Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

Kuukalia mshumaa unaona hataaaaaaari we mwanamwali,mchague mmoja tu mwenye uelekeo chanya na wewe amenye embe bolibo hilo uone raha ya dunia
 
Du mwanadada misimamo yako inakupoteza, wakati wewe unabana wenzio wanaachia tu, hivi unafikiri kuna mwanaume ambaye yupo attention na unachokifanya yaani utashangaa shikamooo zinakuja kibao yaani umeshakuwa mzee, mama uzee haupigi hodi. Ukitaka kufahamu wewe unathamani kiasi gani angalau wenzio maisha wanayoishi usijifungie ndani ya box, mtu hawezi oa tu atajuaje kama ni mlemavu wa viongo vya uzazi au ni jike dume (shemale).
 
Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun

Tatizo huwaga mnajisifu kwamba "my naniliu is so wet and tight" kumbe bwawa la mtera ha ha ha ha
 
Kuna mmoja kama ww nae kaitunza sana...hadi anafika 27 hajaguswa...juzi kaja getto anahamu ya kunyonywa chu*. Heee baada ya hapo naona binti analegea kiulaiiiini......!
Mlango giblatar ukafunguliwa kwa ustad mkubwa....aliposhtuka tayar limeshakuwa shimo..!

ahahaaaa
 
Hongera kama umejiweka pembeni,ila now days hiyo haikwepeki hata ukiingia kwenye serious relation utatoa tu maana hakuna anayependa kuuziwa mbuzi kwenye gunia

Unataka kulala na m'mke kabla ya ndoa ili upime nini? Utapima wangapi?

Hivi umeshajiuliza kwamba wanawake nao hawapendi kuuziwa huyo "mbuzi kwenye gunia"?
 
gud gal....stay single nd dont give any man ur cookie before marriage...trust me nothing gud has ever come out of premarital sex. na hiyo mambo ya kusema eti hamna kuuziwa mbuzi kwenye gunia ni the inane way of justifying the evil ways.
it is a virtue being a virteous lady...keep it up!!

mzabzab njoo kuna mtu kaiba password yako huku!
 
Last edited by a moderator:
Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun

Kama unasema kweli subiri ukue kidogo utakuja kujua nini maana ya hiyo kitu .......
Kwa sasa huwezi kuelewa!!
 
kuna kamsemo vijana wa siku hizi wanapenda kukatumia"shake well before use"sasa cjui kama utachomoka kwenye hako kamsemo.

absolutely...
901cdf48c1faeabfa3916032b667edce_full.jpg
 
Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun

Unaogopa kulala naye au kusex naye?
 
na je akiwa anavuavua kwa mtu mmoja???
Hili nalo neno!!! Kiatu kitakuwa kikubwa kwa muoaji na utasikia hapa JF. "Jamani Msaada wa ushauri-MUME WANGU ANATAKA KUTEMBEA PEKU NA ALIANZA KUTAKA HUO MCHEZO SIKU YA HONEY MOON HAJALI UCHAFU" kumbe jamaa kazoea kiatu na kaona kinampwaya anaona bora atembee peku peku
 
kweli hiki ni kizaz cha nyoka, watu wameshahalalisha zinaa, da inasiktisha. dada kuitunza tu haitoshi ongeza na maombi ili Mungu akujalie mwenye mtazamo kama wako, believe me wakaka wanaojiheshim bado wapo.
 
Fikiria huyo mkeo angekua anavua chupi kwa kila aliyemtongoza,..bado ungemthamini??angekua na hadhi kama ya sasa?
Mbinu zetu wanaume huziwezi dada. anza tu kugawa maana hiyo tutaipata tu.
Wife wangu kipindi cha kuifuatilia alibaaaaaaaaana. Nikabadili mbinu. Nilimpa care za hali ya juu hadi akakolea kisha nikabeep kwa kukata kamba ili nipewe kakitu. akakomaa baada ya miezi sita nikaletewa niiifumue. ila anabahati maana nilimpenda kweli na hadi leo niko nae. Katulia tuli pale JAMBIANI-ZANZIBAR
 
Back
Top Bottom