[emoji23][emoji23][emoji23] hii comment yako imenichekesha Hadi machozi.
Hata ungekuwa unanifahamu huna Cha kunifanya mkuu, kwahyo ulivosema nikutumie picha yangu ulijua Mimi Ni tangazo had nikutumie au ulifikiria Mimi Ni mtu nisiyejielewa humu JF. Nilichokijibu was right kabisa kumbe usiyotaka kufanyiwa usimfanyie wengine, ka unavo mpenda mamako waheshimu pia wanawake wengine.
NB: hata Mimi ningekutama na wewe ningekupiga mpaka uchakae[emoji23][emoji23] tuone Nani zaid/QUOTE]
Nikimtazama mtu muonekano wake tu unaweza kunipa picha halisi ya maisha yake!! Humu Jf kila mtu ana maisha yake na asilimia kubwa wengi hawaoneshi their real side of their life,, nlikuambia unitumie picha ili nilinganishe na haya unayoyapigania humu kama unaendana nayo au we Ni single mother mmoja hv alietelekezwa sasa ana uchungu wa kutelekezwa matokeo yake anageukia kwenye u- feminism huku akiwa na agenda zake mwenyewe!! Ila bahati mbaya umemhusisha pia mama yangu sijajua lengo lako nini ila nimegundua Ni Yale malezi uliolelewa na manyanyaso uliopitia ndo yanakufanya hvo!!