Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

Naona umetuchana kweli.... ila nikuambie tu nawakaribisha wadada wote wanaovujishiwa siri za viungo vyao mimi nitawasitiri.

Asprin kwa uthibitisho zaidi.
Hahahahha hili tangazo ungeliweka kwa herufi kubwa ili walione wakutafute maana wadada wa jf sasa hivi wamekosa amani kabisa daily mapya yanaibuka... lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Nisaidie kuliweka font fent basi
 
Nashangaa K inatakiwa iwe ya kuvutia eti ili upige nayo selfie
Inakuwaje mtu anakuwa bize kuiangalia K? Badala waangalie sinema wanaangalia K. Kama vipi mbuzi kaiweka juujuu wakaiangalie...

Afu hamna adabu nyie watoto mnanifundisha misuto babu yenu. Ngoja niende Jukwaa la wakubwa nikanoe kipaji changu cha kutongoza
 
Back
Top Bottom