Kwanini Haji Manara anamshambulia Sana Gwajima??

Kwanini Haji Manara anamshambulia Sana Gwajima??

Chuki ya uislam dhidi ya ukristo.Gwajima angekuwa muislam usingesikia wanafungua midomo yao.
We ng'ombe kweli! wenzio wanatengeneza pesa kwenye dini, wewe umebeba chuki kwa bindamu wenzio eti kisa dini. Acha kuangalia mambo kidini.
 
Hao machawa lazima wafanye hivyo maana wanajua Kula Yao ndipo ilipo Kula Yao inategemea kuwalamba viatu wenye pesa na wenye mamlaka
Hawa watu nawamaind Sana, ndio mana nasema hawa watu hata siku Raisi auwe mtu hadharani bado watamsifia
 
Hao machawa lazima wafanye hivyo maana wanajua Kula Yao ndipo ilipo Kula Yao inategemea kuwalamba viatu wenye pesa na wenye mamlaka
Kwa nini umewahi kuandika nilichotaka kuandika? Naunga mkono hoja. Tanzania ukijua kucheza na upepo hufi njaa. Manara ni mmoja ya ''wajanja'' wa mjini wanaoishi kwa kusoma upepo na kuishi accordingly..... Ulisikia tena yule ponjoro wa Kinondoni alivyosema kuhusu mtoto ''dear'' wa mama! Hawa wote wanaitwa bootlickers...
 
Cause we're all GT 😁😁

Naam na hicho ndio wanacho kifanya wamechagua upande wa kuwasifu wenye pesa na mamlaka ili mkono uende kinywani hiyo ni siasa pia kumbuka Moja ya rules za siasa unapaswa kuwa mbinafsi unapswa kuwa upande wenye power ili mambo yako yaende hiyo haijalishi kama upande huo wenye power ni upande wa haki ama ni batili ,

Watu kama hao hauwezi kukuta wanaishi Kwa tabu hata siku Moja , wanasifa kama za yule Jamaa anayeitwa little finger kwenye game of thrones
 
Kwani hizi ng'ombe Gwajima na Polepole kipindi cha mwendazake walikuwa wapi?, wasilete unafki wa kisasa since wao ni wana CCM na wao ni virus tu, wasione bimother wao hawapi posho wakajifanya masihi
Vipi na wewe tukikuita ng'ombe?
 
Ila Gwajima kuwachukua wale wabeba cement na kutuambia ni misukule kafufua alitupiga sana. Toka mambo ya technology yakuwe kaachana nayo kabisa ile mbinu
 
Ila Gwajima kuwachukua wale wabeba cement na kutuambia ni misukule kafufua alitupiga sana. Toka mambo ya technology yakuwe kaachana nayo kabisa ile mbinu
😁😁🤣 Sio yeye tu kina Yesu na Muhammad hizo ndio ilikuwa zao yeye karithi tu alicho Iga Toka Kwa marole model wake
 
Huyoo zeruzeru hajui kwamba gwajima akitetea utekaji anatetea hadi ndugu zake wenye ulemavu wa ngozi??? Au mpaka yeye akatwe mkono ndo atataka gwajima apaze sauti???

Manara sijawai kumuelewaga. Huoo ulemavu wake ndo anautumiaga kama kinga.
 
Mpira umemshinda...kakaushiwa kila kona
 
Back
Top Bottom