Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,721
Wanawake ni wachache jeshini hivyo demokrasia inatumika.
kama Tanzania imetokea Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Tanzania ambaye mkuu wa majeshi yupo chini yake na ndiye Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samiah Suluhu Hassan "Mwanamke"Wakuu wa jukwaa.naombeni mnijuze ni kwanini akina mama hawapewi nafasi adhimu na nyeti ya kuongoza Jeshi ( Ukuu wa Majeshi ) ?
Nini tatizo, mbona Urais, Umakamu wa Rais na hata Uwaziri Mkuu huwa wanashika nyadhifa hizo, lakini ukuu wa majeshi ni shida?
Karibuni kwa mjadala...
Nikurekebishe kidogo, idadi ya misuli ni ilieile kwa mwanaume na kwa mwanamke, ila tu tofauti ni strength ya misuli kulingana na utofauti wa ukuji kati ya mwanamke na mwanaume.Ni ngumu sana hii kwa mwanamke kuongoza jeshi.
Kwanza tofauti za kimaumbile yaani misuli ya mwanaume ni mingi kuliko mwanamke hivyo tofauti ya nguvu.
Pili ni uwezo was kuhimiki stress, mwanamke hawezi kuhimili long stress.
Tatu ni kutokana na mwanaume ni kiongozi kwa mwanamke hta maandiko yanathibitisha, why tupinge. Tusisingizie mfumo dume
Sasa kama mwanaume ni kiongozi na mwanamke hawezi kuongoza mbona nchi yetu kwa sasa ipo chini ya Mwanamke? Kwa hiyo hakuna uongozi nchini au tafsiri yake ni nini?Ni ngumu sana hii kwa mwanamke kuongoza jeshi.
Kwanza tofauti za kimaumbile yaani misuli ya mwanaume ni mingi kuliko mwanamke hivyo tofauti ya nguvu.
Pili ni uwezo was kuhimiki stress, mwanamke hawezi kuhimili long stress.
Tatu ni kutokana na mwanaume ni kiongozi kwa mwanamke hta maandiko yanathibitisha, why tupinge. Tusisingizie mfumo dume
Soma uzi vizurikama Tanzania imetokea Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Tanzania ambaye mkuu wa majeshi yupo chini yake na ndiye Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samiah Suluhu Hassan "Mwanamke"
Basi amini chini ya Jua hakuna jambo linaloshindikana.
Ni swala la muda tuu. Time will tell.
Kwani ushaonaga padri wa kike!!??Wakuu wa jukwaa.naombeni mnijuze ni kwanini akina mama hawapewi nafasi adhimu na nyeti ya kuongoza Jeshi ( Ukuu wa Majeshi ) ?
Nini tatizo, mbona Urais, Umakamu wa Rais na hata Uwaziri Mkuu huwa wanashika nyadhifa hizo, lakini ukuu wa majeshi ni shida?
Karibuni kwa mjadala...
Ndio umeandika nini?Kwani ushaonaga padri wa kike!!??
Aisee wewe MUNGU ULIMUONA WAPI? NA KAMA NI MWANAUME VP ANA MKE WAKE?Uliwahi kujiuliza:-
(1)Kwa nini Mungu ni Mwanaume na si mwanamke?
(2)Kwa nini Mungu alimwumba kwanza Adamu(mwanaume) na siyo Eva?
(3) Kwa nini Mungu alimleta Yesu(mwanaume) ili kuukomboa ulimwengu?
(4) Kwa nini Yesu aliwachagua mitume 12 ambao wote walikuwa ni wanaume bila kumchagua hata mwanamke mmoja?
(5)Kwa nini Mungu alimleta Mtume Muhammad S.A.W (mwanaume) na wala si mwanamke?
NB:- Mifano mingine aongezee mtu mwingine.
Kuongoza jeshi mpaka uwe na misuli? Hapana mkuuNi ngumu sana hii kwa mwanamke kuongoza jeshi.
Kwanza tofauti za kimaumbile yaani misuli ya mwanaume ni mingi kuliko mwanamke hivyo tofauti ya nguvu.
Pili ni uwezo was kuhimiki stress, mwanamke hawezi kuhimili long stress.
Tatu ni kutokana na mwanaume ni kiongozi kwa mwanamke hta maandiko yanathibitisha, why tupinge. Tusisingizie mfumo dume
Major General Zawadi Madawili mama yetu alishastaafu kipindi niko JKT alikuwa matron general wa JKT nchi nzima.Mwaka 1975 alikuwa mwanamke wa kwanza kupata cheo cha Luteni.Wako wengiene wawili Sara Rwambali na Lilian.Wote ni mama zetu hawa wameshastaafu.Hapa mama Zawadi Madawili kipindi akiwa brigedia general picha za wengine Chini mhe JK akitaniana na makamanda wake major general Lilian Kingazi na Major general Sara Rwambari ikulu.Ikumbukwe kuwa kama ni seniority kijeshi mhe alikuwa yeye ni Luteni kanali kipindi anaingia siasa ila kwa hapa sasa vile yeye ni Amiri jeshi mkuu amekuwa boss wao sasa maana ndio anayewateua.Hapa inaonekana katika hali ya kawaida japo ni boss wao lakini wanampiga madongo mkuu wa wa nchi kwa tafsiri ya picha tu labda wanamuambia heeeee wewe Jakaya yaani umekuwa bwana mkubwa sasa hongera sana(ni mawazo yangu tu ya kiutani)Hakuna chs mfumo dume wala mfumo beberu ni wao wenyewe tu hawakufikia cheo cha ujenerali hata mmoja. Hapa Tanzania mwanamke aliyefika cheo cha juu zaidi ilikuwa ni meja jenerali kipindi cha Kikwete. Nahisi ashastaafu
ndo hivo, swala la mkuu wa majeshi mwanamke inawezekana kabisa, ni swala la muda tuu. Muda wake ukifika atapatikana na itatokea tuu.Soma uzi vizuri
tozo za miamala mmepunguziwa kati ya asilimia 30% na 40% bado hamriziki tuu?Mkuu tunalia na tozo uku
Urais wanapewa watu wazima, Mama mtu mzima mwenye miaka 60 anapataje mimba wakati mayai yalishakauka?Mimba ikimchukua Rais je? Si atapindua nchi