Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,943
- 15,678
Ata sijawai kukukimbia shunie maana sina ata ugomvi nawe na sema nilikua sipati notification rafikiSalama unanikimbia kila nikikuquote unanichunia jamaan au ndio ile ban antonio
Ata sijawai kukukimbia shunie maana sina ata ugomvi nawe na sema nilikua sipati notification rafikiSalama unanikimbia kila nikikuquote unanichunia jamaan au ndio ile ban antonio
Hapo sawa jamaan mana kama mara tatu hivi nilikuquote kimya nikasema labda ni ile ban tu jamaan niliyokusababishiaAta sijawai kukukimbia shunie maana sina ata ugomvi nawe na sema nilikua sipati notification rafiki
Kazi ipooo...ila ambao mmeshakuwa wazazi ndo mfanye kazi sasa ya kurekebisha hayo makosa kwa nzao zenuWachache sana wenye haiba hao wengine utafikili hawajazaliwa na kufundwa wametapikwa
Ahsante kwa Kukiwakilisha Vyema Chama na kwa kukitetea.Kwanza mvujisha taarifa na mvujishwaaji wa hizo taarifa wanatakiwa wajitathimini wote. Wengi wao huwa ni matahira wote.
Mtu mwenye busara atatongoza mwenye busara. Asiye na busara mara nyingi atatongoza matahira wenzake.
Wewe mwanamke/mwanamme unashindwa kumsoma mtu hata kwenye chatting. Basi za jukwaani umeshindwa je za pm. Au ukishafika pm haraka haraka mnapeana location na namba mambo yamekwisha.

Kweli kabisa kaka siku zote ndege wafanano huruka pamoja na ndicho nilichokielewa na kukiona hata mimi.Kwanza mvujisha taarifa na mvujishwaaji wa hizo taarifa wanatakiwa wajitathimini wote. Wengi wao huwa ni matahira wote.
Mtu mwenye busara atatongoza mwenye busara. Asiye na busara mara nyingi atatongoza matahira wenzake.
Wewe mwanamke/mwanamme unashindwa kumsoma mtu hata kwenye chatting. Basi za jukwaani umeshindwa je za pm. Au ukishafika pm haraka haraka mnapeana location na namba mambo yamekwisha.
Kwa Kweli ni Utoto na ushamba Hakuna la zaidi.Hahaa nimecheka eti wanatupa tabu ya kununua bando. Ila mimi nadhani ni utoto tu wakikua wataacha
Waambie wenzako waache kuwapa papuchi vichaaKweli kabisa
Nimewaambia hawa dada zetu kama hawataki hii kadhia.. wanachama wetu wapo vizuri kuvujisha kwetu mwikoAhsante kwa Kukiwakilisha Vyema Chama na kwa kukitetea.
Nafasi ya Itikadi Na Uenezi bado inakuhusu.![]()
Siri hadi za ndani ya chupi.Mmh. Hayo yataingia na kutoka. Kwani kuna wengine ndio hulka zao na hawajui kunyamaza.
Ila huwa nachukia sana na kuona aibu pia hasa pale ninapoona watu wanatoleana siri hadi za ndani ya mwili.
usiombe yakukute bora msambaziane PM hukohuko tujuage wenyewe huku tunachorana kuliko hapa wanasoma watu wengiii...inaumizaaaMmh. Hayo yataingia na kutoka. Kwani kuna wengine ndio hulka zao na hawajui kunyamaza.
Ila huwa nachukia sana na kuona aibu pia hasa pale ninapoona watu wanatoleana siri hadi za ndani ya mwili.
Itakuwa shemela hujakutana na K nyeusi ndio maana.kuna mambo ya kawaida sana kwenye jamii kama kulalana but humu ukimlala mwanamke akikupiga kibuti unamtangaza kwa mabaya
mbona wengine humu tumepigwa vibuti tumevumilia tu
haiba wakati wao wanaona utaitaa kua hvyoo...
tena watakusema kua wanaonewa donge,wivu na kijicho ukiwarudisha kwenye mstari na utaitwa haterr...
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Yani ban tu ndo inikimbize kweli? Bora ata ungeninyima k wala ninsingekimbiaHapo sawa jamaan mana kama mara tatu hivi nilikuquote kimya nikasema labda ni ile ban tu jamaan niliyokusababishia
Yani ban tu ndo inikimbize kweli? Bora ata ungeninyima k wala ninsingekimbiaHapo sawa jamaan mana kama mara tatu hivi nilikuquote kimya nikasema labda ni ile ban tu jamaan niliyokusababishia
Kati ya wale wote watoa siri hakuna muelewa pale. Mi nawaona hamnazo.Wamekuelewa hawatarudia![]()

Sawa Antonio nitawambia kwani na nyie mkipewa papuchi ndio mtangaze jamaan kama umeachwa au mmeachana piga kimya tu maisha mengine yaendeleeWaambie wenzako waache kuwapa papuchi vichaa
K nyeusiItakuwa shemela hujakutana na K nyeusi ndio maana.![]()
Teh teh teh. Ila kuna mambo humu.