Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,514
- 42,649
'Taasisi' ilifikiri bwana kemia ni wakumshika shati, kumbe waapi!!! jamaa anakimbia mpaka anapitiliza kwao!!!!Ndo namuuliza lusungo akibadili katiba aendelee
'taasisi' ina namna ya kumzuia?
Manake eti Rais haendi mikutano ya UN lakini anaenda harusi ya Mswati....
nashindwa kuelewa