Kwanini gentamycin namuogopa kumjibu vibaya?



πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚huyu ndo Genta..mimi nakukumbukaga kwenye uzi wa lulu tu jaman..uliutoa last yr au 2017..mpk leo huwa nacheka!dah..Genta uko poa kinyama..sema usiwe unajibu watu wote wanaokutukana...mtawekwa as wote wahuni tu kumbe ww uhuni ulishaacha kitamboπŸ˜„πŸ˜„
 

Hahahaha
Na ma id kibao ya kujisifia mwenyewe walahi
Mtu mzima ovyooooooo walahi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani umekuja na id nyingine kujisifia! Hovyo sama wee jamaa.
 
Msee ya vichambo ni lara1, nasikia kaokoka siku hizi na kawekwa ndani. Kweli dawa ya mwanamke ni dushe.
 
Nyote mazuzu
 
Yule jamaa wa ku fupisha gazeti namwomba aje hapa
 

Huogopi nawe kuambiwa kuwa hii ID yako ni yangu hivyo hapa najisifu tu Mkuu? Hapa Jamvini ukianzisha Uzi wa Kumsema vibaya vibaya GENTAMYCINE hutosikia ukiambiwa kuwa ni hii ID yake ila ukianzisha tu Uzi wa Kumsifia GENTAMYCINE tegemea majibu mengi kuwa hiyo ni ID yangu hivyo najifagilia / najisifu. Na hii ndiyo JamiiForums Mkuu bahati nzuri hao ' Waswahili ' nimeshawazoea na wala hawanipi taabu sana sana nazidi Kuwadharau tu. Kinachowasumbua siyo hii ' Brand ID ' yangu ni nini kilichopo ndani ya GENTAMYCINE ambavyo ni ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer '.

Cc: LICHADI , xtaper , Certified Hater , Khan , Nelson Mwombeki , lucas mobutu , Yamakagashi , jogoo dume , CHIEF WINGIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…