Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,347
- 201,621
Upo???Jibu zuri mkuu..
Upo???Jibu zuri mkuu..
Nipo mkuuUpo???
Hivi una id mbili ?Nipo mkuu
Halafu kidume mwenyewe ni raia wa kawaida tu😀Pata picha mkuu wa majeshi mjamzito.na kuna kidume ndio kina tukazia mkuu wetu wa majeshi
Nyingine ipi?Hivi una id mbili ?
duh umeuaMkuu wa majeshi awe na mimba jeshini, hapana haipendezi, itaonekana huwa anafanya matusi
Wapo sawa tuuKWA NINI JESHINI WANAUME NI WENGI KULIKO WANAWAKE? nikipata jibu la hili ndio nitajibu hoja husika
Ni idara binafsi ya serikali kwa mujibu wa sheria ila zamani ilikuwa ni kitengo cha jeshi la polisi pia zimamoto naoHivi uhamiaji ni kitengo ?
Au ni part ya jeshi?
Na huyu makamu kafikaje hapo?Wanawake ni viumbe dhaifu sana hata kupewa madaraka kama urais, ubunge, uanasheria bado hawakidhi vigezo hivyo vya kupewa nyazifa hizo kwanini sababu ya udhaifu wao. Kubeba mimba, kutongozwa, nguvu
Yupo Kenya.Leading a military sio kazi rahisi kama unavyodhani. Military state within a state, so ile kazi ya kuwa mkuu wa majeshi. Lazima achaguliwe mwanaume ambaye amkuwa jeshini kwa muda mrefu na anauzoefu wa muda mrefu. Na pia wanaume ni leaders toka anapozaliwa.
Na si tu ukuu wa majeshi hata special forces hakuna mwanamke. America waliwahi kulalamika kuwa hakuna female special force lakin baada ya kupewa mazoez sawa wanayopewa wanaume walifeli sana.
Man are mans, woman atabaki kuwa hivyo hivyo.
hata manabii na mitume walikuwa wanaume! [emoji23] maji hufuata mkondoWakuu wa jukwaa.naombeni mnijuze ni kwanini akina mama hawapewi nafasi adhimu na nyeti ya kuongoza Jeshi ( Ukuu wa Majeshi ) ?
Nini tatizo, mbona Urais, Umakamu wa Rais na hata Uwaziri Mkuu huwa wanashika nyadhifa hizo, lakini ukuu wa majeshi ni shida?
Karibuni kwa mjadala...
Katembelea slope ya Magu, angekua anasimama kugombea huo umakamu sasahivi angekua kwake anapika.Na huyu makamu kafikaje hapo?
Mtoa tano ukichokahuko jeshini mwanajeshi wa kike nilisikia anaitwa mhamasishaji sasa sijui anahamasisha nini
unategemea anaeitwa hivyo awe mkuu wa majeshi?