pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 312
- 616
Acha kututisha wewe kobaziukizingia kwenye comment principle yangu ni ile ile “ntakutafuta ntakupata na nitakufurahisha”
Ni bapa😎Salaam alyekum,
wakati sosho media zimejaa taarifa zisizo na tija sijui gwaji boy, sijui gen z binafsi naona ni kama kelele za chura ambazo hazimzuiii kuendelea na kazi huo ulikuwa utangulizi lakini swali langu ni kwanini konyagi huwa inalazwa? …..ukizingia kwenye comment principle yangu ni ile ile “ntakutafuta ntakupata na nitakufurahisha”
Kwa nini konyagi hulazwa?-kiswahiliSalaam alyekum,
wakati sosho media zimejaa taarifa zisizo na tija sijui gwaji boy, sijui gen z binafsi naona ni kama kelele za chura ambazo hazimzuiii kuendelea na kazi huo ulikuwa utangulizi lakini swali langu ni kwanini konyagi huwa inalazwa? …..ukizingia kwenye comment principle yangu ni ile ile “ntakutafuta ntakupata na nitakufurahisha”
🤣🤣🤣🤣🤣Tuachane na hizi sababu za ajabu hapo juu.
Ni kushindana tu na yule jamaa aliyenyayua mikono, ionekane kuwa umemshinda.
Na pia ukinywa imesimama kuna kiungo kitasimama wakat huo huo, bora ilale na Kiungo kilale,
Kitaenda kuamsha dude huko mbelen.
Sidhani kama ni sahihi kuanza na Asalamaleko halafu unaongelea pombe,Salaam alyekum,