Mie unitoe hapo kuwapa wehu sipo kabisaaaaa AntonioMi ata nikipewa uwa naunyuti tu shunie inabaki kuwa siri ya kojoleo
Tatzo mnawapa wehu ndo mana mnatangazwa wakati tunaojitambua mnatunyima
Naomba tuwe marafiki
WordKujifunza namna ya kuishi na watu .. dawa low profile akufukunyue asikupate vilivyo..
Usipoteze muda ukishaona rangi nyekundu.
Usipende kujadili wenzio kama wewe hupendi kujadiliwa ..
Acha kutaka kujua wanasema nini juu yako hayakuhusu.
Mtu akileta person issue kwenye jukwaa mfuate pm mweleze hutaki shobo za kisengerema...
Akijadili person issue hakuna haja ya kujibu ni kumuignore tu akiendelea mtie kwenye ignore list usione na wala asikuone..
Maisha mafupi sana dili na maisha yako hayamuhusu mtu ishi utakavyo na si kama watavyo.. huwezi ridhisha dunia but play your part .
Haaaaa aisee pm kumbe mnakumbana na vituko vingi sanaNaona thread ya wahenga hii...
Ila mmenikumbusha taahira alintext pm akanambia.." Dada nimependa lips zako,upo wapi nije nizinyonye"
Sasa taahira kama hilo unalijibu ili iweje...kuna mataahira wengi sana PM..
I agree kwamba unaeza msoma mtu thru text na unavochat nae PM..
Cc😀aby
Sawa ww nipe nafac na siku nkiambulia ntakukumbusha haya manenoIla hutaambulia kitu
Alafu tatzo lako unalijua ambalo kila mara nakuambia ila umegoma kutimiza
lipi tena jamaanHahaaaa. Wanaona wakirudi ndio poa ili watu wajue kama wamekulana.kama hvyo mpk siku mnaenda kulana mngetuambia tuwachagulie style..!!!
sent from motorola bapa and nokia jeneza
mwenzanguuu![]()
![]()
![]()
nimejutaaaa...!!!
sent from motorola bapa and nokia jeneza






Alafu weusi uwa watamu sana nyie. Nawatafutaga sana shunieJaman jaman sisi weusi ndio mnatunanga hivi
ukongwe na utu uzima dawa unachangia piaKijana atasubiri sana asee...
Niko vizuri sana kwenye hii fani
nimependa huo usemi wako “akimla nyama msichana"...em msichana mmoja ajitokeze na mie nikamle nyama nione ladha yake!au hizo nyama wanagawana huko Pm tu?Hahahaaa. Hivi my dada. Ashakum si matusi.Jaman jaman sisi weusi ndio mnatunanga hivi

Lile la kuweka lock![]()
lipi tena jamaan
Labda itakuwa wanaangalia na rangi ya mtu jamaan ila k ni k tuuu iwe nyeusi au nyeupeHahahaaa. Hivi my dada. Ashakum si matusi.
Hivi huwa kuna nyeupe. Au ndio walikosa cha kuongea.![]()
Kwahiyo umeshawatafuna wengi sana eenh AntonioAlafu weusi uwa watamu sana nyie. Nawatafutaga sana shunie
Hahaaaa. Hata nami shemeji nimeshangaa.shemeji kama mtu mweusi unategemea uikute nyeupe
itakua mitakataka shemeji
nasikiaga hainaga u shemeji ni kweli ?