Kwanini Kuongozana na Mkeo iwe noma!?

Kwanini Kuongozana na Mkeo iwe noma!?

Nimeona rafiki yangu wanataka kukuingiza matatizoni hahahahahahahaha.

sitaki kuamini kuwa umesahau kuwa unataka kuja huku ulaya nilipo!
sasa mi nimemuweka kweye matatizo gani shouger yako!?? Kaizer walahi utanilipa!ujue kuna sehemu nilitaka kumtuma ablessed akanisololee kwa mtu!
 
Last edited by a moderator:
snowhite dadako FP kukupigia chapuo sio mbaya,,,,,,hoja apa sio kuwahi ila ni kupata

ahahhahhah mi nilidhani ulichapia!
kumbe ndo ulikuwa unasema !
ehehhehheeeee uuuuuwih!LOL!
kwa hiyo ualim na uanafunzi tena tunaweka pembeni?
 
sitaki kuamini kuwa umesahau kuwa unataka kuja huku ulaya nilipo!
sasa mi nimemuweka kweye matatizo gani shouger yako!?? Kaizer walahi utanilipa!ujue kuna sehemu nilitaka kumtuma ablessed akanisololee kwa mtu!

hehehehehee
snowhite bana.. Ablessed ndo namwonapo leo, na nimegundua kuwa hajafanyiwa ukaguzi and otehr preliminaries kama ilivyo desturi.....ndo ivo..sasa kusosoleana hapana ngoja kwanza.....haki ya mzaliwa wa kwanza iko wapi?
 
Last edited by a moderator:
hehehehehee
snowhite bana.. Ablessed ndo namwonapo leo, na nimegundua kuwa hajafanyiwa ukaguzi and otehr preliminaries kama ilivyo desturi.....ndo ivo..sasa kusosoleana hapana ngoja kwanza.....haki ya mzaliwa wa kwanza iko wapi?
wewe...... huyo mama Mchungaji...... weka mbali na watoto, lol!
 
ahahhahhah mi nilidhani ulichapia!
kumbe ndo ulikuwa unasema !
ehehhehheeeee uuuuuwih!LOL!
kwa hiyo ualim na uanafunzi tena tunaweka pembeni?

Hukuona kuna sehem amentishia eti kuja kunsemelea kwa mwalimu? mwenyewe mtu mzima, anaelewa.....

CC @FP
 
sitaki kuamini kuwa umesahau kuwa unataka kuja huku ulaya nilipo!
sasa mi nimemuweka kweye matatizo gani shouger yako!?? Kaizer walahi utanilipa!ujue kuna sehemu nilitaka kumtuma ablessed akanisololee kwa mtu!
Hapana sio wewe, ni Kaizer alikua anatuuliza maswali kama tuko police , mi ikabidi kuua so nikasema mkewe namjua na nampenda.
 
Last edited by a moderator:
kwa unavyoniona, naweza mpigia mtu chapuo na akakosa?
kabisa!

khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!:shock::shock::shock::shock::smash::smash::smash::crutch::rapture:
 
hehehehehee
snowhite bana.. ablessed ndo namwonapo leo, na nimegundua kuwa hajafanyiwa ukaguzi and otehr preliminaries kama ilivyo desturi.....ndo ivo..sasa kusosoleana hapana ngoja kwanza.....haki ya mzaliwa wa kwanza iko wapi?
nimehujumiwa!nimehujumiwa zaidi ya vile nilivowahi kuwaza naweza kuhujumiwa!
Haiwezekani ufanye lobbing mpka kwenye ukoo wangu kiasi cha kufanya dada yangu wa damu ! Anisaliti!
Sikubali!
 
kwa unavyoniona, naweza mpigia mtu chapuo na akakosa?
kabisa!

Nashangaa......tangu lini Baloteli akakosa penati? snowhite come zis way

Karibu
images
@FP
 
Last edited by a moderator:
ahahhahhah mi nilidhani ulichapia!
kumbe ndo ulikuwa unasema !
ehehhehheeeee uuuuuwih!LOL!
kwa hiyo ualim na uanafunzi tena tunaweka pembeni?


sasa hivi si tupo summer recess... hatusomi.....
 
nimehujumiwa!nimehujumiwa zaidi ya vile nilivowahi kuwaza naweza kuhujumiwa!
Haiwezekani ufanye lobbing mpka kwenye ukoo wangu kiasi cha kufanya dada yangu wa damu ! Anisaliti!
Sikubali!


ssshhhhhh kuna watu wakubwa apa snowhite hairuhusiwi makelele......ongea pole pole, unasemaje?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom