Kwanini hakuna Mkuu wa Majeshi mwanamke hapa Duniani?

Kwanini hakuna Mkuu wa Majeshi mwanamke hapa Duniani?

Mimi hata makamu wa Rais kuwa mwanamke nina ukakasi sana.

Imagine kuna Dume linamla Mama Samia, pia niliskia Magu aliomba mzigo.

Duh
 
Unajua mkuu wa majeshi wa Iceland?ni mwanamke anaitwa Yuri anacluqe,anaongoza jeshi LA watu 376,nchi yao INA watu 200532.
 
Hahahahah
mkuu Malcom Lumumba huku kuna swali veeree kritiko!.
Jeshi ni neno pana sana mkuu, mpaka sasa kuna aina mbili ya majeshi:
1. Military Forces ( Fully armed wing of the nation or state)
2. Para-Military Forces (Groups, Armed bands, Terrorist Groups, Spy Agencies etc performing mixed tasks )

Vyote hivi vinafanya kazi ya kulinda nchi,
Tena kama Spy Agencies ndiyo mara nyingi zinakuwa the First Line of defense.
Katika minajili hii Marekani wana Mkuu wa Majeshi mwanamke Director Gina Haspel, Head of the Central Intelligence Agency. Ukiiangalia CIA vizuri tokea kipindi ni OSS utakuja kujua kwamba lile ni jeshi la aina yake sema linafanya kazi nje ya nchi na gizani, tena kazi zake mara nyingine zinakuwa za hatari kuliko Majeshi ya Marekani.

NB: Kwenye karne ya 21 Jeshi ni neno pana sana, pia siyo lazima liwe chini ya nchi kama ilivyozoeleka. Ukisoma vizuri The Four Geneva Conventions of 1949 and Additional Protocols of 1977 utaona huu utofauti, lakini pia hata Private Security Contractors nao siku hizi wanahesabiwa na sheria za baadhi ya nchi kama majeshi.
 
Mwanamke kwenye hili - Military Forces ( Fully armed wing of the nation or state).
Huwa tukianza jadili tunatoka nje ya mada sana!😀
In a state of emergency Katiba yetu Tanzania inaruhusu kuemploy Private Security Contractors kutufanyia kazi zetu, letsay tunaweza kodi makampuni kama Black Water na Wagner Group kutusaidia!?.. Najua katiba hairuhusu uwepo wa Private Security Contractors ndani ya nchi yetu.
 
Unajua mkuu wa majeshi wa Iceland?ni mwanamke anaitwa Yuri anacluqe,anaongoza jeshi LA watu 376,nchi yao INA watu 200532.

Military branches:
no regular military forces; Icelandic National Police; Icelandic Coast Guard (2016)

Military - note:
Iceland is the only NATO member that has no standing military force; all US military forces in Iceland were withdrawn as of October 2006; defense of Iceland remains a NATO commitment and NATO maintains an air policing presence in Icelandic airspace; Iceland participates in international peacekeeping missions with the civilian-manned Icelandic Crisis Response Unit (ICRU)

NOTE: 1) The information regarding Iceland on this page is re-published from the 2018 World Fact Book of the United States Central Intelligence Agency. No claims are made regarding the accuracy of Iceland Military 2018 information contained here. All suggestions for corrections of any errors about Iceland Military 2018 should be addressed to the CIA.
2) The rank that you see is the CIA reported rank, which may habe the following issues:
a) The assign increasing rank number, alphabetically for countries with the same value of the ranked item, whereas we assign them the same rank.
b) The CIA sometimes assignes counterintuitive ranks. For example, it assigns unemployment rates in increasing order, whereas we rank them in decreasing order
 
Mwanamke kwenye hili - Military Forces ( Fully armed wing of the nation or state).
Huwa tukianza jadili tunatoka nje ya mada sana!😀
Hahaha,
Nadhani hapa siyo jambo la Semantics peke yake bali tuangalia nguvu za nafasi ya mtu.
Tukiangalia katika picha ya Uhalisia DGN wa CIA Gina Haspel ana nguvu sana kuliko General Mike A Milley ambaye ndiyo Chief of Staff. Anaweza akafanya vitu ambavyo vinaweza kuiingiza nchi ya Marekani au dunia kwa vita kubwa. Kwenye maswala ya Ulinzi yeye ana kura nzito mno. Tena na jinsi ambavyo POTUS wa sasa hivi ana ujirani na Langley kuliko taasisi yoyote ya Ulinzi inamfanya huyu mama kuwa ndiye mtu wa kwanza wa ulinzi baada ya Raisi.

In a state of emergency Katiba yetu Tanzania inaruhusu kuemploy Private Security Contractors kutufanyia kazi zetu, letsay tunaweza kodi makampuni kama Black Water na Wagner Group kutusaidia!?.. Najua katiba hairuhusu uwepo wa Private Security Contractors ndani ya nchi yetu.

Sheria ya nchi inachokataza ni kwa watu binafsi kuwa na vikosi binafsi vya kijeshi.
Lakini Serikali katika nguvu zake "Exercise of Sovereign power" inaruhusiwa kushirikiana na Nchi yoyote ile, taasisi yoyote ile au mtu yoyote yule kwenye masuala nyeti ya ulinzi bila kuulizwa. Hivyo hilo linawezekana sana, endapo tu Serikali itaamua kufanya hivyo. Hata hivyo Serikali ya Tanzania ina rekodi hiyo ya kushirikiana na vikosi vya kijeshi au watu binafsi kwenye mambo ya Ulinzi ili kulinda maslahi yake.
 
Jibu ni rahisi tu mwanamke huenda mstari wa mbele kupigana vita? Jibu ni hapana wao huwa makambini zaidi kusaidia majeruhi na kuhamasisha wapiganaji........sasa kama mtu haingii kupigana rasmi iweje aje kuwa mkuu wa Majeshi? Hivyo mkuu suala jepesi tu tofauti ya kimaumbile mwanaume ameumbwa mateso yaani kula kwa jasho mwanamke kuzaa kwa uchungu........kuna kazi ngumu ambazo mwanamke hawezi kuzifanya ila mwanaume kazi zote ngumu anazoziweza mwanamke mwanaume anazifanya

Hivyo mkuu hapa sio ubaguzi wa kijinsia wala mfumo dume bali ni natural selection........hata kwenye mazoezi jeshini mateso ayapatayo mwanaume ni tofauti na mwanamke
 
Sheria ya nchi inachokataza ni kwa watu binafsi kuwa na vikosi binafsi vya kijeshi.
Lakini Serikali katika nguvu zake "Exercise of Sovereign power" inaruhusiwa kushirikiana na Nchi yoyote ile, taasisi yoyote ile au mtu yoyote yule kwenye masuala nyeti ya ulinzi bila kuulizwa. Hivyo hilo linawezekana sana, endapo tu Serikali itaamua kufanya hivyo. Hata hivyo Serikali ya Tanzania ina rekodi hiyo ya kushirikiana na vikosi vya kijeshi au watu binafsi kwenye mambo ya Ulinzi ili kulinda maslahi yake.
Unahisi hakuna umuhimu kuwa na makampuni binafsi Tanzania!?.. Upande wangu naona Own What you Can Own!.
 
Mkuu Palantir kwa mtizamo wangu kuna kitu tunakisahau hapa.
Unajua uwanja wa vita umebadilishwa sana na kasi ya maendeleo ya teknolojia ???
Siku hizi tunona AI (Artificial Intelligence), Autonomous Weapons, Drones, Cyber Warfare a and Information Warfare kuwepo na mwanamke Mkuu wa majeshi katika aina hii ya mazingira ni jambo rahisi sana. Maana kama zamani walikuwa wanakataza Recruitment, Training and Deployment of Child Soldiers kwenye uwanja wa vita siku hizi watoto kuanzia miaka 12 hadi 17 wanatumia sana kwenye Operesheni za Kijeshi na US Army, CIA, FSB, MOSSAD etc.

Maana siyo lazima uwapeleke watoto kwenye uwanja wa vita kule Afghanistan,
Bali unatengeneza chumba cha watu 100 halafu hao watoto wenye akili kubwa wanakuwa CYBER ARMY.
Au wanahusika na kuendesha Drones au kucheza na mtandao kwa aina yoyote ile. Kama ilivyo kwenye Movie ya Ender's Game basi ndiyo halihalisi ilivyo leo. Julian Assange kwenye kitabu chake cha CYPHER PUNKS anasema Marekani ina kikosi cha mtandao kimejaa watoto wadogo wanaojua kucheza na mtandao hadi utakimbia.

NB: Katika Mazingira kama haya ambayo misuli na Ugali havitumiki sana unadhani miaka 20 mbele hakutakuwa na wanawake wakuu wa majeshi kweli ????

CC: chige , Dumbuya , MSEZA MKULU , TUJITEGEMEE , zitto junior
 
Unahisi hakuna umuhimu kuwa na makampuni binafsi Tanzania!?.. Upande wangu naona Own What you Can Own!.
Hahaha Palantir bwana,
Mbona yapo sana tu japo hayaruhusiwi na sheria.
Professional Hitmen, Assassins na Security Personnel wapo wengi sana hapa.
Wanakodiwa na makundi ya kimafia, Wafanyabiashara wakubwa, Mafisadi, Wauza unga na hata serikali yenyewe.
Ni mtandao wa kibishara usioonekana lakini Serikali na watu fulani fulani wanajua dhahiri kabisa kwamba lipo kitambo.
 
Back
Top Bottom