Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

sijui nikwambieje mdogo wangu!!
Wanaume wanakapenda sana hako kamchezo!!! Ila ni katamu ujue.
Bora usijaribu ukae hivyohivyo.
Ukishaingia hutoki na wanaume wa sasa kumpata mmoja mpaka ndoa ni issue na weee hujakomaa kwa heka heka.
Mungu akujaalie ujitunze usikutane na mibazazi mikurumbembe tuliyokutana nayo sisi.

Napendaga ushauri wako wakati mwingine! Out of topic, ulishamilikisha mali zako?
 
Usitobolewe we baki ivo ivo sealed isee manake ...
 
Ngoja tuone ka utamaliza huu mwaka mzima, kwa comment za JF mbona utakua curious tu kujaribu
WARNING! Ukiingia unahitaji nguvu ya ziada kutoka hasa kwa wale wa mara ya kwanza kwanza
 
Umenikumbusha post ya mwanamke mwenye "k" baridi! Duniani kweli kuna viroja!
 
Mwanaume wa hivo utamngoja mpk uwe bibi kizee, kwanza siku hizi bikra sio issue watu hawataki usumbufu, wewe sasa hivi una 22 huoni uzee ndio ushaanza kukunyemelea! Kawe sista uitunze vizuri ije igeuke madini ya thamani uwe tajiri
 
Kazi kweli kweli
 
Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun

Kama hautaki kumake love basi acha kabisa mawazo ya kuwa na mpenzi ingawa ni ngumu sana.

Kupata mtu atakayekubali kukuoa bila kujua ladha ipoje ni ngumu zaidi ya wewe kuvundika hiyo papuch yako.
 
Kuna mmoja kama ww nae kaitunza sana...hadi anafika 27 hajaguswa...juzi kaja getto anahamu ya kunyonywa chu*. Heee baada ya hapo naona binti analegea kiulaiiiini......!
Mlango giblatar ukafunguliwa kwa ustad mkubwa....aliposhtuka tayar limeshakuwa shimo..!

hahahahaha!
 
Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun

wewe ni mwenyeji wa wapi?mbona hueleweki unazungumza lugha gani?
 
believe me wakaka wanaojiheshim bado wapo.[/QUOTE]

Ukiwaweka kina kaka mia nikiwemo na mimi,utapata mmoja tu,au wakati mwingine usipate kabisa mwenye sifa hiyo! Kitu kimoja ngoja nikuambie,siku hizi mambo si kama zamani! Kuna rafiki yangu alikuwa na msimamo sawia na ule wa demu wake,yaani wa_keep trustwothy without sex hadi waoane! Mungu si Maganga,wakafunga ndoa! Siku ya kwanza wanataka kuingia bed_gym kukuta mwanamke ana katobo kadogo saizi ya kuingiza kidole cha mwisho! My point;sex before marriage is good though a sin! Mfano,mimi nina govi,utajisikiaje ukaja kuliona kwa mara ya kwanza na ndoa tumeshafunga! Kumbe ingekuwa before,ungeweza japo kunishauri nifanyeje!
 
mm mwenyewe natafuta msichana wa namna hyo, kudo mpaka 2takapooana kama upo tayar npm 2we 2nawacliana.,npo serious kwa hlo..
 
Usiogope tukutane inbox, siku nying sana natafta mwanamke mwenye msimsmo kama wewe, njo tuzungumze maisha mama
 
mwanaume anaweza kuvumilia mpaka ndoa...je wewe unaweza..? wasichana nlikua nikiwauliza hili swali wanaachia wenyewe sijui kwa nini,...!!!!
 
mmh baada ya mwaka nimempa sasa aanitesa . toto ujana ni mfupi mno ila usikushauri kukubali kudanganywa kawa kigezo cha ndoa aya .... tunza mali yako
 
Achia mzigo uwo, ndio real lv inaincrease especially kwa mtu kama mim ukinpatia ndio nitazid pend k yako.
 
wanamudanganya hawa...wee bania k yako ata kama hutapata mupenzi....wanawake wote waliotoa bikra kabla ya ndoa ni malaya tuu...plz plzplz dnt fall into that category. tulizana utapata tuu ambaye he is willing to wait. patience is a virtue
 
Back
Top Bottom