Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,348
- 6,671
Huko US wao wanataraji kuwa na female chief of staff kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 20 ijayo hii ni kwa mujibu wa Gen. James McConvilleWakuu wa jukwaa.naombeni mnijuze ni kwanini akina mama hawapewi nafasi adhimu na nyeti ya kuongoza Jeshi ( Ukuu wa Majeshi ) ?
Nini tatizo, mbona Urais, Umakamu wa Rais na hata Uwaziri Mkuu huwa wanashika nyadhifa hizo, lakini ukuu wa majeshi ni shida?
Karibuni kwa mjadala...