Kwanini funguo za gari zipo mkononi muda wote?

Kwanini funguo za gari zipo mkononi muda wote?

Mie funguo za gari naweka mfukoni za nyumba ndo nashika mkononi
 
C ushamba wala nini, ni mazoea tu ya m2, kwa mimi msahaulifu huwa naziweka kwenye mfuko wa shati.
 
Bila shaka sote tunatambua kwamba BIASHARA MATANGAZO sasa nashangaa, mtu kanunua GARI wewe hujui kama analo gari TANGAZO LAKE NDIYO HILO.

(vigezo na masharti kuzingatiwa)
 
zinaaribu mifuko kwa kuwa ni ndefu sana, wengine ni ubishoo tu hata kama hawana magari.
 
Mwanangu, bila kuzishika funguo mkononi na kutembea kwa mbwembwe utajuaje nina gari?
 
ImageUploadedByJamiiForums1359694027.638250.jpg


Wengi siku hizi wana tabia ya kutembea huku wameshika funguo za gari, wengine huwa wanazizungurusha kidoleni, wengine wanaziweka juu ya meza(rest, etc)
Hivi huu ni mtego?? Style? Kujisikia?? Au....
 
hata wewe nakuana nazo mara nyingi tu, anza wewe kujibu hoja
 
View attachment 81594

Wengi siku hizi wana tabia ya kutembea huku wameshika funguo za gari, wengine huwa wanazizungurusha kidoleni, wengine wanaziweka juu ya meza(rest, etc)
Hivi huu ni mtego?? Fashion? Kujisikia?? Au....

Ahaaa!!!! kwa nini unataka kumuamulia mtu ni wapi aweke funguo zake za gari? Hutaki aziweke mezani, hutaki azishike mkononi unataka aziweke wapi? Aziache kwenye gari? Najua utasema ziwekwe mfukoni, lakini unajua mtu anakuwa amevaa nguo za namna gani? Baadhi ya nguo ukiweka funguo mfukoni ni kero!!!!

As long as funguo hazipotei, wapi zinawekwa should not be an issue!!!!

Tiba
 
Ni ushamba tu maana kama gari unalo wenyewe wataliona

Sio sahihi kufikiri kwamba mtu akishika funguo mkononi nia yake ni kuonyesha kwamba ana gari!!!!!!! Wewe unataka aziweke wapi ili usijue kwamba ana gari?

Tiba
 
wamama wengi tunaweka kwenye pochi ila kama unakuta umetoka bila pochi na umevaa kibajaji yaani kigauni kifupi cha kuchanua unazishika mkononi pamoja na simu, akilini wala huwazi kama unafanya show off imetokea tuu watizamaji wasionachop ndo watasema yule nae anajionesha kumbe............., jiulize hivi watu wanaoenda kwenye sherehe za harusi huwa wako busy na kucheza kula na kunywa in between sherehe ushamuona hata muendesha maharusi akiwa ameshika fungua mkononi? au kaziweka mezani? jiulize why? na asilimia 90 ya watu wanaoenda kwenye sherehe za harusi wanakuwa na magari binafsi.
 
Hizo swaga tu za kawaidi,wala sio hivyo unavyofikiria,watajuaje na yy ana gari?
 
wanaoshaaaaaaaaaaa unafanya mchezo na kununua vitz wewe na ushuru huu wa jk ulivyo juu........


hahaha hivi funguo za vitz zinatofauytiana na zile funguo za magari yenu ya kifisadi au, nijibu mamie isije kua naonyesha kumbe watu wanajuaq hii vitz tu
 
Jamani gari c langu,kwanini uniamulie na sehemu pa kuweka funguo?wewe ndo naona huna kazi, unafuatilia mambo ya wt
 
Back
Top Bottom