Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

Utabana utabana mwisho utaachia tuu!!!! Hakuna mnunua music system bila kutesti......Ashaikhum si matusi
 
sikukuu zimeisha ila naona promo zinaendelea..
 
Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun

Ndio maisha ya digital,wanaume tunafanya windowshopping.maana unaweza kukuta body iko poa machine fake.
 
Mbaya zaid unaweza ukajakuzin ba mtu ambae hatakua chaguo lako. Anaweza akawa mvuta gwee au mlevi balaaa. Jipange upate walau mtu ambae hutajuta kumpa. Ndege mjanja siku zote......
 
Kila mwanadamu ana haki ya kuchagua namna ya maisha impendezayo yeye, lakini mtu yule achaguaye njia zimpendezazo Mungu yu na kheri...

Binti umechagua njia iliyo njema, endelea kutunza usichana wako kama nafsi yako itamanivyo...
 
Kwanini utuhukumu wanaume wote? Mimi mke wangu nilianza nae hio mchezo tangu akiwa form four hadi tunakuja kuuona ilikua kitu kama ten years. kwahio usihitimishe kuwa hutaki kufanya hadi ndoa maana kama ni Wako ni Wako kama sio wako hata mkiingia kwenye ndoa atakuja kukukimbia tu. Take it from me. Baya zaidi waweza jitunza hivyo ukaishia kupata gumegume.....i tell you

ooh,man you are so wise,,huo ndio kweli,kama ipo ipo tu kimiani,km andhan ndoa ndio uaminifu,atafungshwa ndoa,atatafunwa kisha ndoa itapgwa chn,kwisha habari yake,akili za wanaume wanazijua wanaume wenyewe.
 
Shake it well before use...hiyo ndiyo sera na kauli mbiu ya sasa..tunaogopa kukutana na papuchi zenye sura kama ngozi goti...maana zinatisha kutokana na kusuguliwa kwa muda mrefu...alafu ukikutana nae anakuambia hoo sikupi NYAPU..mpaka ndoa..LOH..
 
Utakua na matatizo ya hormones hasa aestrogens! Muone daktari haraka sana iwezekanavyo!!
 
Utanunuaje gari bila kujua specifications zake? Itakuchachia tu hiyo dudu!
 
Hao wa hivi ndo wanaokuja kutembea na kaka zao.
Pata special dedication hapa.
My sister brook

weng wao wakishajua utam wa huo mchezo huchanganyikiwa,utamleta hm kisha atagawa gem hata kwa madogo,nilimpata wa aina hyo,25 hajawah,dah,baada ya kujua huo,akachanganyikiwa,kila aliekatiza mbele yake mwenye suruali alipata gem,hatari sana,mi nawaogopa.
 
sijui nikwambieje mdogo wangu!!
Wanaume wanakapenda sana hako kamchezo!!! Ila ni katamu ujue.
Bora usijaribu ukae hivyohivyo.
Ukishaingia hutoki na wanaume wa sasa kumpata mmoja mpaka ndoa ni issue na weee hujakomaa kwa heka heka.
Mungu akujaalie ujitunze usikutane na mibazazi mikurumbembe tuliyokutana nayo sisi.
Kwamaana umekubuhu!? sasa unamchukuaje mwanamke bila kujua kama anafanyakazi ndo ndoa tunaziona wiki zimevunjika kwakuwa hawakufahamiana mapema!
 
Endelea na msimamo huo maana hata wanaume tunapenda mwanamke asie maharage ya mbeya. Na huo ndio htakatifu...anaependa ngono kabla ya ndoa huyo sio muoaji na hata akioa bado iman kwa mke wake sio kubwa akisafiri anaamin kwamba mkeo au mmewe atakuwa na mwingine .....kaza buti usijilegeze dada
 
Kila mwanadamu ana haki ya kuchagua namna ya maisha impendezayo yeye, lakini mtu yule achaguaye njia zimpendezazo Mungu yi na kheri... Binti umechagua njia iliyo njema, endelea kutunza usichana wako kama nafsi yako itamanivyo...
ushauri wako ni mzuri mdada nakushauri uufuate huu
 
Back
Top Bottom