Kwanini BBC swahili inahimiza Islamic State wamehusika Urusi wakati Urusi inasema Ukraine ndio wahusika?

Propaganda za Westerners…and they are too good kutumia big media kama BBC na CNN
 
ISIS wenyewe ndio wamesema wamehusika, BBC inasema kile walichosema ISIS wenyewe
ISIS ni nani, hao ni USA na Israel walitengeneza hili jina kwa kuharibu Uislam, lakini Uislam unapaa tu kila kukicha dini ya Mungu haiwezi kuangushwa na mashetani hata siku moja.

Mrusi anayafahamu hayo kuwa ISIS ndio hao hao USA, Ukraine, Israel na Europe.

Kiujumla ISIS ilitengenezwa na Obama na Hillary Clinton na John MacCain alikuwa ndio engineering
 
kila kona ya dunia yapo makundi yenu ya hovyo , muda si mrefu mtasema hata quran yenu imeandikwa na usa maana ndo ina mafunzo ya kigaidi
 
Kama watu waliokuwa wanafanya naoawasiliano wako Ukraine ni wazi watu wa usalama wa Ukraine walitambua uwepo wao
utumbo huu , mnaijadili ukraine kama kijiji , mnaijadili ukraine kama vile hakuna uhalifu usidhibitka na serikali , ebu tulizen akili sio kila kitu ndan ya ukraine kipo chini ya serikali ya ukraine au kinafahamika ndan ya usalama wa ukraine

POPOTE PENYE FUJO ISIS WAPO HAPO WALA HAWASHIRIKIANI NA SERIKALI HUSIKA
 
Mapovu ya Nini subiri kipigo kiendelee
 
Kwanini BBC Swahili inahimiza Islamic State wamehusika shambulio la Urusi wakati serikali ya Urusi inasema Ukraine ndio wahusika? Warusi wanahimiza Ukraine ndio wahusiks lkn BBC swahili hawataki kuripoti hivyo.

Kwanini BBC hataki ripoti badala yake wanayo yao mfukoni?
Urusi inafanya propaganda ya kivita kwa sababu ipo katika vita na Ukraine.

Mbona magaidi wamehojiwa wametoa mpango mzima wakataja mpaka maimamu waliowapa mchongo mzima?
 
Putin anatafuta kujitetea na kusukuma tuhuma zake kwa Ukraine. Ila alisahau kuwa russia wana vita dhidi ya ISIS ambayo bado haikumalizika kule syria...toka mwaka 2011 amekuwa akilisaidia jeshi la Assad kupambana dhidi ya ISIS.

Hivyo ISIS bado wana vita dhidi yake na dhidi ya mataifa yote ambayo yalihusika kupambana nao kule syria.

Media kuu ya ISIS inayoitwa Al-amaq ndio ilirusha taarifa zao kwenye mitandao ya kijamii kukiri kuhusika na shambulio hilo kubwa jijini Moscow.

Marekani alishaonya nchi washirika wake katika vita dhidi ya ISLAMIC STATE kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kuzuka kwa mashambulizi ya kushtukiza dhidi yao. Urusi ilipuuza licha ya kuonywa.
 
Marekani linapokuja suala laUkraine anakuwa yupo tofauti na Urusi .

Ila linapokujasuala la kupambana na ISIS unakuta yupo pamoja na Urusi.

Hakuna conspiracy theory yeyote katika hili, ISIS ndio waliokiri kuhusika na shbulizi hilo na pia walirusha hadi videos zao kuonesha makomandoo wao wakifanya mashambulizi hayo .

Hali inatisha sana.
 
Kwanini BBC Swahili inahimiza Islamic State wamehusika shambulio la Urusi wakati serikali ya Urusi inasema Ukraine ndio wahusika? Warusi wanahimiza Ukraine ndio wahusiks lkn BBC swahili hawataki kuripoti hivyo.

Kwanini BBC hataki ripoti badala yake wanayo yao mfukoni?
Wanajua ukweli kuhusu uhusika wa NATO
 
Urusi inafanya propaganda ya kivita kwa sababu ipo katika vita na Ukraine.

Mbona magaidi wamehojiwa wametoa mpango mzima wakataja mpaka maimamu waliowapa mchongo mzima?
Siamini taarifa za kremlin...ISIS wenyewe wamedai makomandoo wao waliotekeleza shambulizi hilo walifanikiwa kutoroka bila ya kukamatwa. FSB wametoa taarifa kuwakamata wapiganaji wa ISIS ili kuonesha kuwa wapo makini kiulinzi ila kiuhalisia huenda hakuna hata mmoja aliyekamatwa kama walivyothibitisha wenyewe ISIS
 
ISIS ni nani, hao ni USA na Israel walitengeneza hili jina kwa kuharibu Uislam, lakini Uislam unapaa tu kila kukicha dini ya Mungu haiwezi kuangushwa na mashetani hata siku moja.

Mrusi anayafahamu hayo kuwa ISIS ndio hao hao USA, Ukraine, Israel na Europe.

Kiujumla ISIS ilitengenezwa na Obama na Hillary Clinton na John MacCain alikuwa ndio engineering
SWaumu ilikuwa kali sana
 
Siamini taarifa za kremlin...ISIS wenyewe wamedai makomandoo wao waliotekeleza shambulizi hilo walifanikiwa kutoroka bila ya kukamatwa. FSB wametoa taarifa kuwakamata wapiganaji wa ISIS ili kuonesha kuwa wapo makini kiulinzi ila kiuhalisia huenda hakuna hata mmoja aliyekamatwa kama walivyothibitisha wenyewe ISIS
Lakini hata nikikubali hoja zako zote bado hilo halioneshi Ukraine imehusika.

Zaidi, linaonesha ISIS imehusika na kudai responsibility.

Sasa kama Ukraine ndiyo iliyohusika, imekuwaje ISIS i claim responsibility?
 
Aliwahi kusema Putin wakati anafanyiwa mahojiano na Tucker Carlison wa X kuwa
" in the world of propaganda no one can beat America because they control all the big media houses"

Kwahiyo wanajua wanacho push
Kwani BBC ni ya USA ?
 
Kwanini BBC Swahili inahimiza Islamic State wamehusika shambulio la Urusi wakati serikali ya Urusi inasema Ukraine ndio wahusika? Warusi wanahimiza Ukraine ndio wahusiks lkn BBC swahili hawataki kuripoti hivyo.

Kwanini BBC hataki ripoti badala yake wanayo yao mfukoni?
Hilo silo suali la kujiuliza.
Kituo cha habari ulimwenguni kinachotumika kueneza propaganda za wamagharibi ni BBC tena kikifuatiwa na France 24 English.
 
Kwanini BBC Swahili inahimiza Islamic State wamehusika shambulio la Urusi wakati serikali ya Urusi inasema Ukraine ndio wahusika? Warusi wanahimiza Ukraine ndio wahusiks lkn BBC swahili hawataki kuripoti hivyo.

Kwanini BBC hataki ripoti badala yake wanayo yao mfukoni?
Wewe wanaruhusu nini au hao Islamic state kwako ni watu wema Sana?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom