Kwanini Dr. Mpango asijiuzulu au kutimuliwa?

Kwanini Dr. Mpango asijiuzulu au kutimuliwa?

Nasikia alikuwa lecturer wa uchumi sijui chuo gani kile!!!
Itakuwa wanafunzi wake walikuwa wanalishwa vibudu maana wachumi halisi wapo so sensitive kwenye kodi as they are well aware that higher tax
reduces revenue as it reduces the size of the market (discourage hardworking, result into less work, less sells and buying)-the deadweight loss.

Ndio maana elimu ya kibongo haimsaidii mtu maana anaefundisha hiyo elimu mwenyewe haiamini. Ni shida sana.
 
Kiongozi wewe Dr mpango..nini hebu tuambie nini Maana ya Kodi ya VAT....mnapiga maneno humu wakati huku Mtaani tunataabika nahiyo mliyotuletea! Kwanini mnawadharau watanganyika kwa Kiasi hiki...yaani mnawaona hawana uwezo kabisa wakujua Jema na Baya!

VAT ni kodi inayotozwa katika kuongeza gharama ya bidhaa au huduma.
Ada ya kufanya muamala benki inatakiwa iwe inalipiwa VAT.
Sasa tatizo ni kwamba mabenki yanatoza VAT kwa wateja na hiyo siyo sahihi.

Mfano:
Kama Ada ni 1000/-, VAT kwenda serikalini ni 152.5 na hela inayopata benki ni 847.5.

Hizi Ada zilikuwa hazitozwi kodi na kwenye accounts zao wanazionyesha Kama input supplies.
Input supplies hazihesabiwi Kama faida, Bali ni Kama gharama za kujiendesha. Kwa hiyo huwezi kuzitoza corporate tax (30%).

Hapo serikali ilikuwa inapoteza fedha. Bora angalau walipe 18%.
Lakini kwa ujeuri, wanawasakizia wateja. Na hiyo siyo halali.
 
Mnahangaika na Mpango aliyeingilia bajeti ya JICA JAPAN akidhani yake! Huyu Udokta wake umebaki kwenye Makaratasi tu.
 
Siokuwa hwajui tofaut ya corporate tax na VAT. Wanajua sana. Wamiliki wa hizi Taasisi na Kampuni ndyo hao hao vigogo wa CCM. Wao sio wajinga unavyofikir wewe. Wpo tyar kumkandamiza mTZ na sio ulaji wao.
 
wabunge hawajui vat unategemea nini?
eti benk ndo watakatwa vat?
sasa akikatwa bank hyo itaitwaje vat?
hawa ukawa nao bure kabisa
Mbona hueleweki? Kwan ni lazma uchangie hta kama huna hoja ya kuchangia?

Kwani aliyetoa hoja kasema yeye ni Ukawa?

Au wataka kututhibitishia kuwa TZ hii wanaokosoa Serikal ni UKWA 2. CcM kisa mmeisha katwa mikia kila kitu ni Ndyomzeee.
 
Serikali yetu ni kama Wahubiri...anakuta upo hoi unaumwa yeye anakwambia atakuombea na utapona tu, hata kama hajui matokeo yake....baadae ukifa anasema 'imani yako ilikuwa haba'...anaenda kwa Mgonjwa mwingine.

Sasa wanakuja na kodi ya Nyumba za kupanga....nayo watasema 'Mpangaji wala usihofu'
 
VAT ni kodi inayotozwa katika kuongeza gharama ya bidhaa au huduma.
Ada ya kufanya muamala benki inatakiwa iwe inalipiwa VAT.
Sasa tatizo ni kwamba mabenki yanatoza VAT kwa wateja na hiyo siyo sahihi.

Mfano:
Kama Ada ni 1000/-, VAT kwenda serikalini ni 152.5 na hela inayopata benki ni 847.5.

Hizi Ada zilikuwa hazitozwi kodi na kwenye accounts zao wanazionyesha Kama input supplies.
Input supplies hazihesabiwi Kama faida, Bali ni Kama gharama za kujiendesha. Kwa hiyo huwezi kuzitoza corporate tax (30%).

Hapo serikali ilikuwa inapoteza fedha. Bora angalau walipe 18%.
Lakini kwa ujeuri, wanawasakizia wateja. Na hiyo siyo halali.
Ikiwa kuna ukweli unachosema....Mbona Serikali..haijaingilia kati kutetea wananchi wao...kwanini GAVANA NDULU ameungana na maBANK kwamba wako sahihi...Ninachofahamu Mimi...VAT inalipwa na Mlaji wa mwisho unless hiyo Kodi wangeipa jina jingine lkn kuiita VAT then useme makampuni ndio yalipe ni UTANI mBAYA kwa waDANGANYIKA!
 
Serikali yetu ni kama Wahubiri...anakuta upo hoi unaumwa yeye anakwambia atakuombea na utapona tu, hata kama hajui matokeo yake....baadae ukifa anasema 'imani yako ilikuwa haba'...anaenda kwa Mgonjwa mwingine.

Sasa wanakuja na kodi ya Nyumba za kupanga....nayo watasema 'Mpangaji wala usihofu'
naWapumbav* watashangilia
 
Umeona mkuu, hii ni simplistic thinking.
 
Mkuu nakubaliana na wewe 100% haiingii akilini hata kidogo serikali isielewi kwamba wakiweka VAT anayeathirika ni nani. Nazani ni sahihi kusema serikali ipo kwa ajili ya corporations na kulinda maslahi zao.
Tusijidanganye kwamba Serikali yetu ya Awamu ya 5,haikujua imedhamiria kukusanya mapato/kodi kwa nani.Hili walilifaham kuwa tunawabebesha wapiga kura wetu,wanyonge na maskini huu mzigo mzito.Na kwa bahati mbaya Masikini wengi hatuna uchungu na kipato chetu kidogo tunachokipata japo kwa kubahatisha.Ndio maana leo mtu anatuma pesa anakatwa zaid,anaepokea anakatwa zaid na anaona ni sawa tu.Mabenk na Makampuni ya simu Vipato vyao vimebaki palepale.

"Sichochei Chochote"
 
Huyu Mpango nilishangaa sana niliposikia ameingizwa kwenye cabinet, na cha ajabu hadi sasa anaendelea kudundika tu.
By the way, cabinet karibu inapigwa chini ila ndiyo tumeshskula hasara, maana ubunge wa kuteuliwa wataendelea kubaki nso na hivyo kumlazimu kurudi kufanya Nazi na wanasiasa
Cjakusoma mkuu.... Dadavua how yapigwa Chini!?
 
Lipeni kodi acheni lawama, mnafikiri pasipo kulipa kodi mapato yatatoka wapi.
 
Hili linafanana na lile la kusema wananchi wasibanwe na kodi nao wanakenua meno wakati mlipa kodi zote ni mlaji wa bidhaa na mtumiaji wa huduma ambaye ni mlalahoi anayekatwa kodi pasipo kustuka na hao wafanya biashara wao wanapeleka makusanyo tu.
 
wabunge hawajui vat unategemea nini?
eti benk ndo watakatwa vat?
sasa akikatwa bank hyo itaitwaje vat?
hawa ukawa nao bure kabisa
Kumbukumbu zangu zinakumbuka ukawa hawakushiriki hii dhulma zidi ya watanzania masikini.hii dhambi ya wa T.U.L.I.A na wabunge wa lumumba
 
Yaani haijawahi kutokea
kodi inayopaswa kuchajiwa makampuni inawashukia wananchi
na hakuna mtu wa kuwajibishwa
na kosa linafanyika kwa kutokuwa na uelewa tu wa aina ipi ya kodi wapandishe
Sio Mpango tu na makamishna wa TRA wanahusika kikamilifu mana walishajitokeza hadi kwenye vyombo vya habari na kumislead umma
Sasa TRA mkiwa hamjui kodi ipi ilipweje kiasi hata sisi raia wa kawaida tulijua fika ni kodi ipi,mnapaswa kuwajibika..
 
Hatimae gharama hizo zimemshukia mwananchi wa kawaida...tofauti na lengo la serikali
mwanzo walifikiri watazi charge taasisi hizo za fedha.....

Inawezekana aliobuni kodi hii hakujua hata maana ya VAT....na wala hakujua hii itamshukia mwananchi
Unafikiri hawakujuwa kwamba hiyo kodi ingerudi kwa mwananchi? Walijua and they knew pindi kodi ile itakapopitishwa bungeni basi kelele zingekuwa nyingi! Aidha, walijuwa pia njia ya kuzipunguza kelele hizo ni kusema kodi itatozwa kwa service provider huku pia wakijua hadi kodi yenyewe inaanza kuwa implemented, zile kelele za mihemuko zitakuwa zishaisha! Ni kwamba wanatufahamu vema kwamba Watanzania ni watu wa matukio... upepo ushapita na maamuzi ndo yanaanza!

Kwahiyo, kama ni kujiuzuru basi labda ajiuzuru kwa kuwahadaa na kuwalaghai Watanzania lakini si kwamba hafahamu tofauti kati ya VAT na Corporate Tax... au kwamba hakufahamu tax burden ya kodi hiyo ingekuwa transferred to consumers... aliyafahamu yote haya! Even first learner wa Class 101 of Tax or Economics atakuwa anayafahamu haya; seuze yeye!! Yaani ni kwamba, alikuwa anatufanya mazombi!
 
Hii mada kiboko! comments zake kiboko! Hata sisi wendawazimu ambao tumezoea kujitoa ufahamu, kukurupuka na kushabikia vitu vya kijinga visivyo na tija tumetulia.
 
Back
Top Bottom