KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,320
Ishajadiliwa.
Ahaaa!!!! kwa nini unataka kumuamulia mtu ni wapi aweke funguo zake za gari? Hutaki aziweke mezani, hutaki azishike mkononi unataka aziweke wapi? Aziache kwenye gari? Najua utasema ziwekwe mfukoni, lakini unajua mtu anakuwa amevaa nguo za namna gani? Baadhi ya nguo ukiweka funguo mfukoni ni kero!!!!
As long as funguo hazipotei, wapi zinawekwa should not be an issue!!!!
Tiba
Sio sahihi kufikiri kwamba mtu akishika funguo mkononi nia yake ni kuonyesha kwamba ana gari!!!!!!! Wewe unataka aziweke wapi ili usijue kwamba ana gari?
Tiba
View attachment 81594
Wengi siku hizi wana tabia ya kutembea huku wameshika funguo za gari, wengine huwa wanazizungurusha kidoleni, wengine wanaziweka juu ya meza(rest, etc)
Hivi huu ni mtego?? Style? Kujisikia?? Au....
.......na kwa taarifa , mimi gari yangu naiosha mwenyewe nyumbani jinsi ninavyolipenda......
hahaha hivi funguo za vitz zinatofauytiana na zile funguo za magari yenu ya kifisadi au, nijibu mamie isije kua naonyesha kumbe watu wanajuaq hii vitz tu
Mimi nina funguo za V8, na nilazima niziweke mezani sambamba na Blackberry yangu na Iphone, ila usafiri wangu mkubwa ni bajaj huwa nashuka mita 20 kabla sijafika kwenye eneo husika.
View attachment 81594
Wengi siku hizi wana tabia ya kutembea huku wameshika funguo za gari, wengine huwa wanazizungurusha kidoleni, wengine wanaziweka juu ya meza(rest, etc)
Hivi huu ni mtego?? Style? Kujisikia?? Au....
wamama wengi tunaweka kwenye pochi ila kama unakuta umetoka bila pochi na umevaa kibajaji yaani kigauni kifupi cha kuchanua unazishika mkononi pamoja na simu, akilini wala huwazi kama unafanya show off imetokea tuu watizamaji wasionachop ndo watasema yule nae anajionesha kumbe............., jiulize hivi watu wanaoenda kwenye sherehe za harusi huwa wako busy na kucheza kula na kunywa in between sherehe ushamuona hata muendesha maharusi akiwa ameshika fungua mkononi? au kaziweka mezani? jiulize why? na asilimia 90 ya watu wanaoenda kwenye sherehe za harusi wanakuwa na magari binafsi.
BMW,RANGE,FORD Hizi gari za kizungu...Funguo zake zinatofautiana sana na za mjapani.....teh teh teh teh...:becky:
Mimi nina funguo za V8, na nilazima niziweke mezani sambamba na Blackberry yangu na Iphone, ila usafiri wangu mkubwa ni bajaj huwa nashuka mita 20 kabla sijafika kwenye eneo husika.
weekend na shot za mamifuko kibao na jezi ya manchester juu,wananing'iza mwanawaniHa ha ha ili jiwe la gizani limetugusa wengi..
Ngoja nikwambie kitu ukivaa smart yaani ule mtokelezeo wa kiofisi formal umechomekea zako shati na trouser yako safi mkanda nje inakuwa haipendezi uweke vitu kwenye mifuko maana mifuko inatuna tuna mafunguo sijui simu inaharibu mtokelezeo.
Chunguza watu mara nyingi ukiulamba sana vitu kama simu, funguo unavibeba mkononi maana ukiweka mfukoni mifuko inatuna tuna na kuharibu pozi la mtokelezeo..