Nadhani wananchi wote TZ wanafahamu kuwa wagalatia Kiswahili kinawapa tabu sana!
Labda tuandike kingoni ndio utaelewa.
WAISLAM:
KUMBE MASHEHE/IMAM/USTAADH WOTE NI BANDIA
=========================================================
1. Wapi aya kutoka Kuruan inayo sema/waruhusu muwe na Imam?
2. Wapi aya kutoka Kuruani inayo sema/waruhusu muwe na Mashehe?
3. Wapi aya kutoka Kuruan inayo sema/waruhusu muwe na Ustaadh?
Lakini kwenye Biblia tunaambiwa:
Waefeso 4: 11 Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu;
1 Timothy 3: 2 Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha;
Hakika dini ya kweli ni Ukristu.
