Kwanini Askofu mkuu wa Roma huingiaga msikitini??

Kwanini Askofu mkuu wa Roma huingiaga msikitini??

Status
Not open for further replies.
sheikh naye ruksa kuingiaa kanisani mbona.....wenyewe tu wana gwaya

kuna shehe huwa natokea maeneo ya ilala na anakujaga kanisani kwetu tukiwa na sherehe au kama tunamsiba wa watawa
 
Kuna kitu unakitafuta....au?? hii ilikuwa lesson ya wiki iliyopita ehh...

Acha kuzuga mkuu.toa jibu,kwanini papa aliswali msikitini?? Tena mwingine aliingia na ndula msikitini.Je ukristo wa kweli ndio unavyotaka hivyo??
 
Hii nayo mpya... sijawahi sikia hii....

184_RatzMosque-01.jpg
 
Are you the cult one....I mean Seventh Day Adeventist....

Ni uharo gani huu umeandika hapa....Nilikuwa sina mpango wa kuchangia chochote kwenye huu uzi ila umenifanya niandike...

Nimeandika uharo na je hizo picha za pope nazo ni UHARO?
 
Ina maana wewe hizo picha hujaziona na link?? nenda page number 2 upate ushahidi,acha kukurupuka kama moto wa gesi.

Punguza maneno makali na kashfa...usijeharibu hii thread yako,buree...au!? Daah!

Jibu masuali ya kwenye hizo bayana/posts zangu,Ok!?

Nimepitia na kuzisoma kwa makini bayana takriban zoote hapa jamvini!...lakini bado hazijibu hayo masuali yangu yenye logic kubwa mno!

Hizo picha na maelezo mangine...bado haithibitishi yakua ati Pope alifanza ibada au Sala na Waislam!? Duuh!...kivipi Mkuu!?

Labda nikusaidie,Salah ya Muislam lazim iwe na Sajada na Shahada!...sasa huyo Pope ili kusali pamoja na Waislam kama unavyodai,itakua basi huyo Pope alishahadia,sio!?...na mwenye kushahadia ni lazim atakua amesilimu au Muislam!?

Ahsanta sana!
 
Sasa, huo ndo ushahidi wa "kusali pamoja"/kufanza ibada!?...kama anavyotuaminisha huyu mleta mada!?

Au labda hapa "tunapishana" Kiswahili tu na hawa jamaa zetu!? Daah! Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Ahsanta.
 
Tulimwambia huyo papa akaoge JANABA kwanza ndio aingie msikitini.

Na papa alishatamka hadharani kuwa MUNGU NI MMOJA NA MUHAMMAD NI MTUME WA MUNGU.
Lkn maslahi ya dunia ndio yaliomfanya AFE KAFIRI kwa kuabudu masanamu.

Sikuchangia hii mada kishabiki wala kufungamana kokote ndugu kahtaan naona unataka kuleta ushabiki usio na tija, why usitoe reason tu kuwa inawezakana kuingia kama wachangiaji wengine walivyosema.

Kuliko kuongea hayo unaoushahidi kuwa aliambiwa hayo maneno kuwa akaoge janaba?
 
Last edited by a moderator:
Punguza maneno makali na kashfa...usijeharibu hii thread yako,buree...au!? Daah!

Jibu masuali ya kwenye hizo bayana/posts zangu,Ok!?

Nimepitia na kuzisoma kwa makini bayana takriban zoote hapa jamvini!...lakini bado hazijibu hayo masuali yangu yenye logic kubwa mno!

Hizo picha na maelezo mangine...bado haithibitishi yakua ati Pope alifanza ibada au Sala na Waislam!? Duuh!...kivipi Mkuu!?

Labda nikusaidie,Salah ya Muislam lazim iwe na Sajada na Shahada!...sasa huyo Pope ili kusali pamoja na Waislam kama unavyodai,itakua basi huyo Pope alishahadia,sio!?...na mwenye kushahadia ni lazim atakua amesilimu au Muislam!?

Ahsanta sana!

Ndio ni kama ulivyoeleza ila mimi nijuavyo ni kuwa mwislam haruhusu mtu yeyote asie muislam kuingia msikitini bila kusilimu kwanza na ndio maana nikauliza kwa wanaojua zaidi yangu wanieleweshe! je,papa alisilim au ilikuwaje???
 
Kama Kiongozi wako wa kiroho kaenda Msikitini na kuswali kwanini na wewe usiende mheshimiwa tedo???

Kutokana na pattern ya hizi posts/comments zako...sasa naanza pata picha yakua labda weye unachukia/hupendi kama pakiwepo mahusiano mema baina ya Viongozi Wakuu dini mbalimbali!?...au labda hata waumini wao,au!? Daah!

Sasa,pana ubaya gani hao Popes na Masheikh/Maulamaa kujaribu ku-mend zile old indifferences/tensions baina ya dini/imani zao na Waumini wao!?

Huoni faida zake nyingi mno kwa maslahi ya dunia nzima!? Daah!

Hivi weye kweli ni Mwana-Adam mtakia mema dunia hii!?

Ahsanta.
 
Sasa, huo ndo ushahidi wa "kusali pamoja"/kufanza ibada!?...kama anavyotuaminisha huyu mleta mada!?

Au labda hapa "tunapishana" Kiswahili tu na hawa jamaa zetu!? Daah! Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Ahsanta.

Hapo ni ndani ya msikiti na vyema soma na link ipo hapo page 1
 
Ndio ni kama ulivyoeleza ila mimi nijuavyo ni kuwa mwislam haruhusu mtu yeyote asie muislam kuingia msikitini bila kusilimu kwanza na ndio maana nikauliza kwa wanaojua zaidi yangu wanieleweshe! je,papa alisilim au ilikuwaje???

Mkuu,

Sasa nakhis waanza kuelekea vizuri!

Sikiza,pana tafauti kubwa mno ya kungia Msikiti/kutembelea baadhi ya sehemu za Msikiti au Waislam wanazofanzia ibada...na ile "kuswali pamoja" au "kufanza ibada" na kiumbe ambae si Muislam!?...yaani kama ulivyokua unadai/unajaribu kutuaminisha hapo awali,au!?

Ahsanta.
 
Hapo ni ndani ya msikiti na vyema soma na link ipo hapo page 1

mkuu,

Shukran na ile link/maelezo yoote nimeyasoma na nimefahamu!

Ile ni lugha tu ya Waandishi mahiri wa habari,khasa kutoka mataifa ya Magharibi!...wao ni mabingwa wa kucheza na lugha na ku-manipulate ule uhalisia/reality...bila hata ya kujiuliza masuali magumu!

Mfano kiduchu,kama yule Journalist au hata yule Editor wake wangejiuliza masuali magumu kukhusu tartib/kanuni za Ibada na Sala za Waislam...basi nina hakika hata ile habari isingalichapishwa kama vile ilivyo!? Daah!

Ahsanta.
 
Mkuu,

Sasa nakhis waanza kuelekea vizuri!

Sikiza,pana tafauti kubwa mno ya kungia Msikiti/kutembelea baadhi ya sehemu za Msikiti au Waislam wanazofanzia ibada...na ile "kuswali pamoja" au "kufanza ibada" na kiumbe ambae si Muislam!?...yaani kama ulivyokua unadai/unajaribu kutuaminisha hapo awali,au!?

Ahsanta.

Kwa ufupi mimi nilitaka kujua mahusiano ya papa na waislam mpaka wamruhusu aingie msikitini na kuswali nao pamoja na mwingine kaingia hadi na moka msikitini.mimi sitaki kukuaminisha ila nataka unijulishe ni kwanini?? Kwa maana mimi si mwislam wala mkatoliki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom