Crystal clear
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 809
- 338
I like itEndelea na msimamo huo maana hata wanaume tunapenda mwanamke asie maharage ya mbeya. Na huo ndio htakatifu...anaependa ngono kabla ya ndoa huyo sio muoaji na hata akioa bado iman kwa mke wake sio kubwa akisafiri anaamin kwamba mkeo au mmewe atakuwa na mwingine .....kaza buti usijilegeze dada