Kwanini Askofu mkuu wa Roma huingiaga msikitini??

Kwanini Askofu mkuu wa Roma huingiaga msikitini??

Status
Not open for further replies.
Allah alioa na ana mke mmoja anaitwa Allat na alibahatika kuzaa watoto watatu...sasa inakuwaje waislamu wa leo wanaoa wake tisa na kuzaa watoto wa kumwaga?

Msabato/SDA anakutoa kijasho...unakimbilia kuuchafua Uislam,sio!? Daah! Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Kawaite Wakatoliki wanzio na mjipange kwa hoja zenye logic hapa,au!?

Chezea Sabato weye! Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Leo mpaka kieleweke!...kwani Pope anasali na kuabudu na Waislam!? Daah!
 
Alixhajua njia kuwa uixlam ndo njia peke ya Kuonana na Allah ila makafili wagumu 2 kumuelekea.
 
Acha kuweweseka wee!

Mada hapa...ni kwanini Pope/s walisali/wanasali na kufanza ibada nyanginezo kisirisiri na Waislam!?

Je kuna nini kinachoendelea!? Pope na Vatican mna siri gani na Waislam, ambazo Wakatoliki/waumini wenu wa kawaida hawazijui au hamuwaruhusu kuzijua/ku-question!? Daah! Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Mkuu nashukuru kwa kusahihisha vyema ili watu waelewe zaidi ili wasitoke nje ya mada.
 
mkuu vp,unamfahamu sheik twain gombesugu?

Wee matumbo ya kitimoto,bado hujafa tu!? Daah!

Naona umeshindwa hoja za Wasabato...sasa unaleta viroja!?

Gombesugu is ma identical twin brother,so wot!?

Mada: Kwanini Pope anasali na kuabudu kinyemela na Waislam!? Daah! Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Salaam zao!
 

Bukhari :: Kitabu 6 :: Juzuu 60 :: Hadith 371
Imeletwa kwenu na Anas:
Nabii wa Allah alisema: Watu watatupwa katika Jihannam, na Jihannam itasema. "Je, hakuna watu zaidi wa kuingia huku Jehannam?" (50.30) Mpaka Allah atakapo weka Mguu wake Jehannam, na Jihannam itasema, Inatosha, inatosha (qat! qat!)

Katika Sahihi hadith hapo juu, tumesoma kuwa, naye Allah atauweka mguu wake Jihannam, kwasababu Jehannam bado ilikuwa inaita watu waingie huko na au labda ilikuwa bado haija jaa. Je, wapi tumesoma kuwa Allah aliutoa Mguu wake Jehannan?

Asalaalee!!!!what the hell???mi naonaga haya mambo ya imani wakati mwengine bora watu tukakaa kimya na imani zetu tu,mambo gani haya.?
 
Mkuu nashukuru kwa kusahihisha vyema ili watu waelewe zaidi ili wasitoke nje ya mada.

Tuko pamoja Kaka!

Hii trendy ya kuchafua mada/threads za members wangine imetamalaki mno humu-JF! Daah!

Mods!...kama bado mpo kazini, tafadhalini njooni hapa jamvini msaidie kuilinda hii thread ya Mwanajamvi mwenzetu plse!
 
Makka inalindwa na wakristo...

Wakristo hata pale Tanganyika na Zanzibar wanafanza hivyo vibarua vya kulinda majumba,mabohari,maduka,maofisi,Taasisi za Kiislam na sehemu nyanginezo,au!?

Sisi family yetu mpaka kesho watchmen/walinzi wetu takriban woote ni Wakristo...tena wastaarabu mno!

Kwa kifupi,huo ni mgawanyo wa kazi/ajira tu!

Amerikans na wapuuzi wenzao wangineo wana njaa inawasumbua saana tu!...na Saud Arabia wana mapesa ya kufa mtu! Sasa pana ubaya gani wale Wazungu kuwa walinzi/vibarua wa kulinda Taasisi za Kiislam na sehemu za kufanzia ibada/misikiti!?

Huoni yakua hiyo ni win win situation,au!?
 
Aliingia msikitini katika kukuza harakati ziitwazo "Inter-religious Dialogue". Kanisa Katoliki linasisitiza mazungumzano na dini nyingine (Inter-religious Dialogue) na mazungumzano baina ya madhehebu mbalimbali ya Kikristo (Ecumenism)
 
Aliingia msikitini katika kukuza harakati ziitwazo "Inter-religious Dialogue". Kanisa Katoliki linasisitiza mazungumzano na dini nyingine (Inter-religious Dialogue) na mazungumzano baina ya madhehebu mbalimbali ya Kikristo (Ecumenism)

Kwahiyo aliingia na kuswali ndipo hayo mazungumzo yalianza?? N.B Hayo mazungumzo ni ya nini??
 
Ukweli ni kuwa waislamu na
wakatoliki lao moja. Kwa waumini wa kawaida sio rahisi kulifahamu hili
lakini viongozi wao wanalijua buena. Wote hawamkubali Yesu, utashangaa
kusikia hili, hata wakatoliki kumtaja Yesu ni usanii tu. Wakatoliki na
waislamu wote ni ma-agent wa shetani. Ukisoma kitabu cha Ufunuo kinasema
mahali fulani "Naye hola (shetani) Álamos mamlaka huyó mnyama
(katoliki), naye akaenda afanye vita na watakatifu." Waislamu
hawamkubali Yesu kama mwokozi na huo ni ushetani tu.

Ndiyo maana mimi sioni ajabu papa kutembelea misikiti, na siku sio
nyingi zijazo uhusiano wao utaongezeka sana.

mstari wa ngapi na kitabu gani ukatoliki umetajwa kwenye biblia?kama hakuna huo ukatoliki maneno haya ya busara umeyapata wapi?
 
Omeongea vizuri.Sasa inakuwaje kiongozi wa katoliki kwenda kusalishwa na watu wanaokataa kwamba Yesu sio mwana wa Mungu??

Hapa mimi sioni shida yeye kusali au kusalishwa na watu hao.kwa sababu hata biblia ukisoma wakorinto inazungumzua wale waaminio kuishi na wasio amini.
Swali kwangu ni hawa wenzetu huwa na sheria kali juu ya wasio waislamu sasa ilikuwaje wamkubalie papa (kwao ni kafiri) kusali nao. Hapa ndio naendelea kutafakari ina maana wenzetu wanatofautiana ktk kuyahandle mambo?
 
Hapa mimi sioni shida yeye kusali au kusalishwa na watu hao.kwa sababu hata biblia ukisoma wakorinto inazungumzua wale waaminio kuishi na wasio amini.
Swali kwangu ni hawa wenzetu huwa na sheria kali juu ya wasio waislamu sasa ilikuwaje wamkubalie papa (kwao ni kafiri) kusali nao. Hapa ndio naendelea kutafakari ina maana wenzetu wanatofautiana ktk kuyahandle mambo?

Mpendwa kuishi na wanaoamini na wasio amini hiyo haiepukiki na sio dhambi na usilinganishe kuishi mchanganyiko na kwenda ndani ya msikiti na kuswali wakati anadai yeye mkristo,biblia inasema 'msifunge nira na wasioamini'.DANIEL na wenzake waligoma kuabudu miungu ndani ya uwanda wa dura kwa mfalme NEBKADREZA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom