Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

no matter you'r virgin or not huwez kuepuka uhusiano by that age ila ndo maana ukapewa akil,my advice ukimuona mtu aliyesirious kuwa naye ila kwa makubariano yakutokutana kimwil until furthur notice kama unajitambua inawezekana.all the best young
 
Duh, hii ngumu sana... kukaa na mpenzi without sex ni uongo mtupu. Hata kama nikijifanya nitasubiri, lazima nitakuwa na mtu mwingine wa kupunguzia migenye.
 
Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun

Bora uwe nami tu ambaye sifanyi hayo mambo. Njoo pm nikunong'oneze.
 
no matter you'r virgin or not huwez kuepuka uhusiano by that age ila ndo maana ukapewa akil,my advice ukimuona mtu aliyesirious kuwa naye ila kwa makubariano yakutokutana kimwil until furthur notice kama unajitambua inawezekana.all the best young

fully '''busara jazz band''
 
bado hormone zijakutikisa vizuri, jipe miaka 2 mbele maximum.
 
Kwanini utuhukumu wanaume wote? Mimi mke wangu nilianza nae hio mchezo tangu akiwa form four hadi tunakuja kuuona ilikua kitu kama ten years. kwahio usihitimishe kuwa hutaki kufanya hadi ndoa maana kama ni Wako ni Wako kama sio wako hata mkiingia kwenye ndoa atakuja kukukimbia tu. Take it from me. Baya zaidi waweza jitunza hivyo ukaishia kupata gumegume.....i tell you
 
Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicl y one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun

gud gal....stay single nd dont give any man ur cookie before marriage...trust me nothing gud has ever come out of premarital sex. na hiyo mambo ya kusema eti hamna kuuziwa mbuzi kwenye gunia ni the inane way of justifying the evil ways.
it is a virtue being a virteous lady...keep it up!!
 
!
!
bila kufanya "matusi" itakuwaje?
unaweza jikuta dumbwiii breki "nyanya" huku na huko nyanya nazo "yolwa" ndani.....halafu ndio ushaoa tena. Hapana taka kubahatisha ukaguzi makini muhimu kabla ya safari.
Utangojea mno kwa huo udani msimamo
 
hahahahaaa,mdau unavyoielezea utadhan unafafanua umuhim wa serikali 3,
 
Back
Top Bottom