Kwanini Askofu mkuu wa Roma huingiaga msikitini??

Kwanini Askofu mkuu wa Roma huingiaga msikitini??

Status
Not open for further replies.
Mpendwa kuishi na wanaoamini na wasio amini hiyo haiepukiki na sio dhambi na usilinganishe kuishi mchanganyiko na kwenda ndani ya msikiti na kuswali wakati anadai yeye mkristo,biblia inasema 'msifunge nira na wasioamini'.DANIEL na wenzake waligoma kuabudu miungu ndani ya uwanda wa dura kwa mfalme NEBKADREZA.

Labda tujue nini maana ya nira? Je papa alifunga nira? Au alijumuika nao tu kwa sala kama sehemu ya kuweka mahusiano yao vzr?
 
sasa mambo ya kuhisi unamletea nani?ya kuhis discuss na demu wako

Sijui kwanini papa aliswali msikitini ilhali sijawahi kumsikia amesilimu! kwahiyo nahisi alisilimu kisirisiri au ana lake jambo la moyoni.umeelewa?
 
Labda tujue nini maana ya nira? Je papa alifunga nira? Au alijumuika nao tu kwa sala kama sehemu ya kuweka mahusiano yao vzr?

je,unajua kwamba ukristo hautambua dini zingine zote ambazo haziamini trinity ?? Vipi mkristo akienda kwa waganga wa kienyeji alafu wakafanyiwa matambiko,utaweza kusema walikuwa wanaweka mahusiano vizuri?? Mungu atafurahi?
 
Wewe ndio mwenye mawazo mgando kwa maana kwa maana hujui kwamba muislam hamruhusu mtu kuingia msikitini na kuswali kama sio muislam!! ila kwanini papa yeye wamkubalie??? Inajulikana dunia nzima kwamba kanisani hakuna kizuizi kwa mtu yeyote kwahiyo picha yako haina maana.

Haaaaaahaaa mimi baba yangu ni muislamu ila nimechagua dini ya mama yangu Ukristo na nimeingia msikitini mara kibao na ya mwisho ilikua kumsindikiza babu yangu(Mungu amrehemu)kwenye safari yake ya mwisho na hadi kaburini niliingia kama mjukuu wa kwanza wa kiume hakuna alienizuia acheni kutisha watu msikitini unaingia kama kawaida na hakuna kizuizi chochote mbona mpaka leo nipo na imani yangu kwa kifupi nliishi kwa kujifunza dini zote mpaka nilipofika miaka 18 nikachagua nifuate dini ipi narudia naweza kuingia msikitini pale ikitokea na naamini hakuna ubaya wala sijawahi kuogopa maana ukiacha mimi na mama angu kwenye familia yangu wote ni waislamu.
Pope aliingia msikitini na hakua muislamu alienda kufanya yale yaliompeleka na akaondoka akiwa Mkristo safi msiwatishe watu bwana au kufanya hoja ya kuingia msikitini lazima uwe muislamu ni uongo.
 
184_RatzMosque-01.jpg
KUMBE MUHAMAAD HAKUTUMWA KWA ULIMWENGU! ALITUMWA KWA WAARABU!
(Quran Suratul Ibrahim 14:4)
Na hatukumpeleka Mtume yoyote isipokuwa kwa WATU WA LUGHA YAKE ili apate kuwabainishia Kisha Mwenyezi Mungu anamuacha kupotea amtakaye kwa kuwa mwenyewe hataki kuongoka na humuongoza amtakaye. Naye ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima.
Watu wa lugha yake ni Waarabu! Wengine wanadanganywa tu!!
NDIYO MAANA WATU WA LUGHA NYINGINE WALIUKATAA UISLAMU,IKAMLAZIMU KUTUMIA JIHADI KUUENEZA!
 
Ndugu wana JF.Ningependa kupata ufafanuzi kwa wale wanaojua kwamba kwanini Papa huingiaga msikitini ilhali yeye sio muislam na ukizingatia kwamba waislam hawaruhusu mtu yeyote asie muislam kuingia msikitini???

Jamani uislam haukatazi waliokuwa si waislam kuingia msikitini. Muhimu mtu awe msafi na avue viatu ili asiingize uchafu.

Kabla ya kuhukumu uislam kwa matendo ya waislam... nahisi tuchukue muda kuusoma huo uislam nini unasema.
Islam is perfect, muslims are not... they are humans.

Au kwa kuwa Buddhist in Rhongya wanawauwa muslims tuseme all Buddhist ni wauwaji?

Kabla yq kupayuka... nahisi tufikiri kwanza.

Naomba kuwasilisham
 
Mwaka 1992 marehemu Pope John wa pili aliingia msikitini akiwa Jordan na kufanya ibada pamoja na waislam.

Kufanya ibada tena? Hii naomba ushahidi babaaa.... maana ibada za kiislam hazifanyiki hivi hivi tu.... na kama alifanya ibada basi ujuwe kuwa alisilimu....

Like I said earlier.. think before you lip! !!
 

Ishmael unazungumzia mji au msikiti?

Makka ni mji wa Saudi Arabia, sheria za NCHI hio ndio zinasema kuwa asiingie aliekuwa si muislam.

Si Quran wala Sunnah zinazosema wasiingie, ni sheria ya NCHI yao.

Acheni kutengeneza bifu la kidini kwa lazima... kuna mengi ya kufanya na ku discuss yatakayo wasaidia wengi.
 
We mgalatia usikuwa na busara unaweza kulinganisha waabudu sanamu la mzungu ambao wanakula Nyamafu nguruwe na WAISLAMU?

Amma huna adabu mtoto wa kike we!
Wakristo wote wanamuabudu SHETANI (LUCIFIER) Kila siku.

Wanakula vya HARAMU ktk matumbo yao.

Na wanawaona wazungu ni kama shemeji na wadigo zake na Yesu!

Wanaamini kuwa mungu wao ana mama, mjomba, shangazi, na alijitoa muhanga ili wao wapone!

Eti mungu alimpenda sana mwanawe yesu akaamua kumtoa kafara ili awaokoe nyie misukule.

We ukupewa hilo penzi la KUUWANA kutoka kwa huyo mungu anaetoa watoto wake kafara UTALIKUBALI??

Acheni KUKUFURU NYIE! Jahannam ni mbaya mno.
Na wataingia humo MAKAFIRI NA WASHIRIKINA.

hahahaha....
Mukhannath Kahtaan wa shahtaan at work.
Unafanya kazi nzuri kuhubiri mafundisho aliyokupa muhamad.
Jitahidi kuongeza matusi zaidi ili uione Jannah.
 
Ishmael unazungumzia mji au msikiti?

Makka ni mji wa Saudi Arabia, sheria za NCHI hio ndio zinasema kuwa asiingie aliekuwa si muislam.

Si Quran wala Sunnah zinazosema wasiingie, ni sheria ya NCHI yao.

Acheni kutengeneza bifu la kidini kwa lazima... kuna mengi ya kufanya na ku discuss yatakayo wasaidia wengi.

Ni nchi ya Kiislam na wanafuata Uislam.

Qur'an (5:51) - "O you who believe! do not take the Jews and the Christians for friends; they are friends of each other; and whoever amongst you takes them for a friend, then surely he is one of them; surely Allah does not guide the unjust people."
 
Labda tujue nini maana ya
nira? Je papa alifunga nira? Au alijumuika nao tu kwa sala kama sehemu
ya kuweka mahusiano yao vzr?

iron lady usihangaike nae huyo soma wakorintho wa kwanza 8;1-nakuendelea jibu lipo wa iman ya kushikiwa pontif of rome kashawakwaza hapa,.,kama asemavyo paulo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom