British councilLeading a military sio kazi rahisi kama unavyodhani. Military state within a state, so ile kazi ya kuwa mkuu wa majeshi. Lazima achaguliwe mwanaume ambaye amkuwa jeshini kwa muda mrefu na anauzoefu wa muda mrefu. Na pia wanaume ni leaders toka anapozaliwa.
Na si tu ukuu wa majeshi hata special forces hakuna mwanamke. America waliwahi kulalamika kuwa hakuna female special force lakin baada ya kupewa mazoez sawa wanayopewa wanaume walifeli sana.
Man are mans, woman atabaki kuwa hivyo hivyo.
Hivi yule mwanamama wa immigration ana cheo gani?Hakuna chs mfumo dume wala mfumo beberu ni wao wenyewe tu hawakufikia cheo cha ujenerali hata mmoja. Hapa Tanzania mwanamke aliyefika cheo cha juu zaidi ilikuwa ni meja jenerali kipindi cha Kikwete. Nahisi ashastaafu
Huyo Gina before ajawa DG wa CIA alikuwa ni Deputy Director wa apo apo CIAmkuu wa CIA ni mwanamke kwa mara ya kwanza
aliolewa akaachika zaidi ya miaka 30 iliyopita ,hana mtoto,hajiusishi na social network
ni mama wa kazi,kabla ya hakuwa dg wa CIA alikuwa ana operate kambi za siri za mateso kwa magaidi wa sept 11
watu walishtuka na uteuzi ,ili bidi CIA watoe CV ya operation alizofanya ndani ya miaka 33 anatisha kwa kweli
![]()
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu wa majeshi awe na mimba jeshini, hapana haipendezi, itaonekana huwa anafanya matusi
Leading a military sio kazi rahisi kama unavyodhani. Military state within a state, so ile kazi ya kuwa mkuu wa majeshi. Lazima achaguliwe mwanaume ambaye amkuwa jeshini kwa muda mrefu na anauzoefu wa muda mrefu. Na pia wanaume ni leaders toka anapozaliwa.
Na si tu ukuu wa majeshi hata special forces hakuna mwanamke. America waliwahi kulalamika kuwa hakuna female special force lakin baada ya kupewa mazoez sawa wanayopewa wanaume walifeli sana.
Man are mans, woman atabaki kuwa hivyo hivyo.
Mama Samia Hassan akiwa Rais atamteua Mwanamke awe mkuu wa majeshi.Wakuu wa jukwaa.naombeni mnijuze ni kwanini akina mama hawapewi nafasi adhimu na nyeti ya kuongoza Jeshi ( Ukuu wa Majeshi ) ?
Nini tatizo, mbona Urais, Umakamu wa Rais na hata Uwaziri Mkuu huwa wanashika nyadhifa hizo, lakini ukuu wa majeshi ni shida?
Karibuni kwa mjadala...
Pata picha mkuu wa majeshi mjamzito.na kuna kidume ndio kina tukazia mkuu wetu wa majeshi
haweziMama Samia Hassan akiwa Rais atamteua Mwanamke awe mkuu wa majeshi.
Msaidizi.Aisee uzi wako umeonekana, Kenya leo wameteua General wa kwanza katika historia nimeona Itv uhuru akimpa rank