MaxShimba
Platinum Member
- Apr 11, 2008
- 36,008
- 4,092
Teh teh teh.
Mwenye kubatiza huingia AKASWALI MSIKITINI!??
Angalia jinsi MALUNDO YA WAISLAM YANAVYO INGIA KWENYE UKRISTO
Teh teh teh.
Mwenye kubatiza huingia AKASWALI MSIKITINI!??
Ama kweli allah aliona angeruhusu mle nguruwe moja kwa moja mlivyo walafi nguruwe wangeisha! na kizazi cha nguruwe kingefutika, ndio maana akaruhusu mle kimtindoWe mgalatia usikuwa na busara unaweza kulinganisha waabudu sanamu la mzungu ambao wanakula Nyamafu nguruwe na WAISLAMU?
Kumbe Allah sio Akbar, teh teh tehHawA jamaa wana tukana makanisa ona sasa wanahifadhiwa humo humo makanisani ili wasi chinjwe na vijana wa ant mubarak.
Tulimwambia huyo papa akaoge JANABA kwanza ndio aingie msikitini.
Na papa alishatamka hadharani kuwa MUNGU NI MMOJA NA MUHAMMAD NI MTUME WA MUNGU.
Lkn maslahi ya dunia ndio yaliomfanya AFE KAFIRI kwa kuabudu masanamu.
HawA jamaa wana tukana makanisa ona sasa wanahifadhiwa humo humo makanisani ili wasi chinjwe na vijana wa ant mubarak.
Ina maana hizo picha zote na hizo link hujaziona?? Acha uvivu wa kusoma mkuu.haya nenda page ya pili na tatu utakuta vyote.
Hio picha ni wakati wale MAKAFIRI WA Afrika ya kati WALIOUWA WAISLAMU KWA JINA LA YESU.
Na hakuna KAFIRI YYT Aliyekemea MAUWAJI HAYO!
Vitu vingine ni vya kawaida sana ila tunataka kuvifanya viwe mjadala mrefu kana kwamba kuingia kwake msikitini hiyo mara moja kulibadilisha imani yake,kwa nafasi flani kwenye jamii inakubidi uendane na mazingira mfn kiongozi serikalini au mwana-diplomasia lazima uweke vitu vingine kando kukamilisha mission flani yenye umuhimu au maslai kwako au jamii kwa ujumla sioni tatizo Pope kuingia msikitini maana ukifuatilia utakuta hakuenda kwa nia ya kuswali bali kuna ujumbe aliupeleka hapo.
Ukiwa na mawazo mgando lazima isumbue mbona waislamu wanaingia makanisani hasa viongozi wakati imani yao kanisa sio sehemu takatifu kwao.
View attachment 157977
Safi sana kumbe alioga kwanza janaba alafu akaingia ndani kavaa mokasini haaaaaahaaa Pope...hawa ma-Pope wana akili nyingi sana hata uwe mwendawazimu ukikutana na huyu utatulia na utamsikiliza tu.View attachment 158010
asa kama ni tofaut mbona kuna hoja nazisikia kua yesu alikua muislamu kisa eti aliingia kwenye synagogue ya kiyahudi? nijuze mkuu
HAATUUTAKI UISLAMU KWA KUWA QURAN NI KITABU KINACHOTUMIKA KUFANYA UCHAWI
Mchawi huandika moja ya sura katika Quran au baadhi ya za Quran kwa kutumia damu ya hedhi au kutumia uchafu mwingine wowote, kama vile kinyesi cha binadamu, wanyama, kisha mchawi anasoma tarasimu ya kishirikina shetani wa kijini utokea na mchawi humuomba msaada wa jambo analolitaka, na huyo jini hukubaliana nae kwa mashariti watakayo kubaliana.
Hio picha ni wakati wale MAKAFIRI WA Afrika ya kati WALIOUWA WAISLAMU KWA JINA LA YESU.
Na hakuna KAFIRI YYT Aliyekemea MAUWAJI HAYO!
Hakika yesu alikua ni mwislam maana hata bibilia imesema labda kama hujui maana ya neno mwislam hapo sawa
Vipi hao wano Mtukana YESU, wapo ndani ya mada?Mkuu usitoke nje ya mada.
HATUUTAKI UISLAMU KWA KUWA MUHAMMAD HAJUI KAMA ATAINGIA PEPONI AU MOTONI
Quran 46;9 (Surat Al-Ahqaf) Sema; mimi si kiroja (mpya) katika mitume wala sijui nitakavyofanywa, wala mtakavyofanywa ninyi, sifuati yaliyofunuliwa kwangu, sikuwa mie lolote, ila ni muonyaji tu ninayedhihirisha.
Hadithi ya Abu Huraira (r.a) amesema, Mtume wa Allah (s.a.w) amesema, Hakuna yeyote miongoni mwenu atayeokolewa na amali yake Wakasema hata wewe mtume wa Allah? Mtume (S.A.W) akasema, Wala mimi isipokuwa anifunike Allah kwa rehema zake; hivyo fanyeni amali njema kwa uadilifu (Bukhari Hadithi Na. 470, Juzuu ya
Hadithi ya Aisha kutoka kwa Mtume (s.a.w) amesema, Fanyeni yaliyo sahihi na yatekelezeni, na furahini kwa kuwa hakuna yeyote atakayeingiziwa peponi kwa amali (matendo) yake Wakauliza hata wewe mtume wa Allah? Mtume (s.a.w) akasema, Hata mimi isipokuwa kama Allah atanifunika kwa rehema zake (Bukhari Hadihthi Na. 474, Juzuu ya
Sasa kama mtume mwenyewe hajui hatima yake siku ya mwisho kuna haja gani Wakristo tunaojitamua kuufuata UISLAMU? Yaani tumwache Yesu mwenye uhakika na watu wake na kile atakachowapa wanaomfuata
Yohana 10;27-28
27 Kondoo wangu waisikia sauti yangu, nami nawajua, nao wanifuata.
28 Nami nawapa uzima wa milele, wala hawatapotea kamwe, wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wangu.
Eti tuufuate Uislamu chini ya kiongozi Muhammad ambaye hajui hatima yake kama ataenda peponi, au ataenda motoni, bila shaka kwa Mkristo anayejitambua hawezi kuwa Muislamu.
Mkuu naomba msitoke nje ya mada.
Na mimi nakubaliana na wewe!
Mtu mwenye akili TIMAMU HAWEZI KUABUDU SANAMU HATA SIKU MOJA!
Ukweli ni kuwa waislamu na wakatoliki lao moja. Kwa waumini wa kawaida sio rahisi kulifahamu hili lakini viongozi wao wanalijua buena. Wote hawamkubali Yesu, utashangaa kusikia hili, hata wakatoliki kumtaja Yesu ni usanii tu. Wakatoliki na waislamu wote ni ma-agent wa shetani. Ukisoma kitabu cha Ufunuo kinasema mahali fulani "Naye hola (shetani) Álamos mamlaka huyó mnyama (katoliki), naye akaenda afanye vita na watakatifu." Waislamu hawamkubali Yesu kama mwokozi na huo ni ushetani tu.
Ndiyo maana mimi sioni ajabu papa kutembelea misikiti, na siku sio nyingi zijazo uhusiano wao utaongezeka sana.
We utasilimu tu! Utake ustake.
Manake UKIFA KAFIRI MOTO WA JAHANNAMU NI MBAYA MNO!
Yesu mwenyewe atakuwa humo!
Manake Paulo anasema YESU KAALANIWA .
wagalatia 3; 13
3-Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;-
Na wenye LAANA WOTE NI JAHANNAMU TU!
Peponi haingii mwenye laana