Kwanini hakuna Mkuu wa Majeshi mwanamke hapa Duniani?

Kwanini hakuna Mkuu wa Majeshi mwanamke hapa Duniani?

Wakuu wa jukwaa.naombeni mnijuze ni kwanini akina mama hawapewi nafasi adhimu na nyeti ya kuongoza Jeshi ( Ukuu wa Majeshi ) ?

Nini tatizo, mbona Urais, Umakamu wa Rais na hata Uwaziri Mkuu huwa wanashika nyadhifa hizo, lakini ukuu wa majeshi ni shida?

Karibuni kwa mjadala...
Wanawake si unawajua wanavopenda mipasho na kusutana
Umpe ukuu wa majeshi si atatangaza vita
Afu sababu nyingine ni ya kimaumbile, yani imagine tuwe na mkuu wa majeshi ana t**w*
 
KWA NINI JESHINI WANAUME NI WENGI KULIKO WANAWAKE? nikipata jibu la hili ndio nitajibu hoja husika
Majeshi sio kikundi cha kwaya kile ni kikundi cha kazi ngumu so moja ya kipimo cha nguvu ya majeshi ni gender ratio i mean wanawake kimuonekano wameumbwa kama vivutio vya mtalii ambae ni mwanaume na mwanaume kimuonekano tu anaonekana ni mtu mwenye misuli ya kuhandle kazi za kibabe so ukiangalia kwa umakini utangundua kuwa ubaguzi huo hajauanza binadamu bali ni Mungu ambae ameziumba hizo jinsia mbili.
 
Hawa wakuu tulio nao bado masoja vichwa vibovu wanawachukulia kama maraia sembuse mwanamke ndio awe Mkuu wa majeshi dah
 
Mbona Kuna Yule Mama Anaongoza CIA ?.
Hata sisi tuna mwanamama ni mkuu wa immigration , CIA ni portion within Intelligence community yani ata director bado ana report kwa ODNI sasa CDF ni mtu mzito sana na ana access nq Rais 24/7 kiasi kwamba anaweza kumuamsha Rais usiku wa manane na akataka kuongea nae, Utaekaje mwanamke apo a lead millitary Communities wakati ladies ni too emotional kiasi kwamba akitokea njemba akala mzigo vya kueleweka kama ni lijamaa from external unadhani taifa tutakuwa wapi, CDF afikishwe kunako na li kenya or a guy from Rwanda itakuwa extreme danger for us
 
Hii inaweza kutokea katika nchi zilizobobea kwenye mfumo wa kiliberali kama Iceland.
Jeshi kiasili ni kazi ya strictly wanaume wanawake wamewekwa tu ili soldiers wasihangaike wakitaka kuosha rungu.
 
Itakuja tu kutokea..hata miaka 200 ijayo.
 
Jibu rahisi sana. Mkuu wa majeshi huchaguliwa kutoka among maofisa wa ngazi za juu. Chukua sample ya wanawake waliopo kwenye ngazi za juu (ujenerali) -- ambao ni brigedia jenerali, meja jenerali, na luteni jenerali. Kisha ugawanye kwa total ya watu wote wenye nafasi hizo bila kujalisha Gender, unaweza kuta probability au chances ya mwanamke kuwa picked kwa nafasi ya ukuu wa majeshi ni chini ya asilimia tano. Haya tukirudi kwenye nafasi za uongozi wa kawaida, ina maana kama kuna asilimi 50 za wanawake wenye elimu inayokaribiana na wanaume basi wana chance asilimia 50. Kwa hiyo ni game ya chance tu. Kwa kawaida wanawake wengi hawajiungi na jeshi ukilinganisha na wanaume. Obvious wanaume watakuwa na chance kubwa ikija kwenye nafasi za juu sababu wao ndo wengi. Sababu kubwa ya jeshi kuwa ni kazi ya wanaume zaidi ni sababu kimaumbile wanaumbe wana physical endurance kubwa zaidi ya wanawake.
Jibu zuri mkuu..
 
Back
Top Bottom