Kwanini hakuna Mkuu wa Majeshi mwanamke hapa Duniani?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
26,535
Reaction score
61,979
Wakuu wa jukwaa.naombeni mnijuze ni kwanini akina mama hawapewi nafasi adhimu na nyeti ya kuongoza Jeshi ( Ukuu wa Majeshi ) ?

Nini tatizo, mbona Urais, Umakamu wa Rais na hata Uwaziri Mkuu huwa wanashika nyadhifa hizo, lakini ukuu wa majeshi ni shida?

Karibuni kwa mjadala...
 
Leading a military sio kazi rahisi kama unavyodhani. Military state within a state, so ile kazi ya kuwa mkuu wa majeshi. Lazima achaguliwe mwanaume ambaye amkuwa jeshini kwa muda mrefu na anauzoefu wa muda mrefu. Na pia wanaume ni leaders toka anapozaliwa.

Na si tu ukuu wa majeshi hata special forces hakuna mwanamke. America waliwahi kulalamika kuwa hakuna female special force lakin baada ya kupewa mazoez sawa wanayopewa wanaume walifeli sana.

Man are mans, woman atabaki kuwa hivyo hivyo.
 
Mfumo dume bado unatawala. Ila wavulana wa mikoani tayari wameenza kutepeta, wameenza kunyimwa unyumba kama majirani zetu Kenya, very soon wanawake watakua viongozi wa familia kwa kuanzia.
 
Wakuu wa jukwaa.naombeni mnijuze ni kwanini akina mama hawapewi nafasi adhimu na nyeti ya kuongoza Jeshi ( Ukuu wa Majeshi ) ?

Nini tatizo, mbona Urais, Umakamu wa Rais na hata Uwaziri Mkuu huwa wanashika nyadhifa hizo, lakini ukuu wa majeshi ni shida?

Karibuni kwa mjadala...
KWA NINI JESHINI WANAUME NI WENGI KULIKO WANAWAKE? nikipata jibu la hili ndio nitajibu hoja husika
 
Wakuu wa jukwaa.naombeni mnijuze ni kwanini akina mama hawapewi nafasi adhimu na nyeti ya kuongoza Jeshi ( Ukuu wa Majeshi ) ?

Nini tatizo, mbona Urais, Umakamu wa Rais na hata Uwaziri Mkuu huwa wanashika nyadhifa hizo, lakini ukuu wa majeshi ni shida?

Karibuni kwa mjadala...
Walikuwepo waliongoza vita Joan of Arc 1412-1431 huko Ufaransa na Malkia Boidica wa Uingereza 60 AD dhidi ya Warumi. Pia Debora wa Biblia.
 
Mkuu wa majeshi akojoe amechuchumaa uliona wapi. Mkuu wa majeshi kapigwa na mume. Mkuu wa majeshi anaenda kliniki kisa mimba. Mkuu wa majeshi anatongozwa. Wewe acha kabisa labda nchi za visiwa vidogo vyenye watu 100 mpk 678
 
Wakuu wa jukwaa.naombeni mnijuze ni kwanini akina mama hawapewi nafasi adhimu na nyeti ya kuongoza Jeshi ( Ukuu wa Majeshi ) ?

Nini tatizo, mbona Urais, Umakamu wa Rais na hata Uwaziri Mkuu huwa wanashika nyadhifa hizo, lakini ukuu wa majeshi ni shida?

Karibuni kwa mjadala...
Jibu rahisi sana. Mkuu wa majeshi huchaguliwa kutoka among maofisa wa ngazi za juu. Chukua sample ya wanawake waliopo kwenye ngazi za juu (ujenerali) -- ambao ni brigedia jenerali, meja jenerali, na luteni jenerali. Kisha ugawanye kwa total ya watu wote wenye nafasi hizo bila kujalisha Gender, unaweza kuta probability au chances ya mwanamke kuwa picked kwa nafasi ya ukuu wa majeshi ni chini ya asilimia tano. Haya tukirudi kwenye nafasi za uongozi wa kawaida, ina maana kama kuna asilimi 50 za wanawake wenye elimu inayokaribiana na wanaume basi wana chance asilimia 50. Kwa hiyo ni game ya chance tu. Kwa kawaida wanawake wengi hawajiungi na jeshi ukilinganisha na wanaume. Obvious wanaume watakuwa na chance kubwa ikija kwenye nafasi za juu sababu wao ndo wengi. Sababu kubwa ya jeshi kuwa ni kazi ya wanaume zaidi ni sababu kimaumbile wanaumbe wana physical endurance kubwa zaidi ya wanawake.
 
Wakuu wa jukwaa.naombeni mnijuze ni kwanini akina mama hawapewi nafasi adhimu na nyeti ya kuongoza Jeshi ( Ukuu wa Majeshi ) ?

Nini tatizo, mbona Urais, Umakamu wa Rais na hata Uwaziri Mkuu huwa wanashika nyadhifa hizo, lakini ukuu wa majeshi ni shida?

Karibuni kwa mjadala...

Mangi Kimambi!
 
Back
Top Bottom