Kwanini baadhi ya watanzania wanadharau elimu?

Inawezekana kuna kundi kubwa halijua maana ya elimu ndio maana imekuwa ni kawaida sana kuisimanga, kuibagaza na kuishusha elimu. Elimu ni maarifa, elimu ni ujuzi, elimu ni mwanga, elimu ni silaha, elimu ni kio, elimu ni Pesa, elimu ni tiba, elimu ni kila kitu kwenye Maisha ya mwanadamu yoyote katika Dunia yoyote. Leo anatokea mtu anadharau badala ya kutoa maoni namna gani tutaunda na kuboresha elimu yetu.

Watanzania baadhi wanakera sana na bahati mbaya wengine wako bungeni kuibagaza elimu sijui inawezekana tumerogwa. Watu wanakalili wanafikili wasomi wanaweza kufanya miujiza wakihisi pengine msomi ni malaika hapana. Taifa letu lina wasomi wazuri ambao ujuzi wao unatumika vizuri kuliletea maendeleo na ustaarabu taifa, wapo serikalini na sector binafsi.

Inasikitisha sana maana hii laana imewashukia hata wasomi wenyewe kuweza kujidhalau na kushindwa kujiamini, kutetea mawazo, kupigania taaluma za kulinda hadhi na heshima ya utu wao. Hivi leo watu wanaita vyeti makaratasi kwa dhihaka hii ni laana sio bure. Kama kuna changamoto kwenye elimu yetu, tuiboreshe na sio kuibagaza inakera sana tunadhalau elimu huku tukipeleka watoto wetu shule
Tatizo linakuja pale wale wenye elimu wakipewa nyadhifa wanaenda kupiga dili ili watajirike !! Japo sio wote !! Tatizo linaanzia hapo !!
 
Nimesomesha gharasa....tasa mpaka University kwa kwa miaka saba zaidi .
Ametoka yupo kitaa, hata mxhumba kamkimbia kwan wanaume siku hizi hamtaki dada asiye na kazi.

Nimempa informal education mdogo wake chini ya miaka miwili, leo ni fundi simu anamlea dada yake.

Mkubwa huyu wa procurement sasa ndio anaanza na yeye kujifunza ufundi simu baada ya mim dada yake kumshauri sana. Nilimshauri mpaka nikawa nalia....
Joyce, Joyce sahau Hilo licheti nitakupe ukajifunzie ufundi simu mbali kidogo kama unaona aibu hapa watu wanakujua
Dada, habari.

Mdogo aliyesoma procurement si awe anafanya kile alichosomea hapo ofisini kwa mdogo wenu, au ndo ile anataka ofisi ya kiyoyozi.
Kwa mantiki hiyo elimu haijamkomboa.
 
Nimekuona unaongea ujinga na unalazimisha watu wasupport ujinga wako
Elimu ndo imefanya mpaka wewe unatumia smartphone unayotumia kuongea ujinga
Elimu ndo imefanya wewe unaangalia tv
Elimu ndo imefanya wewe leo unapanda gari
Elimu ndo imekufanya wewe unatembea juu ya lami
Elimu imekufanya leo hii wewe unalalai godoro
Hayo ni baadhi na mengine kama elimu haijakusaidia ni wewe na famila yako watu wengine elimu imesaidis sana hata wewe kama sio elimu hata nguo ujinga usiwe unaongea ujinga ujinga mbele za watu
Brother usiwe emotional sana kujibu hoja za mwenzako hata kama zimekuchukiza. Taifa letu linapita sehemu ngumu sana ambapo watu hawataki tena kuelemika na kujifunza. Taifa letu lina wigo mdogo wa sector binafsi, vijana hawana sehemu za kubata mitaji, soko limetekwa wasomi wamebaki yatima. Vijana wetu wako vzr japo changamoto zipo tunapaswa kujadili namna tutafanya kizitatua sio kuidharau kama wanavyofanya baadhi ya watu.
 
Mtu anakomalia mdogo wake anatengeneza simu anasahau kama sio elimu hata hiyo simu isingekuwepo in first place kama sio ujinga ni nini

Alafu anakomalia elimu haina faida hajui hata nguo anazovaa zimetokana na elimu
Mpumbavu lazima umjibu kutokana na upumbavu wake
 
Inawezekana kuna kundi kubwa halijua maana ya elimu ndio maana imekuwa ni kawaida sana kuisimanga, kuibagaza na kuishusha elimu. Elimu ni maarifa, elimu ni ujuzi, elimu ni mwanga, elimu ni silaha, elimu ni kio, elimu ni Pesa, elimu ni tiba, elimu ni kila kitu kwenye Maisha ya mwanadamu yoyote katika Dunia yoyote. Leo anatokea mtu anadharau badala ya kutoa maoni namna gani tutaunda na kuboresha elimu yetu.

Watanzania baadhi wanakera sana na bahati mbaya wengine wako bungeni kuibagaza elimu sijui inawezekana tumerogwa. Watu wanakalili wanafikili wasomi wanaweza kufanya miujiza wakihisi pengine msomi ni malaika hapana. Taifa letu lina wasomi wazuri ambao ujuzi wao unatumika vizuri kuliletea maendeleo na ustaarabu taifa, wapo serikalini na sector binafsi.

Inasikitisha sana maana hii laana imewashukia hata wasomi wenyewe kuweza kujidhalau na kushindwa kujiamini, kutetea mawazo, kupigania taaluma za kulinda hadhi na heshima ya utu wao. Hivi leo watu wanaita vyeti makaratasi kwa dhihaka hii ni laana sio bure. Kama kuna changamoto kwenye elimu yetu, tuiboreshe na sio kuibagaza inakera sana tunadhalau elimu huku tukipeleka watoto wetu shule
Elimu gani unayoizungumzia wewe? Hii elimu ya binadamu wa kwanza alikuwa nyani wa kiafrika?
 
Mtu anakomalia mdogo wake anatengeneza simu anasahau kama sio elimu hata hiyo simu isingekuwepo in first place kama sio ujinga ni nini

Alafu anakomalia elimu haina faida hajui hata nguo anazovaa zimetokana na elimu
Mpumbavu lazima umjibu kutokana na upumbavu wake
Elimu hii yetu au elimu ya nchi gani?
 
Inawezekana kuna kundi kubwa halijua maana ya elimu ndio maana imekuwa ni kawaida sana kuisimanga, kuibagaza na kuishusha elimu. Elimu ni maarifa, elimu ni ujuzi, elimu ni mwanga, elimu ni silaha, elimu ni kio, elimu ni Pesa, elimu ni tiba, elimu ni kila kitu kwenye Maisha ya mwanadamu yoyote katika Dunia yoyote. Leo anatokea mtu anadharau badala ya kutoa maoni namna gani tutaunda na kuboresha elimu yetu.

Watanzania baadhi wanakera sana na bahati mbaya wengine wako bungeni kuibagaza elimu sijui inawezekana tumerogwa. Watu wanakalili wanafikili wasomi wanaweza kufanya miujiza wakihisi pengine msomi ni malaika hapana. Taifa letu lina wasomi wazuri ambao ujuzi wao unatumika vizuri kuliletea maendeleo na ustaarabu taifa, wapo serikalini na sector binafsi.

Inasikitisha sana maana hii laana imewashukia hata wasomi wenyewe kuweza kujidhalau na kushindwa kujiamini, kutetea mawazo, kupigania taaluma za kulinda hadhi na heshima ya utu wao. Hivi leo watu wanaita vyeti makaratasi kwa dhihaka hii ni laana sio bure. Kama kuna changamoto kwenye elimu yetu, tuiboreshe na sio kuibagaza inakera sana tunadhalau elimu huku tukipeleka watoto wetu shule
Elimu ya Tanzania imejidharaulisha.

Walioanza kuweka failures ndiyo kuwa walimu ndiyo waliipelekea elimu kujidharaulisha.
 
Back
Top Bottom