Kwanini hakuna Mkuu wa Majeshi mwanamke hapa Duniani?

Kwanini hakuna Mkuu wa Majeshi mwanamke hapa Duniani?

Maana siyo lazima uwapeleke watoto kwenye uwanja wa vita kule Afghanistan,
Bali unatengeneza chumba cha watu 100 halafu hao watoto wenye akili kubwa wanakuwa CYBER ARMY.
Lazima wawepo kwa kweli na inawezekana hao watoto wakawa wanadanganywa as ni Game tu kumbe kuna sehemu yanafanyika in real time!..
NB: Katika Mazingira kama haya ambayo misuli na Ugali havitumiki sana unadhani miaka 20 mbele hakutakuwa na wanawake wakuu wa majeshi kweli ????
Watakuwepo tena kwa uwingi sana, lakini kwa uono wangu inabidi hawa wanawake itabidi vetting yao iwe tofauti na wanaume katika kushika hicho cheo!. African ladies/women are inferior in all aspects regardless what position they may hold!, hapo tu ndo wasiwasi wangu!.
 
Hahaha Palantir bwana,
Mbona yapo sana tu japo hayaruhusiwi na sheria.
Professional Hitmen, Assassins na Security Personnel wapo wengi sana hapa.
Wanakodiwa na makundi ya kimafia, Wafanyabiashara wakubwa, Mafisadi, Wauza unga na hata serikali yenyewe.
Ni mtandao wa kibishara usioonekana lakini Serikali na watu fulani fulani wanajua dhahiri kabisa kwamba lipo kitambo.
Hahaa i mean legally hizi underground zina matatizo yake sometimes!.
Kuna kipindi nilisoma andiko la Yericko state within Tz State hahah..
 
NI SWALA LA NAFASI TU LAKINI MBONA IDARA YA UHAMIAJI INAONGOZWA NA MWANAMKE KAMA ULIWAHI KUFUATILIA UTAKUWA UMEGUNDUA KUWA JESHINI NAFASI NYINGI ZA JUU ZIMESHIKWA NA WANAUME MFANO LT.GEN NI MWANAUME,BRIGEDIA GEN NI MWANAUME MAJOR GEN NI MWANAUME GEN PIA NI MWANAUME HATA KIKOSI CHA MAKOMANDO HUWA HAKINAGA WANaWAKE HII INATOKANA NA MAZINGIRA YA ZILE KOZI KUWA SIO RAFIKI KWA WANAWAKE NA UKIONA MWANAMKE NIKOMANDO UJUE HUO NI UKOMANDO WA KUPEWA TUU!!!!! HATA HIVYO ULIMWENGUNI FALSAFA YA UONGOZI IMEJENGEKA KWA MWANAUME HEM TIZAMA NCHI ZILIZOWAHI KUONGOZWA NA WANAWAKE KATIKA NAFASI ZA URAIS KISHA UONE MUELEKEO WAKE
 
Mfumo dume bado unatawala. Ila wavulana wa mikoani tayari wameenza kutepeta, wameenza kunyimwa unyumba kama majirani zetu Kenya, very soon wanawake watakua viongozi wa familia kwa kuanzia.
Watageuka kuwa wanaume mkuu[emoji15]
 
Mkuu wa majeshi apake lip stick, anyonyeshe! ajitizame kunako kioo! saa ngapi sisi huku tuna songa mbere! kwenye uwanja wa mapambano! mara hana Pedi,

Kleopatra alikuwa mzuri na hodari sana, kuongoza majeshi ! ila dawa yake ndogo sana, ilimfanya ashindwe '' Mshedede'', aliishiwa kutongozwa na Octavian. Egypt ikapotea mazima mpaka leo! ndiyo Pharaoh wa mwisho huyu mama!

Tangia siku hiyo hawatoi nafasi kwa mwanamke! kuwa final say!
 
NI SWALA LA NAFASI TU LAKINI MBONA IDARA YA UHAMIAJI INAONGOZWA NA MWANAMKE KAMA ULIWAHI KUFUATILIA UTAKUWA UMEGUNDUA KUWA JESHINI NAFASI NYINGI ZA JUU ZIMESHIKWA NA WANAUME MFANO LT.GEN NI MWANAUME,BRIGEDIA GEN NI MWANAUME MAJOR GEN NI MWANAUME GEN PIA NI MWANAUME HATA KIKOSI CHA MAKOMANDO HUWA HAKINAGA WANaWAKE HII INATOKANA NA MAZINGIRA YA ZILE KOZI KUWA SIO RAFIKI KWA WANAWAKE NA UKIONA MWANAMKE NIKOMANDO UJUE HUO NI UKOMANDO WA KUPEWA TUU!!!!! HATA HIVYO ULIMWENGUNI FALSAFA YA UONGOZI IMEJENGEKA KWA MWANAUME HEM TIZAMA NCHI ZILIZOWAHI KUONGOZWA NA WANAWAKE KATIKA NAFASI ZA URAIS KISHA UONE MUELEKEO WAKE
Yapi napata kapicha ka malkia wa wingereza na suala la mapadre mashoga .Napata picha Joyce Banda alivyokuwa raisi wa Malawi kidogo tuzipige alianzisha suala la mpaka kuwa ziwa Nyasa liko Malawi.
Ila aliyekuwa raisi wa Croatia ni mwana mama mmoja alikuwa komandoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna chs mfumo dume wala mfumo beberu ni wao wenyewe tu hawakufikia cheo cha ujenerali hata mmoja. Hapa Tanzania mwanamke aliyefika cheo cha juu zaidi ilikuwa ni meja jenerali kipindi cha Kikwete. Nahisi ashastaafu
Walikuwa wawili Zawadi Madawili na mwingine ila wamesha staafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu wa jukwaa.naombeni mnijuze ni kwanini akina mama hawapewi nafasi adhimu na nyeti ya kuongoza Jeshi ( Ukuu wa Majeshi ) ?

Nini tatizo, mbona Urais, Umakamu wa Rais na hata Uwaziri Mkuu huwa wanashika nyadhifa hizo, lakini ukuu wa majeshi ni shida?

Karibuni kwa mjadala...
Mpaka wawezeshwe ndiyo waweze sasa
Na ukuu wa majeshi wapi na wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo siku atakuwepo, si bado dunia haijaisha muda wake, subiria tu
Na Siku atakapokuwepo ndo dunia itafika Mwisho. Kuwapa wanawake madaraka ni mpango kamili wa shetani wa kuharibu asili ya maumbile ya mwanadamu. Ndo maana mwanadamu Leo amepoteza uhalisia wa vitu vingi sababu ya kuhamisha majukumu ya kiutawala na kiuongozi.
 
mkuu wa CIA ni mwanamke kwa mara ya kwanza
aliolewa akaachika zaidi ya miaka 30 iliyopita ,hana mtoto,hajiusishi na social network
ni mama wa kazi,kabla ya hakuwa dg wa CIA alikuwa ana operate kambi za siri za mateso kwa magaidi wa sept 11
watu walishtuka na uteuzi ,ili bidi CIA watoe CV ya operation alizofanya ndani ya miaka 33 anatisha kwa kweli
800px-Gina_Haspel_official_CIA_portrait.jpg
Kashaacha majukumu ya kuwa mwanamke jiulize yupo kambi za mateso.Ameuwa wangapi???
 
Mkuu wa majeshi akojoe amechuchumaa uliona wapi. Mkuu wa majeshi kapigwa na mume. Mkuu wa majeshi anaenda kliniki kisa mimba. Mkuu wa majeshi anatongozwa. Wewe acha kabisa labda nchi za visiwa vidogo vyenye watu 100 mpk 678
Mkuu wa majeshi yuko period halafu ana yale ma hasira na gubu yanayowapata wakiwa period. Au mkuu wa majeshi ana nyege anatafuta dume.
 
Leading a military sio kazi rahisi kama unavyodhani. Military state within a state, so ile kazi ya kuwa mkuu wa majeshi. Lazima achaguliwe mwanaume ambaye amkuwa jeshini kwa muda mrefu na anauzoefu wa muda mrefu. Na pia wanaume ni leaders toka anapozaliwa.

Na si tu ukuu wa majeshi hata special forces hakuna mwanamke. America waliwahi kulalamika kuwa hakuna female special force lakin baada ya kupewa mazoez sawa wanayopewa wanaume walifeli sana.

Man are mans, woman atabaki kuwa hivyo hivyo.
Na tuende mbali zaid kwa yule Rais alikuwa na female special force. Na kitu walimfanya vidume kaaa... Let men be men
 
Wakuu wa jukwaa.naombeni mnijuze ni kwanini akina mama hawapewi nafasi adhimu na nyeti ya kuongoza Jeshi ( Ukuu wa Majeshi ) ?

Nini tatizo, mbona Urais, Umakamu wa Rais na hata Uwaziri Mkuu huwa wanashika nyadhifa hizo, lakini ukuu wa majeshi ni shida?

Karibuni kwa mjadala...
Ni ngumu sana hii kwa mwanamke kuongoza jeshi.
Kwanza tofauti za kimaumbile yaani misuli ya mwanaume ni mingi kuliko mwanamke hivyo tofauti ya nguvu.

Pili ni uwezo was kuhimiki stress, mwanamke hawezi kuhimili long stress.

Tatu ni kutokana na mwanaume ni kiongozi kwa mwanamke hta maandiko yanathibitisha, why tupinge. Tusisingizie mfumo dume
 
Back
Top Bottom