Kwanini baadhi ya watanzania wanadharau elimu?

Watu Wana masters hawawezi kumudu kulipa Kodi ya chumba cha 50,000 wanakaa kwa wazazi wao.

Mafundi kushona, pikipiki, wachona mahindi wanamudu hivi vyumba.

Shule ya kazi gani?????
Form four tu yatosha mengine ziada
Kwani Sasa kuwa na masters ndo unakuwa tajiri mbona una ufikr hafifu Sana, kwani amesomea Masters ya kutengeneza hela, mtu kuwa na Elimu Ni zaidi ya kuwa na Kodi ya nyumba hayo mengine Ni majariwa ya mwenyezi Mungu
 
Unachojua ww shuleni wanajifunza content tu🚮
Hizo theory zenyewe unajizua kuwa huwa zinahusiana na nn katika maisha ya binadam? Kama huzijui lazima utazidharau tu kwasabu unauelewa mdogo wa Mambo. Hebu
fanya jaribio la kutowapeleka wanao shule kiazi we!
Mzee sijaruka umande nimepita huko kote, kikubwa kinacho somwa mashuleni na vyuoni ni theories za watu wengine ambao hao ndio waluo tumia akili , hilo huwezi kunikatalia mzee hata kwa mtutu wa bunduki,
 
Huelewi informal education wewe
Mdogo wangu wa like nilimpeleka kwa fundi simu konki mahala Fulani....
Kakaa na yule fundi mwaka na miezi kumi...leo dogo ni fundi simu na electronics kibao.
Amepanga anaishi na dada yake ambaye ana degree ya procurement mwaka wa tano hana kazi
Sasa kuwa fundi simu hyo ni informal education? Kumbe hata hujui unachokiongea....kujifunza ufundi simu hyo ni formal edu. Kifanywa vyuoni, inakuwa Ni non formal ed. (Syo informal ed.) Ikifanyika inje ya mfumo rasim
 
Kwani Sasa kuwa na masters ndo unakuwa tajiri mbona una ufikr hafifu Sana, kwani amesomea Masters ya kutengeneza hela, mtu kuwa na Elimu Ni zaidi ya kuwa na Kodi ya nyumba hayo mengine Ni majariwa ya mwenyezi Mungu
Elimu katika nini? Mzee hebu elewa kwanz context ya mjadala kabla hujafura hasira kutetea kukalili kwako theories za wengine kwani unaweza nambia hayo unayo yasoma leo kwenye masters yametoka wapi na yaliandaliwa na nani?
 
Tajiri hakai chumba cha 50,000
Hapo nimekuonesha hata chumba cha uswahilini hawezi au hamudu gharama.

Kama elimu haikusaidii kumudu mazingira yanin hiyo elimu?

Mtu ana masters ya mipango ila hana mipango ya kazi, wala mipango ya hela, wala mipango ya mchumba.
 
Mzee sijaruka umande nimepita huko kote, kikubwa kinacho somwa mashuleni na vyuoni ni theories za watu wengine ambao hao ndio waluo tumia akili , hilo huwezi kunikatalia mzee hata kwa mtutu wa bunduki,
Kwahiyo unataka useme wanao hutawapeleka shule?
 
Huelewi informal education wewe
Mdogo wangu wa like nilimpeleka kwa fundi simu konki mahala Fulani....
Kakaa na yule fundi mwaka na miezi kumi...leo dogo ni fundi simu na electronics kibao.
Amepanga anaishi na dada yake ambaye ana degree ya procurement mwaka wa tano hana kazi
Huwezi kuondoa umuhimu wa elimu hata kidogo tatizo kijana unawaza inbox, formal and informal zote ni elimu vinaenda sambamba.
 
Elimu katika nini? Mzee hebu elewa kwanz context ya mjadala kabla hujafura hasira kutetea kukalili kwako theories za wengine kwani unaweza nambia hayo unayo yasoma leo kwenye masters yametoka wapi na yaliandaliwa na nani?
Kwani ww unachosoma lazima ujue kimetoka wapi🤣 kwani unajua maana ya elimu lakini mbona unakuja na hoja za kishamba shamba Sana, hzo theory zenyewe ulishawahi zisoma
 
Sasa kuwa fundi simu hyo ni informal education? Kumbe hata hujui unachokiongea....kujifunza ufundi simu hyo ni formal edu. Kifanywa vyuoni, inakuwa Ni non formal ed. (Syo informal ed.) Ikifanyika inje ya mfumo rasim
Kasomea chuo gani huo ufundi?
Binti aliyefundishwa kudeki, kupika na kubembeleza mume kasomea chuo gani!???

Elimu ya mtaa au majumban ni informal no paper certification.
Hata huo ufundi simu hana cheti ila binti anakimbiza hatari hana njaa za dada yake mwenye procurement degree
 
Udadisi na kujifunza ndio huleta elimu ila elimu haiwezi kuleta haya niliyotaja.
Ukiona mtanzania anaidharau elimu ya hapa nchini, basi jua amefanya udadisi na akajifunza mwisho akaelimika kwamba bora apambane na mambo mengine ila sio elimu ya mchongo ambayo mtu hujifunza namna ya kuajiriwa badala ya kujiajiri.

Unakaa darasani karibu miaka 20 ukijifunza namna ya kuajiriwa alafu ukitoka humo serikali yako inakwambia ukajiajiri 😊
 
Huwezi kuondoa umuhimu wa elimu hata kidogo tatizo kijana unawaza inbox, formal and informal zote ni elimu vinaenda sambamba.
Kwa mujibu wa mleta mada amejikita kwenye formal education.
Kuna mahala kwenye uzi huu elimu muhimu ni form four nyingine ni elimu ziada.
 
Kasomea chuo gani huo ufundi?
Binti aliyefundishwa kudeki, kupika na kubembeleza mume kasomea chuo gani!???

Elimu ya mtaa au majumban ni informal no paper certification.
Hata huo ufundi simu hana cheti ila binti anakimbiza hatari hana njaa za dada yake mwenye procurement degree
Mkuu hayo Mambo yakubembelezana siku hz hayapo mpeleke mtoto akasome, wanawake wananyanyaswa vjjn huko kisa hawana Elimu, mwanamke anapigwa anatumikishwa shamban mwshoe mme anauza mazao yote anaenda kuolea mke mwngne imagine ndo mwanao anakusimulia hvo utajiskiaje..Hawa watoto tusiwanyime elimu
 
Udadisi na kujifunza ndio huleta elimu ila elimu haiwezi kuleta haya niliyotaja.
Ukiona mtanzania anaidharau elimu ya hapa nchini, basi jua amefanya udadisi na akajifunza mwisho akaelimika kwamba bora apambane na mambo mengine ila sio elimu ya mchongo ambayo mtu hujifunza namna ya kuajiriwa badala ya kujiajiri.

Unakaa darasani karibu miaka 20 ukijifunza namna ya kuajiriwa alafu ukitoka humo serikali yako inakwambia ukajiajiri 😊
Umekaa darasan miaka 20, ukitoka hujimudu
Si bora aliyekaa na fundi miaka miwili akaujua ufundi anajimudu.
 
Aisee vijana wangu wapo wanachapa kilimo na ufugaji tu na nimeanza kuwarithisha tangu wadogo
Mawazo yako yameegemea eneo moja ndugu, wewe unawaza kuwa the fundamental end of education is materialism. Elimu ni zaidi ya vitu brother, kuna vitu vingi vya kijana unamfundishi kuadopt cultural complexities, value development, collaboration and cooperation. Elimu ni maisha hizo theories zikifundishwa under good pedagogical manner tukaboresha maabara zetu, wataalamu wetu tunapata vijana wazuri wakuweza kulisaidia taifa acha hizo wewe ndugu usiwaze vitu tu.
 
Kwani ww unachosoma lazima ujue kimetoka wapi🤣 kwani unajua maana ya elimu lakini mbona unakuja na hoja za kishamba shamba Sana, hzo theory zenyewe ulishawahi zisoma
Yes lazima! kichwa changu sio cha kujaza matakataka yasiyo na tija kwa sasa na hasa baada ya kuona uhalisia wa the so called elimu
Kwani ww unachosoma lazima ujue kimetoka wapi🤣 kwani unajua maana ya elimu lakini mbona unakuja na hoja za kishamba shamba Sana, hzo theory zenyewe ulishawahi zisoma
 
Mkuu hayo Mambo yakubembelezana siku hz hayapo mpeleke mtoto akasome, wanawake wananyanyaswa vjjn huko kisa hawana Elimu, mwanamke anapigwa anatumikishwa shamban mwshoe mme anauza mazao yote anaenda kuolea mke mwngne imagine ndo mwanao anakusimulia hvo utajiskiaje..Hawa watoto tusiwanyime elimu
Nimekwambia mdogo wangu wa like ni fundi simu na electronics kibao, kaishia form four.
Nilimpeleka akakaa na fundi ....hii ni elimu informal.hana cheti.
Anakimbiza mjini.

Mdogo mwingine ana procurement degree analelewa na huyu fundi simu
 
Udadisi na kujifunza ndio huleta elimu ila elimu haiwezi kuleta haya niliyotaja.
Ukiona mtanzania anaidharau elimu ya hapa nchini, basi jua amefanya udadisi na akajifunza mwisho akaelimika kwamba bora apambane na mambo mengine ila sio elimu ya mchongo ambayo mtu hujifunza namna ya kuajiriwa badala ya kujiajiri.

Unakaa darasani karibu miaka 20 ukijifunza namna ya kuajiriwa alafu ukitoka humo serikali yako inakwambia ukajiajiri 😊
Elimu ni zaidi ya ajira...mfano hizi kauli zakusema "siwezi kula pipi na maganda yake" zimemaliza vijana wengi Sana Ila kwasasa vijana wanajar afya zao, nimesoma uzi mmoja hapa mzaz analalamika kuona kondom kwenye beji la mwanae anayesoma sek. Hyo ni ishara njema kwa mtoto kiafya
 
Back
Top Bottom