Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Status
Not open for further replies.
Ukiona Hadi leo 10.08.2020 Kuna mwanaume anapelekewa maji bafuni amini kbs naye ni maskini tu Kama maskini wengine!
Mie nilikua utaongelea habari za mwanamke akimiliki ardhi aandike na jina la mumewe[emoji14][emoji848]
.. umasikini hautaisha, ndio maana hata bible imetupa faraja, "wapeni masikini pombe walewe, ili wazisahau shida zao".

Halafu kwa takwimu zisizo rasmi unadhani ni watanzania asilimia ngapi wana maji yanatiririka bafuni?
 
Yani nikutumie picha yangu ili iweje ndio maana nikakwambia mamako akutumie picha umkumbe umnunulie hata kitenge ili afurahi kukwambia tu hvo ukanipovukia hatari Yani.
Halafu feminism Wala haihusiani na single mother au double mother's ni movement ya equality kwa wanawake duniani kujikwamua kiuchumi, kupata elimu na Mambo mengine ya kujitoa kwenye umaskini.
Halafu Mimi Ni mwanamke wa kawaidi ninayesimamia ninachokiamini na ninachokijua
 
My baby is responsible kwenye kila sector
Nikuambie tu ukweli hiki unachokipigania humu Jf wala hata haukiishi ila uunawapotosha wenzako na kama unasema your baby is responsible kwenye kila sector basi huyo baby wako we ndo unamuweka mjini na ndo maana umesema mahali kua anakulilia lakn kama hiki unachokipigania Ni kweli huyo mwanaume wa kuishi naww ana shda kubwa sana
 
Hahaaa wanaume humu Mambo mengi hawaelewi even the concept of feminism.
Sasa dunia hii mtu unabebaje maji kwenye ndoo
Nadhani kwa uelewa wako umeisha watoa wanawake wa vijijini. Feminist mzuri lazima uangalie wa vijijini kabla ya wa mjini
 
Mada za hivi zinaamsha hisia za watu ni balaa, yaani mtu anatokwa mishipa kutetea kile anachoona kila mtu anatakiwa kufanya.
 
.. umasikini hautaisha, ndio maana hata bible imetupa faraja, "wapeni masikini pombe walewe, ili wazisahau shida zao".

Halafu kwa takwimu zisizo rasmi unadhani ni watanzania asilimia ngapi wana maji yanatiririka bafuni?
Nisaidie iko kitabu mkuu kitanisaidia sana! Naenda nalewaaaaa mr akiuliza namfunulia mandiko namwambia nakunywa sababu ya umasikini
 
Yani nikutumie picha yangu ili iweje ndio maana nikakwambia mamako akutumie picha umkumbe umnunulie hata kitenge ili afurahi kukwambia tu hvo ukanipovukia hatari Yani.
Halafu feminism Wala haihusiani na single mother au double mother's ni movement ya equality kwa wanawake duniani kujikwamua kiuchumi, kupata elimu na Mambo mengine ya kujitoa kwenye umaskini.
Halafu Mimi Ni mwanamke wa kawaidi ninayesimamia ninachokiamini na ninachokijua
Sorry mkuu naomba mjadala usimhusu mama yangu Tafadhali toa mawazo yako pasipo kugusia mama yangu humjui na umejuaje Ana shida ya kitenge??? Nakuweka kwenye kundi Fulani la ma slay queens hv ambao hawana adabu kbs japo
Kwahy wewe unaamini kua mjadala wako hauwezi kunoga pasipo kumtaja mama yangu???
 
wote wangewapenda hilo neno lingekuwa halina maana.....

Binafsi am all for people's rights no matter their gender, race or any other difference..., everyone should be granted equal rights..., tatizo ni pale watu wanapolibeba suala na kutaka livuke mipaka...

Mfano mdogo labda 50/50 percent ya kwenye uongozi...., Sidhani kama mtu utapenda upewe kitu au cheo sababu ya jinsia yako na sio uwezo wako..., wapo wengi wengi uwezo kuliko wanaume ila sio sababu tuna wanaume wengi basi tu tuongeze idadi ili kupata wanawake..

Mfano mdogo niliona kwenye women football world cup..., watu wanataka equal pay kama wanayopewa wanaume kwenye football...., nikajiuliza hivi hawa watu wanadhani hizo pesa wanazolipwa watu zinatoka wapi, ukiweza kuuza product ikatengeneza pesa zaidi basi omba pay kubwa zaidi..., pia kuna kazi na kazi zipo zile ambazo women are perfect (especially caring and hospitality sector) sidhani kama kuna mtu ata-advocate the right of women kutengwa kwenye kuchimba makaburi au coal mining
 
Adjustments.jpg

1.kuwa much know sio ufeminist

2.wengi wao hawajui hata kuwa single mother sio feminist

3.kuchukia wanaume sio ufeminist

4.kushindana na wanaume sio ufeminist
5.hiyo agenda ya siri ya kuwaaminisha wanawake kuwa unaweza kuishi bila mwanaume,No wonder feminists wote ni mabingwa wa kuhifadhi,sizitaki mbichi hizi,i have everything.Nasema hivi utatombwa tu km sio na mumeo,marioo,hawala au dildo.

Awe mwanamke,awe mwanaume,ukidhani sababu una hela huitaji jinsia nyingine ujue kbs utakufa na stress na kwanza ni dalili ya matatizo ya kisaikolojia.

Mwanaume akishika hela anakimbilia kwa mwnamke sababu ndo kiumbe mwenye kitu ambacho huwezi nunua otherwise piga mapunyeto na mwanamke akishika hela anaambiwa huitaji mwanaume sababu you have everything mwisho wa siku anaanza kutafuta mariooo,Anauziwa mb** au madildo[emoji3][emoji3][emoji3]

Ukitaka kujua unaoshi na hilo jinga we sikia tu kwenye story zake yaani mimi naweza kuishi bila mwanaume ujue kbs lina definition yake ya ufeminist ya kipuuzi kbs

Ingekuwa rahisi si wakina Mo na barkhessa wangeishi wenyewe

Sasa why wanaume hawapendi feminist ni kwasababu mwanaume maisha yake yote ni stress tu mara uwaze mama ako hali yake,mara familia itakula nn,mara watoto Ada,mara kazi sasa uje uishi na jitu linakuongezea mastress lisilojua ht linasimamia nini malumbano kila siku.Nani anataka kujiongezea stress nyingine

Mwanamke yupo kupunguza stress kukufanya kichwa ki relax uwaze vitu vya msingi sasa kama hupati hiyo relaxation kwa mkeo,uje uende kazini napo stress,ada stress.Si utakufa siku sio zako?????
 
@Wangari Maathai nilijua tu utakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndagha bhabha!
Wakati nakua age Kama 18 dingi alikua anastukalisha Sana vikao of which I hatukua tunapenda kbs tulikua tunamuona mnoko..alikua anasema security kubwa ya mwanamke ni elimu( so anasisitiza tusome) na kazi nzuri( own your own)
Ndo haya aliyokua anayamaanisha .yaan unyanyasike kisa?yaan we Eli wewe unataka upelekewe maji bafuni ndo ujue nakupenda?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom