comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,446
- 11,503
Haya madhaifu Yake hakuyaona kabla Gwajima hajaamua kua mkweli na kupinga utekaji? Inamana Gwajima asingetoka hadharani kupinga utekaji Manara asingempiga vita, kosa la Gwajima NI kukosoa serikali na kukemea utekaji.
Inamana watu kama wakina Manara na Steve Mengele wanafurahia watu kutekwa, maana Jana Mengele ameongea kumshambulia polepole, kwanini Wana CCM kila anaekosoa mabaya ya serikali na kukemea utekaji anakua adui Yao?
Watu wakimtukana Kwa muonekano wa rangi Yake asilalamike anaonewa.