Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

Nimeupenda msimamo wako, inawekana kabisa ukajituliza mpaka ndoa, speaking from my own experience ila kwasababu kwa baadhi ya watu zinaa ni halali watakuona mshamba, keep it up

Experience is a good teacher! Fine! Nina experience pia na hii!
Demu mmoja alikuwa na msimamo kama huu! NO SEX BEFORE MARRIAGE! Akampata kijana mtanashati! Wakadumu mpaka 2 weeks before marriage, ndipo demu akaja kugundua kwamba dume wake alikuwa ana sex relationship na another girl na tayari other girl huyo was pregnant!
Demu mwenye msimamo wa NO MARRIAGE NO SEX aliumia sana na maneno haya yalimtoka mdomoni mbele yetu:- "I WISH I COULD GIVE HIM"
Katika maisha try to be basically realistic!
Ishi uhalisia wa maisha usiishi maisha ya kusadikika yanayoelea angani!
Maisha ya tamthiliya za Kifilipino hayapo katikaa ulimwengu halisi!
 
Back
Top Bottom