Hukulilia wakati gani, wakati wa kuvunja mahusiano au wakati wa kufanya mahusiano?[emoji23][emoji23][emoji23]wenzako wanaonilewa hunililia machozi maana ni wanaume wenye big heart na size yangu tunaelewana, our chemistry is everything so find a perfect combination
Bora Sasa nafanyiwa vyote endlessly
.. umasikini hautaisha, ndio maana hata bible imetupa faraja, "wapeni masikini pombe walewe, ili wazisahau shida zao".
Halafu kwa takwimu zisizo rasmi unadhani ni watanzania asilimia ngapi wana maji yanatiririka bafuni?
[emoji23][emoji23]Huko katika kitabu cha mithali nadhani. Siko vizuri sana kwenye doctrines za kibiblia.Nisaidie iko kitabu mkuu kitanisaidia sana! Naenda nalewaaaaa mr akiuliza namfunulia mandiko namwambia nakunywa sababu ya umasikini
Katika hilo sipingani na wewe, kila kitu husukumwa na upendo. Halafu ya nini kuishi kwa kuviziana kama chui na paka!!Mie nadhan Kama hakuna maji ni wewe mwanaume unisaidie kujaza kwenye chombo diaba ili maji yatumike..nadhan ni sawa wewe kunisaidia kuchotelea maji bafuni..Huku Mimi napika...Raha ya ndoa kugawana majukumu na kusaidiana
Huyo hana lolote aliliwe kwa kipi labda kwa mwanaume asiejitambua mwanamke wa Kariba yake Mimi siwez hata kuanzia nae mahusiano make najua the first day tu anaweza jikuta hana meno au nishaharibu suraHukulilia wakati gani, wakati wa kuvunja mahusiano au wakati wa kufanya mahusiano?
A wapi wanaume wanatofautiana ni Kama wewe unavoamini kuwa head lazima usimsikilize mwanamke wako na yeye baby wangu anashangaa Sana kuhusu huo mtazamo wako towards wanawake, so people differ na sio dhambi Wala swala la marioo au kulelewa, Kuna wanaume ni provider of everything na wanaelewana na wake zao. So ni Imani yako tu na malezi unaweza shangaa Ila watu wamekulia tofauti wewe ukiaminicho sahihi kwa mwingine ni wrongUkiona mwanaume yuko hivyo ujue kuna anapobenif kutoka kwako sio mapenzi, kikubwa pekee itakuwa labda unamlea na pamoja na hivyo lazima awe ana act akiwa kwako ili azichote usije ukapeperuka...
Mwanaume ameumbwa kuwa mfalme mbele ya mwanamke na huu ni uumbaji huwezi kuubadirisha na kila Mwanamme yuko hivyo mbele ya mwanamke na ukishindwa kumuentartain lazima alale mbele....ndio maana ya Mwanaume kuwa head..
Sawa ni upendo na kuonesha kujali...ni upendo, kuwekewa maji na wake zetu kunaonyesha wanatupenda na kutujali. Mabadiliko ya maisha yanakuja lakini taratibu sana, bahati tu sio wote wanaofikwa na hayo mabadiliko, that's why masikini hawataisha duniani.
Feminism Wala haijaandika kitu kuhusu ndoa au nje I think mna confuse hvo vitu viwilimafeminist wote wanaona wenzao walio kwenye ndoa na kuzihandle vizuri ni masnitch na huwa wanawachukia wenzao with their good life..
Ukiona mwanamke anakwambia mimi nataka nizae tu sitaki kuolewa ujue kahaba hilo...
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu wewe unawezana na village girl, primitive in nature Sasa mie utaniwezea wapi zaidi ya kuishia jela ukaji mwambafai huko ka wewe Ni kidume kweliHuyo hana lolote aliliwe kwa kipi labda kwa mwanaume asiejitambua mwanamke wa Kariba yake Mimi siwez hata kuanzia nae mahusiano make najua the first day tu anaweza jikuta hana meno au nishaharibu sura
Mwanzo kabisa mkuu, ujue napendwa na wanaonielewa kabisaHukulilia wakati gani, wakati wa kuvunja mahusiano au wakati wa kufanya mahusiano?
Amu mimi hata sijui feminism ni nini?[emoji39] Ngoja nitafute tafsiri, japo najua kuna wanawake ni ngumu kuwa-handle as background zao zinawahukumu, wengine ni watii tu kwa waume zao, na hicho sisi vidume ndio tunataka, tunataka "mtutii" baaaas!!Sawa ni upendo na kuonesha kujali.
Ni kweli kabisa mambo mengi mazuri mazuri tunawafanyia sababu ya upendo.
Lakini je mtu kutokuweka maji bafuni ndo iwe kigezo cha kuwa feminism?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio Vita mwanangu
Kiukweli kabisa Nimemshangaa sana.Hafu sikuhizi hatubebi maji kwenye ndoo twaogea shower huo mda wa kubeba ndoo utoke wapi?
Hizo enzi za kubeba ndoo ilikuwa za mabibi ka huweza kujenga nyumba yenye kila kitu usioe utakuja kusingizia tu feminism humu
Kama hujaolewa njoo tuoane mamaa ila hiyo kitu sijui u feminist sitaki kusikiaHata nikizeeka Kuna shida nilizaliwa kufanya makubwa zaidi kuliko kufanya vitu visivo happy, Kuna watu wameoa, olewa with nothing to show zaidi ya viungo vya uzazi ambavyo kila mtu anacho.
So depending na uelewa wa mtu na mipango yake
Wewe ndio umeanza dharau Mara vile single mother sijui Nini what is the difference btn ur mother and single mom unaye mzalilisha humu. Umepata taste of ur own medicine, Tena wataka nikutumie picha eti uijadili hivi ulikuwa serious?Sorry mkuu naomba mjadala usimhusu mama yangu Tafadhali toa mawazo yako pasipo kugusia mama yangu humjui na umejuaje Ana shida ya kitenge??? Nakuweka kwenye kundi Fulani la ma slay queens hv ambao hawana adabu kbs japo
Kwahy wewe unaamini kua mjadala wako hauwezi kunoga pasipo kumtaja mama yangu???
Watu kutoka povu utafikiri wamekunywa sumu ya panyaMada za hivi zinaamsha hisia za watu ni balaa, yaani mtu anatokwa mishipa kutetea kile anachoona kila mtu anatakiwa kufanya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]Basii mamaaa hutaniwi