Nyamgluu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2006
- 3,160
- 1,727
Hehehe haya sasa ona sisi tunaofwata ya wenzetu tunavyo tukanana hadi kutona roho huku, na ona sasa tunvyopapatika kujaribu kueleza inakueje mabwana zetu tunaokufa na kuua kwa ajili yao wanakaa meza moja!!
Aliyeilaani hii ngozi mh!
Sijui oo huo ni ukristo wa kweli, kuonyesha upendo, oo sijui maandiko yamesema sijui nini, oo sijui dini yangu vumilivu! Y'all know shit all aisee!
Aliyeilaani hii ngozi mh!
Sijui oo huo ni ukristo wa kweli, kuonyesha upendo, oo sijui maandiko yamesema sijui nini, oo sijui dini yangu vumilivu! Y'all know shit all aisee!