Kwanini hivi jamani...

truu
 
Mkuu kwa hiyo ulikuepo tangu hiyo 2006?
mkuu nipo humu since 2008 kama guest user na tokea 2010 kama signed in user,hii ni ID ya tatu.
Pia nyuzi za kipindi hiko mpaka leo bado ziko waweza zitafuta uzisome ujionee tafauti ya enzi hizo na sasa.
 
ID ya 3 kwa nini mkuu kama huto jali ujuzi
Hahah. hizo mbili nlisahau paswed mkuu.unakuta nlikuwa logged in kwenye device moja kwa muda mrefu siku nabadilisha device paswed skumbuki,skuiz natumia jf kwenye simu na kutokana na shuhuli zangu huwa nabadili mara kwa mara ndo maana inakuwa rahisi kukumbuka.
 
Sawa mkuu

Ila mana humu mambo ni mengi kuna mtu alimsifia sana mtu humu yule mtu alipo kuja akamwambia hata mimi nakukubali zaid na tulisha kutana tayari nilishangaa sana nikajiaminisha tu kua huyu alitokewa kwa ID nyingine wakamalizana
 

Aisee.

Huyo mtu si ajabu aliifurahia sana kampani yako.
 
Ndo hivyo mkuu,ila mie humu napaogopa kama ukoma,sjawahi mtongoza mtu wala sina matarajio hayo,nipo JF kubadilishana mawazo,kupata habari motomoto,kujifunza mambo mapya,kupiga soga na kutoa maoni yangu baas,mambo ya wachumba labda itokee tu mchuchu aamue kunitunuku na nijithibishie without rizonabo doubt kuwa siingii mkenge.
Sawa mkuu

Ila mana humu mambo ni mengi kuna mtu alimsifia sana mtu humu yule mtu alipo kuja akamwambia hata mimi nakukubali zaid na tulisha kutana tayari nilishangaa sana nikajiaminisha tu kua huyu alitokewa kwa ID nyingine wakamalizana
 

Mkuu tunafanana sana hivyo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…