimepoteza namba zako. Mabaamedi washenzi sana, wanajifanya wanafuta meza baada ya kufakamia mdudu kumbe wanachanganya na simu zetu.

Tutafutane mkuu tufarijiane mbele ya Black Label.
Haina kwere mkuu... Ntakucheki kwa wikendi (jumamosi to be specific) ili tule japo tuchips na tukuku twa kienyeji
 
akishakua mke au ile mpo kwenye serious relationship mara nyingi wanawake mnaboa sana kwan mnakua mnajishtukiashtukia wenyewe mnapoteza mda wakati wa kujiandaa halaf kila kitendo atakachofanya bwana wako lazima ukitoe kasoro au umkataze hii inatuudhi na kutufanya tukose uhuru
hata mkiwa mnaongozana kidume akigeuka tu kumuangalia binti pemben ishakua noma
heri tuwe tunatangulia tu mbele nikiona bado unajiandaandaa nakuambia mi natangulia utanikuta
 
Back
Top Bottom