Kwanini baadhi ya watanzania wanadharau elimu?

Kwanini baadhi ya watanzania wanadharau elimu?

kwani elimu ni vyeti
Napenda watu waielewe elimu kwa upana wake ila wao wame focus kwenye kukalilishana hizo theories ambazo zimetutesa wengi sana vyuoni shit!

Mtu una lazimishwa kukariri financial theories and theories of investment by John Williams yaani unakalishwa hapo kwenye kimbweta weeee mnamjadili john Williams na fikra zake ! Ushenzi huu!

Ndio theories hizo hizo wanatumia wachumi wetu ndio maana uchumi wetu haukui, tuna piga kwata hapo hapo tuu , wanasahau kwama theory hiyo ilifaa kwa wakati huo na jamii hiyo na mazingira yale sio kwa hapa na kwasasa na kwa jamii hii.

Lazima tufike mahali tuusome uhalisia sio kukopi tuu
 
sahihi nasi pia tunaweza tengeneza theories ya kwetu, hata hivyo tunazo nyingi ni vile tu ukigundua kitu tofauti na theory ya wazungu unaambiwa hakina maana,hapo ndipo aliye soma anaonekana mjinga
 
Elimu ya Tanzania inasaidia nini sasa, kijana anasoma hadi chuo lakini akirudi mtaani hana uwezo wa kutatua changanoto za jamii au hata zake tu? Elimu yetu haina uhalisia acha watu waidharau
Inawezekana kuna kundi kubwa halijua maana ya elimu ndio maana imekuwa ni kawaida sana kuisimanga, kuibagaza na kuishusha elimu. Elimu ni maarifa, elimu ni ujuzi, elimu ni mwanga, elimu ni silaha, elimu ni kio, elimu ni Pesa, elimu ni tiba, elimu ni kila kitu kwenye Maisha ya mwanadamu yoyote katika Dunia yoyote. Leo anatokea mtu anadharau badala ya kutoa maoni namna gani tutaunda na kuboresha elimu yetu.

Watanzania baadhi wanakera sana na bahati mbaya wengine wako bungeni kuibagaza elimu sijui inawezekana tumerogwa. Watu wanakalili wanafikili wasomi wanaweza kufanya miujiza wakihisi pengine msomi ni malaika hapana. Taifa letu lina wasomi wazuri ambao ujuzi wao unatumika vizuri kuliletea maendeleo na ustaarabu taifa, wapo serikalini na sector binafsi.

Inasikitisha sana maana hii laana imewashukia hata wasomi wenyewe kuweza kujidhalau na kushindwa kujiamini, kutetea mawazo, kupigania taaluma za kulinda hadhi na heshima ya utu wao. Hivi leo watu wanaita vyeti makaratasi kwa dhihaka hii ni laana sio bure. Kama kuna changamoto kwenye elimu yetu, tuiboreshe na sio kuibagaza inakera sana tunadhalau elimu huku tukipeleka watoto wetu shule
 
Kwani ndio nini[emoji848][emoji848] hivi yule Yusufu wa Biblia alikuwaje waziri mkuu kule Misri Elimu yake darasa la ngapi,? By the way ukitaka kuheshimu elimu na uheshimiwe kwa elimu yako fanya kitu kwaajili ya watu kutokana na hiyo elimu yako, vinginevyo [emoji848][emoji848]
 
Sasa kuwa fundi simu hyo ni informal education? Kumbe hata hujui unachokiongea....kujifunza ufundi simu hyo ni formal edu. Kifanywa vyuoni, inakuwa Ni non formal ed. (Syo informal ed.) Ikifanyika inje ya mfumo rasim
Formal Education = mfumo rasmi wa elimu
Informal Education= mfumo usio rasmi wa elimu

Sasa twende hivi : kampeleka kwa fundi simu ili naye akajifunze ufundi simu kupitia kwa fundi simu mwenye ofisi yake ya ufundi simu, na dogo kajifunza hapo hapo ofisini kwa fundi simu ufundi simu.

Swali? Hiyo ni formal au informal Education?
 
Ubovu wa Elimu ya Tanzania unaonekana kwa wahitimu wanapo Anza kufanyia kazi walicho jifunza, na wasomi wa Tanzania wengi ni wajinga yani hawana tofauti na ambao hawaja enda shule au yawezekana hata ambao hawaja enda shule Wana afadhali, watu wana fundishwa wanakalili ili wajibu mitihani sio kuelimika

Kibaya zaidi hao wanaojiita wasomi ndio wanakaa maofisini na kutunga sheria. Unakuta wako maofisini wanatunga sheria zinazoenda kinyume kabisa na uhalisia. Ukiwauliza ilikuwaje mkapitisha sheria zisizotekelezeka, wanasema sheria ilitungwa na jopo la wasomi!
 
Tatizo ni hawa wasomi wa mtaani ambao hawana kazi, darasa la Saba ana kipato kizuri, msomi ngazi ya degree hana kitu, hapo ndipo dharau inapoanzia.
 
Labda kwasabu hawajapata wenye PhD/masters wengi wakuwa challenge, Mimi nakwambia siku sifa ya mbunge ikiwa ni masters/PhD hayo majiz hata bungeni yasingeruhusiwa wangenyang'anywa na ubunge kabisa. Kungekuwa na mjadala mkubwa sana

Kwahiyo unamaanisha wenye nguvu huko bungeni ni wale wasio na elimu?
 
Wanaodharau elimu ni wapumbavu wasiolitakia mema taifa. Kule Marekani tumeona weusi wengi wakiingia mtego wa kudanganyika na pesa zilizopo kwenye michezo, sanaa na muziki huku wakipuuzia elimu. Mwisho wa siku weupe wenye elimu wamebaki kuwa wenye maamuzi kuhusu nchi huku wakiongoza kila sehemu nyeti. Weusi wachache wamepata fursa ya kuwa mamilionea kupitia vipaji vyao ambapo wanatumika kuwaaminisha weusi wengi waliobaki kuwa hata bila elimu maisha ni rahisi. Matokeo yake weusi wengi wamebaki kuwa wajinga mno na maskini.

Hata hapa nchini tunazidi kuingia kwenye mtego wa kudharau elimu. Wajanja wachache kama wanasiasa na wafanyabiashara wakubwa wanajua huu mtego ndo maana wanahakikisha watoto wao wanapata elimu bora iwe ndani au nje ya nchi ili warithi nafasi zote nyeti. Kwa hali hii sioni koo zilezile zikiendelea kurithishana ulaji wa keki ya taifa. Vijana wa maskini wanazidi kuaminishwa vyeti ni makaratasi.
 
Kwahiyo unamaanisha wenye nguvu huko bungeni ni wale wasio na elimu?
Endelea kufikria namaanisha nini, yani kitu kidogo tu kinahusu ufahamu unashindwa kuelewa halafu unapinga Elimu 🚮
 
Wanaodharau elimu ni wapumbavu wasiolitakia mema taifa. Kule Marekani tumeona weusi wengi wakiingia mtego wa kudanganyika na pesa zilizopo kwenye michezo, sanaa na muziki huku wakipuuzia elimu. Mwisho wa siku weupe wenye elimu wamebaki kuwa wenye maamuzi kuhusu nchi huku wakiongoza kila sehemu nyeti. Weusi wachache wamepata fursa ya kuwa mamilionea kupitia vipaji vyao ambapo wanatumika kuwaaminisha weusi wengi waliobaki kuwa hata bila elimu maisha ni rahisi. Matokeo yake weusi wengi wamebaki kuwa wajinga mno na maskini.

Hata hapa nchini tunazidi kuingia kwenye mtego wa kudharau elimu. Wajanja wachache kama wanasiasa na wafanyabiashara wakubwa wanajua huu mtego ndo maana wanahakikisha watoto wao wanapata elimu bora iwe ndani au nje ya nchi ili warithi nafasi zote nyeti. Kwa hali hii sioni koo zilezile zikiendelea kurithishana ulaji wa keki ya taifa. Vijana wa maskini wanazidi kuaminishwa vyeti ni makaratasi.
Kama elimu haikusaidii kumudu mazingira hiyo ni uchafu!!!
Hao watoto wa wanasiasa na wafanyibiashara nia ni kuwa wezi wa kalamu.

Umeona watoto wa kihindi wakikomaa na University sijui masters ili kuendeleza biashara za wazazi wao?
 
Imepitwa na wakati!

Nyakati zetu hazihitaji elimu za kukariri principle bali elimu tendaji ile ya field inayozaa kitu cha kuonekana na kutengeneza pesa halisi!!

Elimu hii iliopo ni ya kurithi toka kwa mkoloni yaani kuandaa watumishi wa serikali sasa watumishi wametosha na kuzidi inapaswa ibadilike ghafla na kuwa ya kujitegemea na ubunifu ukitumia nature kutatua changamoto!

Juzi nimeenda seminar ya sayansi ya walimu wa secondary nikaona ujinga uleule unapakwa rangi tu!hakuna cha maana ambacho kitaleta fedha baada ya mtoto kuhitimu yaani tunaandaliwa kufundisha jinsi vijana wajibu maswali ya competence based yaani kujiandaa kwa mitihani badala ya maisha halisi!huo ni ujinga hatari sana!

Niliwaambia haya ni mapokeo hayana majibu kwa vijana kuhusu kujiajiri na kujitegemea wakabaki wananishaangaaa tu eti naenda kinyume na wakufunzi!

Elimu ya sasa ujinga mtupu!

Jua HIVYO!!
Eti wanasema tutunge maswali ya kufikirisha na kumzungusha mwanafunzi!. Eti 5Es
 
Watu Wana masters hawawezi kumudu kulipa Kodi ya chumba cha 50,000 wanakaa kwa wazazi wao.

Mafundi kushona, pikipiki, wachona mahindi wanamudu hivi vyumba.

Shule ya kazi gani?????
Form four tu yatosha mengine ziada
Ni kweli mtu ana degree ya mipango lakini siku kibao anakosa hata 2000 au wakati mwingine analala njaa.Ajabu huwezi kuta fundi pkpk asiingize 3000 kwa siku
 
Kama elimu haikusaidii kumudu mazingira hiyo ni uchafu!!!
Hao watoto wa wanasiasa na wafanyibiashara nia ni kuwa wezi wa kalamu.

Umeona watoto wa kihindi wakikomaa na University sijui masters ili kuendeleza biashara za wazazi wao?
Wahindi wanapambana na vyote. Biashara na elimu. Wahindi ni wasomi wakubwa ndo maana wana madaktari bora kabisa. Hata hao wanaoendeleza biashara za baba zao husomea mambo yanayoendana na biashara zao. Uliona mhindi anasoma degree za mambo ya historia au sanaa?
 
Hiki ndicho kilichotakiwa, hawaendi shule kutafuta kuajiriwa. Wanaenda na kusoma fani flan kwa nia maalum kabisa
Sisi mara sociology, political science,
Mhindi atasoma uhasibu kwa ajili ya mambo ya kwao, engineer kwa ajili ya makampuni ya kwao....kiufupi mhibdi hujifunza kazi
 
Polepole tutafika huko boss wangu.
 
Hivi leo watu wanaita vyeti makaratasi kwa dhihaka hii ni laana sio bure. Kama kuna changamoto kwenye elimu yetu,
Mkuu kwa mazingira ya nchini kwetu yalivyo kwa sasa, cheti ni makaratasi tu.

Teuzi zinazofanywa zinazingatia michongo na siyo kiwango cha elimu. Wapo wasio na vyeti wamepewa mashavu/teuzi. Unanishawishi vipi nisiamini kuwa cheti ni karatasi tu?
 
Nimesomesha gharasa....tasa mpaka University kwa kwa miaka saba zaidi .
Ametoka yupo kitaa, hata mxhumba kamkimbia kwan wanaume siku hizi hamtaki dada asiye na kazi.

Nimempa informal education mdogo wake chini ya miaka miwili, leo ni fundi simu anamlea dada yake.

Mkubwa huyu wa procurement sasa ndio anaanza na yeye kujifunza ufundi simu baada ya mim dada yake kumshauri sana. Nilimshauri mpaka nikawa nalia....
Joyce, Joyce sahau Hilo licheti nitakupe ukajifunzie ufundi simu mbali kidogo kama unaona aibu hapa watu wanakujua
Nimekuona unaongea ujinga na unalazimisha watu wasupport ujinga wako
Elimu ndo imefanya mpaka wewe unatumia smartphone unayotumia kuongea ujinga
Elimu ndo imefanya wewe unaangalia tv
Elimu ndo imefanya wewe leo unapanda gari
Elimu ndo imekufanya wewe unatembea juu ya lami
Elimu imekufanya leo hii wewe unalalai godoro
Hayo ni baadhi na mengine kama elimu haijakusaidia ni wewe na famila yako watu wengine elimu imesaidis sana hata wewe kama sio elimu hata nguo ujinga usiwe unaongea ujinga ujinga mbele za watu
 
Back
Top Bottom