Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

Fikiria huyo mkeo angekua anavua chupi kwa kila aliyemtongoza,..bado ungemthamini??angekua na hadhi kama ya sasa?

Jawilat
Mi ndio nilikuwa wa kwanza kumtongoza! wengine walikuwa wanamuogopa. sasa uaminifu wangu umemtuliza
 
ngono ndio kipimo pekee cha kujua how much you love some one coz upendo ni kujitoa hivyo huna budi kujitoa kwa ajili ya mpenzi wako,pia wewe hisia zako unamalizia wapi
 
tofauti katia sisi wanaume na nyie wanawake ni kwamba we use love to get sex,you use sex to get love.so utadakwa tu time yako bado.!!!
 
Halafu siku hizi sio wanaume tu kutest papuchi za wadada hata nyie ni muhimu kujua kama mgegedo unaweza kutimiza majukumu yake sawasawa. Si unaona matangazo ya kuongeza nguvu za kiume yalivyo mengi. Mwingine akigusa papuchi leo, mpaka baada ya miezi sita, utakuja kulia hapa genye zimezidi na hamna msaada.. so It works both ways
 
!
!
!
mimi nasema tunda hata ling'ang'anie vipi mtini kuna siku litaanguka.
linaweza kukwepa mawe upepo na kila kitu mwisho wake litaanguka tu kiulaini unaliokota unaosha unakula.
 
Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun

Ukiendelea na msimamo wako huu wa kutaka kufanya mapenzi mpaka ufunge ndoa basi inawezekana ukaolewa na dume lisilokuwa na nguvu za kiume! Sijui utafanyaje na tayari umeshavikwa pete ya ndoa na umeshaapa viapo vyote na mbaya zaidi umeshasaini makaratasi ya ndoa! Wewe chagua mmoja na uwe unafanya mapenzi nae kwa tahadhali! I mean safe sex! Tena kama unataka uwe free nae mnaweza mkaenda kupima kabisa kabla ili muwe mnagegedana kwa uhuru zaidi! Sex ina faida nyingi kiafya! Anyway nisimalize utamu! But start making love mama! Msimamo wako una side effects!
 
ooh,man you are so wise,,huo ndio kweli,kama ipo ipo tu kimiani,km andhan ndoa ndio uaminifu,atafungshwa ndoa,atatafunwa kisha ndoa itapgwa chn,kwisha habari yake,akili za wanaume wanazijua wanaume wenyewe.

pesa makaratasi, akili za wanaume wanazijua wenyewe! (LIKE It)
 
Hicho ni kipochi-manyoya tu, sio dhahabu wala almasi ndio maana hata wadadapoa hata buku 5 watu wanakamua..endelea kukibana afu uone faida yake..afterall hakina hata hadhi ya kufunguliwa uzi kwene jamvi letu tukufu/
 
Hatari vijana wasikuizi wanaongea mashallah,hata sijui wanapata wapi maneno yauwongo...
 
In a few years you will wonder what the hell you were waiting for.
It aint a big deal sugar, just get it over with and play safe.:wink2::wink2:
 
Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun

Nimeupenda msimamo wako, inawekana kabisa ukajituliza mpaka ndoa, speaking from my own experience ila kwasababu kwa baadhi ya watu zinaa ni halali watakuona mshamba, keep it up
 
Back
Top Bottom