Kwanini funguo za gari zipo mkononi muda wote?

Kwanini funguo za gari zipo mkononi muda wote?

Heshima kwenu wadau.
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kwa nini funguo ya gari haikai mfukoni wala ktk handbag.utakuta mtu ana funguo za nyumba/chumba zipo mfukoni au wa mama zipo ktk handbag lakini za gari zinanishikwa mkononi.Naomba nijuzwe
 
Hata mimi sijui kwa kweli, ingawa inawezekana ni mbwembe tu za driver/mwenye gari ila kwa kweli suala lenyewe limekaa kisaikolojia zaidi.
 
ni ushamba..mie huwa sishiki funguo mkononi. Nikishafunga gari funguo ni mfukoni. Huwa nakerwa na wanaojionesha na funguo mikononi!
 
Ili ukitaka kusepa usipoteze muda kuanza kuutafuta kama vile wadada wanapozitafuta simu kwenye mkoba wakati wakipigiwa simu
 
Mh! Huo utafiti umeufanya wapi? Mbona zangu zinakaa kwenye handbag!!!
Heshima kwenu wadau.
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kwa nini funguo ya gari haikai mfukoni wala ktk handbag.utakuta mtu ana funguo za nyumba/chumba zipo mfukoni au wa mama zipo ktk handbag lakini za gari zinanishikwa mkononi.Naomba nijuzwe
 
ni tabia tu,kama ilivyo kutembea na toothpick barabarani,kupigia mswaki huku unazurura,kuweka simu kiunoni......kwa swala hili la funguo za gari naona wengi wanaiga tu,zinaingia mfukoni vizuri tu.
 
  • Thanks
Reactions: tz1
Gari ina Heshma yake Bhana...hata kama una uwz wa kuivaa kama Tai we fanya hivyo...ila angalia vya kuazima havistiri ------.
 
Heshima kwenu wadau.
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kwa nini funguo ya gari haikai mfukoni wala ktk handbag.utakuta mtu ana funguo za nyumba/chumba zipo mfukoni au wa mama zipo ktk handbag lakini za gari zinanishikwa mkononi.Naomba nijuzwe

Jamani watz tuacheni mambo yasiyo na msingi, kuna mambo mengine ulipaswa kujiuliza hususan juu ya maendeleo yako. funguo ya gari ikiwa mfukoni ikiwa mkononi itakusaidia nn ww? Tumia muda kufikiria maendeleo yako na ya nchi
 
jamani watz tuacheni mambo yasiyo na msingi, kuna mambo mengine ulipaswa kujiuliza hususan juu ya maendeleo yako. Funguo ya gari ikiwa mfukoni ikiwa mkononi itakusaidia nn ww? Tumia muda kufikiria maendeleo yako na ya nchi
sidhani kama maendeleo ya nchi yanatuhusu sana kwa hali ilivyo ngumu kwa sasa .
 
Kuna siku ktk kusalimiana nilipeana mikono(hand shake) na jamaa flani, kwa makusudi kabisa akanipa mkono ule alioshika funguo ya gari nazani lengo nitambue uwepo wa ile funguo mkononi mwake. Nikashangaa sana.
 
Jamani watz tuacheni mambo yasiyo na msingi, kuna mambo mengine ulipaswa kujiuliza hususan juu ya maendeleo yako. funguo ya gari ikiwa mfukoni ikiwa mkononi itakusaidia nn ww? Tumia muda kufikiria maendeleo yako na ya nchi
Hujui kama foleni ya magari ni kiashiria cha maendeleo ya nchi?
 
Sioni ushamba wala nini nitazishika mkononi kama nimeshuka mahali na naelewa sitachukua muda mrefu eneo husika, same applied na simu maana kuna kipindi karibia nipewe talaka kwa ajili ya kutokupokea simu ya baba watoto, funguo za gari na simu kuweka kwenye hizi handbag zetu ni janga la kitaifa kwa kina Mama.
 
hiyo ni kweli kabisa funguo hazkai mifukon.
hapa nipo mgahawan naona sister kaziweka mezan kabisa
 
Back
Top Bottom