Kwanini Kuongozana na Mkeo iwe noma!?

Hongera mwaya watu8 kwa moyo wa ujasiri na usio na chembe ya woga ila mie bado na-pepesa pepesa macho.

Si unajua nimewatupia nyavu wakina Mamndenyi, Ablessed, Heaven on earth na Paloma.

Hivyo wakioniona kila kona naongozana na mamsapu wangu watafunga ule mlango wa neema ambao nilikuwa natarajia kuupata siku chache zijazo.
hahahahahahahah sasa ndio umwache mkeo mita kibao nyuma utadhani hamko safari moja . Ngoja waje wakupe za uso hawa
cc Mamdenyi Heaven on earth Paloma
 
Last edited by a moderator:
Hahahah...hiyo moment huwa tunaiita offside trick, lazima kama sio mume basi mke atangulie ili kuepusha rabsha...
Lazima uzuge "mama fulani hebu ngoja niwahi hapo dukani mara moja...basi unapiga mihatua mikubwa " au "unapunguza mwendo taratibu kama gari litafutalo parking"...

Hongera mwaya watu8 kwa moyo wa ujasiri na usio na chembe ya woga ila mie bado na-pepesa pepesa macho.

Si unajua nimewatupia nyavu wakina Mamndenyi, Ablessed, Heaven on earth na Paloma.

Hivyo wakioniona kila kona naongozana na mamsapu wangu watafunga ule mlango wa neema ambao nilikuwa natarajia kuupata siku chache zijazo.
 
Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa! Let me try to be as positive as possible! Nisimtukane mamba kabla sijavuka mto!

Mi nahisi wanawake pia tuna kasumba ya kucomplicate mambo na kuchelewesha msafara wa raisi bila sababu!

Mtu unaweza pigigiwa simu saa 8 mchana anza kujiandaa safari saa 2 usiku, Mwanaume atakuja saa 12 atajiandaa atamaliza na kuangalia TV wewe bado tu! Hadi uone saa 2 ndo ujikurupe tangu na hapo hujamaliza kutangulia!

Maza wangu anakomaje sasa! Ukifika mda walikubaliana anaambiwa mimi natangulia utanikuta huko, au utanikuta baa ya jirani! Bila hivo safari itakufa! Atavaa nguo, saa ya kuondoka utasikia imenitoa kifutu kama kiroba au gunia wasije kusema Dada yake buree kumbe mkewe, akhaaa, embu nipasie ile ingine, nayo imepitwa na wakati nitaonekana wakuja, nipasie ile ingine. Mpaka unaweza kupasuka! Ukitoka wewe ndo usiombe ushauri kabisaaaaaaaaaaaa! Utavaa night dress na kupanda kitandani!
 
Halafu ujue natamani nijue kama wewe na Mr mnaongozana?

Ni-PM basi picha yenu ya pamoja kama hutojali.
Hahahahahahaha ngoja niitafute picha yetu ya pamoja sema na mafuriko yaliyopita sijuikama ziko salama. Yaani sie huwa tunaongozana mpaka tunaitwa mapacha. Nikionekana peke yangu lazima waulize je pacha wako anashida gani leo, mbona uko peke yako.
 
Mbona kwenye nyumba za ibada wanafundisha sana...tena huwa kuna semina maalum kabisa.

Nadhani atokee mdau aanzishe chuo cha kufundisha namna ya kuchagua mwenza manake hii mambo ya mume mita kumi toka kwa mke haipendezi kabisa.
 
Kwa kweli nasikia simanzi sana iliyojaa huruma na masikitiko kwa kuziona ndoa za baadhi yetu zilivyokuwa chungu... utadhani hamkutongozana... chuki imefikia mahali pabaya kiasi kwamba kila mmoja kuona kuwa na huyo mwenza ni tukio baya kuliko yote maishani... Mungu aepushilie mbali
 
Hahahah...hiyo moment huwa tunaiita offside trick, lazima kama sio mume basi mke atangulie ili kuepusha rabsha...
Lazima uzuge "mama fulani hebu ngoja niwahi hapo dukani mara moja...basi unapiga mihatua mikubwa " au "unapunguza mwendo taratibu kama gari litafutalo parking"...
Hahahahahahaha jamani duniani kuna mambo we acha tu. Kumbe ndio mbinu zenu lol.
 
Hahahah...hiyo moment huwa tunaiita offside trick, lazima kama sio mume basi mke atangulie ili kuepusha rabsha...
Lazima uzuge "mama fulani hebu ngoja niwahi hapo dukani mara moja...basi unapiga mihatua mikubwa " au "unapunguza mwendo taratibu kama gari litafutalo parking"...

Kumbe na wewe umeshapitia hayo makitu?
 
Kaka Kaizer si useme ukweli tu, au na wewe mdomo umeshaanza kuwa mzito?

haaa mdogo wangu saudari ningekuwa domo zege nisingekuwa na wake wawili hapa official, AshaDii na mdogowe gfsonwin, chezeya mimi wewe?

Mi apo natoa angalizo tu, manake unajua kwenye ile katiba yetu, lazima mtu apite mapokezi, nimsajili, akaguliwe na Asprin ndo apitishwe kama memba. sasa Ablessed naona yeye bado, atupe na hizo baraka bana. Lady doctor ameruka ruka weeee lakini mwishowe APRin kamweka sawa. Heaven on earth sina uhakika naye pia

He! hivi tunaongea kuongozana na wake zetu sio....ndo kama vileee
 
Last edited by a moderator:
Mbona kwenye nyumba za ibada wanafundisha sana...tena huwa kuna semina maalum kabisa.
Mi nadhani na mazingira yanachangia nakumbuka tulikua na kikundi cha kuboresha ndoa mtaani kwetu. Lenggo hasa lilikua kusaidia ndoa zilizo ICU kwa magonjwa yenye tiba nafuu kabisa ili ziponywe. Basi moja kati ya mada ilikua ni kwanini wanandoa hawaongozani , ktk lile kundi waliokua wanaongozana tulikua wachache sana. Basi tuliweka mkakati wa kutoka pamoja kila weekend namshukuru Mungu waliothubutu mpaka leo hawana tena hilo tatizo.
 
Mpwa sehemu pekee ambayo mwanaume unatakiwa utulize ball basi ni wakati wa kuchagua mke inabidi utumie kipaji maalum...
Ukibug tu hapo basi ndio yanaanza haya mambo ya kutangulizana mbele kama kiongozi wa mbio za mwenge...

hahaah chezeya kubugi.....
 
Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa! Let me try to be as positive as possible! Nisimtukane mamba kabla sijavuka mto!

Mi nahisi wanawake pia tuna kasumba ya kucomplicate mambo na kuchelewesha msafara wa raisi bila sababu!

Mtu unaweza pigigiwa simu saa 8 mchana anza kujiandaa safari saa 2 usiku, Mwanaume atakuja saa 12 atajiandaa atamaliza na kuangalia TV wewe bado tu! Hadi uone saa 2 ndo ujikurupe tangu na hapo hujamaliza kutangulia!

Maza wangu anakomaje sasa! Ukifika mda walikubaliana anaambiwa mimi natangulia utanikuta huko, au utanikuta baa ya jirani! Bila hivo safari itakufa! Atavaa nguo, saa ya kuondoka utasikia imenitoa kifutu kama kiroba au gunia wasije kusema Dada yake buree kumbe mkewe, akhaaa, embu nipasie ile ingine, nayo imepitwa na wakati nitaonekana wakuja, nipasie ile ingine. Mpaka unaweza kupasuka! Ukitoka wewe ndo usiombe ushauri kabisaaaaaaaaaaaa! Utavaa night dress na kupanda kitandani!
Ni kweli wapo wamama wa namna hii lkn pia kuna wanandoa bwana huwa hawaongozani , ikitokea basi wanaachana mita kadhaa .tena hata kama mmoja wao akijitia anataka kua karibu na mwenzake basi lazima partner wake atazuga na kurudi nyuma kia aina.
 
hahahahahaha tena sithubutu kabisa kuingilia ndoa za watu labda mimi nibaki kua mama ushauri tu, na iwapo nitaombwa kutoa ushauri tena pawe na kibali cha mke na mume lol. FP aliomba tu nikupe darsa la kupika ugali na nsansa kisa yeye aliupenda.
Kaizer ntakusemelea kwa mwalimu wako Snowhite.....
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaha tena sithubutu kabisa kuingilia ndoa za watu labda mimi nibaki kua mama ushauri tu, na iwapo nitaombwa kutoa ushauri tena pawe na kibali cha mke na mume lol. FP aliomba tu nikupe darsa la kupika ugali na nsansa kisa yeye aliupenda.
FP huyu huyu au mwingine? manake sihitaji hayo mke wangu sweetlo gfsonwin ni mtaalam wa mapishi nenda JF Mapishi uone
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom