VAT ni kodi inayotozwa katika kuongeza gharama ya bidhaa au huduma.
Ada ya kufanya muamala benki inatakiwa iwe inalipiwa VAT.
Sasa tatizo ni kwamba mabenki yanatoza VAT kwa wateja na hiyo siyo sahihi.
Mfano:
Kama Ada ni 1000/-, VAT kwenda serikalini ni 152.5 na hela inayopata benki ni 847.5.
Hizi Ada zilikuwa hazitozwi kodi na kwenye accounts zao wanazionyesha Kama input supplies.
Input supplies hazihesabiwi Kama faida, Bali ni Kama gharama za kujiendesha. Kwa hiyo huwezi kuzitoza corporate tax (30%).
Hapo serikali ilikuwa inapoteza fedha. Bora angalau walipe 18%.
Lakini kwa ujeuri, wanawasakizia wateja. Na hiyo siyo halali.