Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

Hongera, ila pamoja na kuwa beki zako zinakaba, kuna siku zitachoka zikipanda watu watapiga counter attack, hapo ndio utajua ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu....
 
uamuzi mzuri siyokukimbia panapofuka moshi bali angalia ule moshi ni wa nini na utaudhibitije.many tanzanian tuna roho nyepesi ya kukata tamaa mapema.majaribu ndyo kipimo cha ushindi
 
we unataka kuuzia watu mbuzi kwenye gunia.we huoni hata kwenye shule za seminary kila mwisho wa mwaka paper ukifeli kwenu.....watu hawataki kubahatisha
 
Mmmhhh si ndio nishafika mwisho....hahaha

!
!
dah!nilikuwa nimenata kwenye post zako nikiamini na bado naamini itaendelea tu,tupe hata trial tatu za mwanzo......ikawaje?umegundua nini?
advantages?disadvantages?
una mengi bana hebu endelea kidogo kukata kiu ya mshabiki wako
 
nacheka tu eti kuja kushituka limeishakuwa shimo
 
Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun

You have a long way to go.
 
sijui nikwambieje mdogo wangu!!
Wanaume wanakapenda sana hako kamchezo!!! Ila ni katamu ujue.
Bora usijaribu ukae hivyohivyo.
Ukishaingia hutoki na wanaume wa sasa kumpata mmoja mpaka ndoa ni issue na weee hujakomaa kwa heka heka.
Mungu akujaalie ujitunze usikutane na mibazazi mikurumbembe tuliyokutana nayo sisi.

Hahahaha amu mbona unamtamanisha mwenzio?Eti kamchezo ni katamu!Waego sio katamu wala nini,yaani uo mchezo ni wa ujinga,wa matusi na dhambi!
 
Last edited by a moderator:
kuwa single bila mahusiano kama unaweza, ila kwa zama hizi za digital hakuna mwanamme atakaekubali kuoa mtu bila ku enjoy nae kabla. Unaonekana hujiamini na au huna ubunifu kwenye mahusiano ndo mana unahisi mwanaume aki sex nawe ataboreka na atakimbia.
 
Mimi naamini hutafika mwisho kwa sasa itunze lakini utawapa tu hata kabla ya malengo yako wanaume wenyewe ndiyo hawa swaga kibao utawapa tu one day.

na siku akitoa atuambie ili tujue msimamo wake umedumu kwa mda gani
 
Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun
Sometimes It's better to be alone no one can hurt you that way
 
Endlea na msimamo wako bint,usidanganyike wala kushawishika.
 
Back
Top Bottom