Kwanini Dr. Mpango asijiuzulu au kutimuliwa?

Serikali na sera zake za kukurupuka na mwendo kasi. HAPA MAJANGA TU! Na washauri wa mambo ya kiuchumi nchini wameuchuna kimya hawatii neno kwa kumuogopa Mungu wa Ikulu asiwatumbue!
Toa wewe ushauri basi
 
Sasa nyie mnasema tu bila hata kutoa mchanganuo wa namna maumivu haya yanavyotokea na kumuumiza huyu mwananchi mteja wa benki badala ya benki zenyewe!!

Wengine tangu Magufuli aingie, tulishasahau hata milango ya benki au hizo ATM machine zina rangi gani!!

Kila tunachokipata ni "hand to mouth, no savings at all"....

Fafanunue kwa kumwaga calculations kwa mfano mtu aliye na TZS 1,000,000 na akataka kuzitoa kwa mafungu/awamu 3, VAT yake ni kiasi gani na kabla ya kuingizwa hii ilikuwaje
 
Kila mtu anaona ukweli wa kilichotokea baada ya serikali kuweka VAT kwa mabenki na makampuni ya simu kwenye huduma za pesa..kutoa na kuweka na kutuma...nini kimetokea...

Hatimae gharama hizo zimemshukia mwananchi wa kawaida...tofauti na lengo la serikali
mwanzo walifikiri watazi charge taasisi hizo za fedha.....

Inawezekana aliobuni kodi hii hakujua hata maana ya VAT....na wala hakujua hii itamshukia mwananchi

Kama alitaka kodi kwa mabenki walipaswa kuongeza 'corporate tax' na sio VAT...

Sasa kama Dr Mpango ambae ndo in charge wa masuala yote ya fedha,uchumi na kodi Tanzania
hajui tofauti ya 'corporate Tax' na VAT na alikuwa hajui hii kodi itamshukia mwananchi

Hivi kwa nini asijiuzulu? why Magufuli hamtiimui?

Sasa kama hili tu hakuwa na uelewa nalo wa kutosha hadi kuleta confusion iliyotokea
na badala yake wananchi ndo 'waathirika wakubwa' why tumuamini 'atatufaa'?

Hii kodi ni kelelezo kidogo tu ya 'wananchi' watakavyoumia kwa maamuzi yenye kuonesha
'uelewa mdogo' wa mambo wa viongozi....
Hivi Dr Mpango amewahi kufanya biashara yoyote hata ya kuuza Mapera ?
 
Peleka u.pumbavu wako lumumba taahira wewe. kwa taarifa yako nalipa kubwa kuliko wewe buku 7 ambaye hujawahi kulipa kodi tangu ufikie umri wa kulipa kodi, katafuteni nchi yenu ambayo mtaweza kufanya vile mtakavyo. Wewe wala huyo dikteta uchwara hamna hati miliki ya nchi na Magufuli si Mungu hivyo ni lazima atakasolewa tu atake asitake. Wanaume tunaojitambua hatukubali upumbav.u na ujinga ujinga si kama wewe Buku 7 unaye subiri kurushiwa mafupa.

Lipa kodi kwa maendeleo ya nchi yako.

Mwanaume mzima lkn kutwa nzima kulialia tu
 
Kila mtu anaona ukweli wa kilichotokea baada ya serikali kuweka VAT kwa mabenki na makampuni ya simu kwenye huduma za pesa..kutoa na kuweka na kutuma...nini kimetokea...

Hatimae gharama hizo zimemshukia mwananchi wa kawaida...tofauti na lengo la serikali
mwanzo walifikiri watazi charge taasisi hizo za fedha.....

Inawezekana aliobuni kodi hii hakujua hata maana ya VAT....na wala hakujua hii itamshukia mwananchi

Kama alitaka kodi kwa mabenki walipaswa kuongeza 'corporate tax' na sio VAT...

Sasa kama Dr Mpango ambae ndo in charge wa masuala yote ya fedha,uchumi na kodi Tanzania
hajui tofauti ya 'corporate Tax' na VAT na alikuwa hajui hii kodi itamshukia mwananchi

Hivi kwa nini asijiuzulu? why Magufuli hamtiimui?

Sasa kama hili tu hakuwa na uelewa nalo wa kutosha hadi kuleta confusion iliyotokea
na badala yake wananchi ndo 'waathirika wakubwa' why tumuamini 'atatufaa'?

Hii kodi ni kelelezo kidogo tu ya 'wananchi' watakavyoumia kwa maamuzi yenye kuonesha
'uelewa mdogo' wa mambo wa viongozi....
Unategemea nini wakayi wabunge wenye uwezo wa kudadavua mambo Tulia alihakikisha hawaingii bungeni? Acha wote tuisomr namba. CCM mbele kwa mbele.
 
Mimi sidhani kama lilifanyika kwa kukosea au bahati mbaya. Huu ndio hasa ulikuwa mpango wenyewe
 
Na kweli wabunge wote wenye akili walitengenezewa sababu wasishiriki kuchangia budget! Sasa madhara ndio hayo
 
Peleka u.pumbavu wako lumumba taahira wewe. kwa taarifa yako nalipa kubwa kuliko wewe buku 7 ambaye hujawahi kulipa kodi tangu ufikie umri wa kulipa kodi, katafuteni nchi yenu ambayo mtaweza kufanya vile mtakavyo. Wewe wala huyo dikteta uchwara hamna hati miliki ya nchi na Magufuli si Mungu hivyo ni lazima atakasolewa tu atake asitake. Wanaume tunaojitambua hatukubali upumbav.u na ujinga ujinga si kama wewe Buku 7 unaye subiri kurushiwa mafupa.
We muosha viatu Vya ufipa tulia dawa ikuingie.

Unaweza kuhamia nchi unayoona haina kodi
 
Akili yako finyu ndipo ilipoishia hapo, kwa kuwa wewe ni elimu MULUGO basi unadhani kila mtu ni kama wewe, unaishi kwa hisani za watu huku wakitumia utaahira wako ili uje humu kuandika pumba. Wa.pumba.vu kama wewe ndiyo mtaji mkubwa wa hawa wahuni wa CCM ambao wanaiangamiza Tanzania.

We muosha viatu Vya ufipa tulia dawa ikuingie.

Unaweza kuhamia nchi unayoona haina kodi
 
Huyu Mpango nilishangaa sana niliposikia ameingizwa kwenye cabinet, na cha ajabu hadi sasa anaendelea kudundika tu.
By the way, cabinet karibu inapigwa chini ila ndiyo tumeshskula hasara, maana ubunge wa kuteuliwa wataendelea kubaki nso na hivyo kumlazimu kurudi kufanya Nazi na wanasiasa
 
Tusijidanganye kwamba Serikali yetu ya Awamu ya 5,haikujua imedhamiria kukusanya mapato/kodi kwa nani.Hili walilifaham kuwa tunawabebesha wapiga kura wetu,wanyonge na maskini huu mzigo mzito.Na kwa bahati mbaya Masikini wengi hatuna uchungu na kipato chetu kidogo tunachokipata japo kwa kubahatisha.Ndio maana leo mtu anatuma pesa anakatwa zaid,anaepokea anakatwa zaid na anaona ni sawa tu.Mabenk na Makampuni ya simu Vipato vyao vimebaki palepale.

"Sichochei Chochote"
 
Hii kitu hata BOT na TRA maelezo yao yalikua yanapishana km mnakumbuka waliochokieleza BOT ndo hiki knachotokea sasa but kwa kpnd kile TRA na serikali walikua wabishi sasa cha kujiuliza ina maana wizara ya fedha walikua hawajui hz gharama ztalipwa na customers au mabenk?
 
Sasa nyie mnasema tu bila hata kutoa mchanganuo wa namna maumivu haya yanavyotokea na kumuumiza huyu mwananchi mteja wa benki badala ya benki zenyewe!!

Wengine tangu Magufuli aingie, tulishasahau hata milango ya benki au hizo ATM machine zina rangi gani!!

Kila tunachokipata ni "hand to mouth, no savings at all"....

Fafanunue kwa kumwaga calculations kwa mfano mtu aliye na TZS 1,000,000 na akataka kuzitoa kwa mafungu/awamu 3, VAT yake ni kiasi gani na kabla ya kuingizwa hii ilikuwaje
Jaribu kutoa pesa ata kwny mitandao ya simu jibu utalipata, s lazma uende bank, mwananchi anaetaka kutuma hela kijijin ambako hzo bank hazkupendi anakatwa bei kubwa, n ni sawa na kututoza kod nyngn tena wakt alsema atakaekatwa n taasisi hzo za kfedha kutozwa aslmia 18 ya makato alyotozwa mteja
 
Back
Top Bottom