Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

Kweli akili zenu wanawake mnazijua wenyewe...ID fake...maisha fake.....story fake still bado unamwonea wivu na roho mbaya.???hivi utandawazi ndo umefanya siku hizi watoto wa kike hata haiba hamna?mtoto wa kike ana ujasiri wa kuzungumza namna alivyo gegedwa kwenye public Kweliiiii???..Labda mi bado naishi na fikra za kipindi cha Enzi za Mwalim ndo mana nashangaa haya n yaonaga humu
Ndio mana tukaitwa wanawake mkuu
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ebu urudi bana unakimbia wapi sasa matahira woyeeeeee hivi picha yangu bamdogo haijakufikia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na yeye tutamsambazia picha zake kwani sh ngapiii
Nitasema mwanangu tunafanana kama mneona yangu haina haja hata ya kumjua shunie
 
Ndo wawe wanaangalia hao wakuwavulia hivyo vyupi vyao, mbona wenzao hawaanikwi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umakini unahitajika aiseee matahira ni wengi ila baby hana hizi mambo jamaan atanisitiri ila utahira si mzuri kabisa
Shunie umeskia hiii

wengine matahiraa[emoji9] [emoji1] [emoji1]

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Kweli akili zenu wanawake mnazijua wenyewe...ID fake...maisha fake.....story fake still bado unamwonea wivu na roho mbaya.???hivi utandawazi ndo umefanya siku hizi watoto wa kike hata haiba hamna?mtoto wa kike ana ujasiri wa kuzungumza namna alivyo gegedwa kwenye public Kweliiiii???..Labda mi bado naishi na fikra za kipindi cha Enzi za Mwalim ndo mana nashangaa haya ninayo yaonaga humu
yaaani kuna watu hawajitambui kabisa
sio kua wewe unaishi enzi za ujima

hapanaa...wewe umelelewa ukaleleka..

ukawaelewa wazazi wako au walezi wanachotaka uingie nacho mtaani

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Uwe na heshima sasa.... ukiniona uniamkie la sivyo nitakuamsha DUDE la kitahira
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]na huu ubonge kama nakuona ulivyocheka ulivyotumiwa picha zangu li shunie lenyewe ndio lipo hivi mbele hajulikani nyuma hajulikani kuamshiwa dude ndio kiki ya jf bamdogo niamshie tu jamaan ila uzi hautadumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom